usajili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mcheza Piano

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Jobe na Fredy umekaaje kihasibu?

    Ndugu mhasibu CPA OKW BOBAN SUNZU tunaomba utupe mchanganuo wa kitaalamu kuhusiana na usajili wa ma straika hawa hatari katika viunga vya Msimbazi.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mambo ya Ndani badikikeni; tumieni mifumo ya TEHAMA acheni kupiga fedha kwa kutufolenisha kusajili taasisi na magroup ya whatsApp

    Tanzania sijui ni nani amewaloga watumishi wa umma. Kila wakikaa ofisini wanatafuta namna ya kuwafanya watu wasiende kuzalisha badala yake wakapange foleni kubishana na watumishi husika. Tanzania watu wanaopanga kujikwamua kiuchumi lazima wanaripoti ofisi zifautazo kwa lengo la kuendesha...
  3. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Je, ni haki kwa mteja wa Vodacom kukataliwa kufutiwa Usajili wa laini kwasababu ya kuwa na namba moja tu?

    Kampuni ya Vodacom inakatalia wateja wake kufuta usajili wa laini zao kwasababu wanakuwa na laini moja tu. Vodacom wanadai kwamba hawawezi kufuta usajili wa laini moja tu labda ziwe zaidi ya moja. Kwanini wanafanya hivi kwasababu kitendo hiki ni sawa na kumlazimisha mteja atumie mtandao wenu?
  4. Webabu

    JamiiForums Tanzania Netanyahu kufanyiwa upasuaji wa ngiri,huku usajili wa askari kupigana Gaza ukianza kuwa mshike mshike.

    Imeelezwa kuwa kiongozi wa Israel,Benjamin Netanyahu anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa ngiri muda wowote kuanzia kesha. Kesho hiyo hiyo mwanasheria mkuu wa serikali anatarajiwa kusaini sheria ya kuwalazimisha wayahudi wa msimamo mkali kuingizwa jeshini kwa lazima. Mayahudi wa mrengo huo pamoja...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TETESI ZA USAJILI: Real Madrid inamfuatilia Alexander-Arnold kwa ukaribu

    Klabu ya Real Madrid inadaiwa kuwa inamfuatilia beki wa pembeni wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold (25) ambaye amekuwa tegemeo katika kikosi ch Liverpool tangu Mwaka 2016. Mkataba wake unatarajiwa kumalizika Mwaka 2025 na inadaiwa mazungumzo ya kuuongeza bado hayajafanyika. Alexander-Arnold...
  6. Trainee

    JamiiForums Tanzania Nida na watu wa mitandao acheni ubabaishaji katika suala la kufuta usajili wa namba

    Mbona kusajili mnatuma mawakala mpaka maporini huko wanafika na usajili unafanyika bila mlolongo wowote iweje kufuta namba mpaka mtu afike kwenye duka la mtandao husika? Yaani mnaendekeza faida tu kwa upande wenu bila kujali madhara kwa mteja na jamii yake au taifa kwa ujumla! Kumbukeni baadhi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Jokate awaelekeza Makatibu wa Wilaya kuhamasisha zoezi la usajili wa Wanachama Kidijitali

    "Wanawake wote shirikini kikamilifu na UWT imekuja na kampeni mahususi ya kuhamisha wasichana na wanawake kujiuga na UWT kidijitali ama kielekrtoniki, karibuni wote kujiunga na jeshi la wapambanaji, wachapakazi na wapeana fursa na wapenda maendeleo." "Dunia ya sasa imebadilika tunataka jeshi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mchezaji anaruhusiwa kuondoka na kujiunga club nyingine baada ya kipindi cha usajili kupita?

    Naona Prince Dube ameaga anaondoka Azam, na assume ametimiza masharti aliyotoa Azam, je ataruhisiwa kujiunga na club nyingine wakati dirisha la usajili limefungwa, Januari?
  9. ladyfurahia

    JamiiForums Tanzania Nafanya usajili wa Kampuni, jina la biashara na mengine yanayohusu biashara

    Habari wadau, Ninatoa huduma za Usajili wa Makampuni BRELA A] usajili wa Jina la Biashara b] usajili wa kupata cheti cha kuzaliwa toka NIDA C] kutengeneza company profile na annual report d] tunatayarisha memorandum and article of association e] tunadesign business card, stickers, logo's, f]...
  10. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Pigo la mwisho kwa Thadei Ole Mushi: Katoliki wakataa kumzika kwa kuwa aliwapinga TEC kuhusu DPW

    Kanisa Katoliki lagoma kuendesha Ibada ya misa ya mazishi ya Thadei Ole Mushi kwa sababu ALIPINGA WARAKA WA BARAZA LA MAASKOFU WA KANISA KATOLIKI TANZANIA (TEC) Uliopinga uuzwaji wa Bandari, uliotolewa tarehe 18 August 2023 na TEC. Thadei Ole Mushi alipinga hadharani waraka wa TEC, kupitia...
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Usajili wa magari ya serikali umefikia “STN” kazi iendelee

    Leo nikiwa town katika mishemishe nakuta chuma ya serikali imepaki. Kucheki namba ni STN. Nikajiuliza si ni juzi tu hapa STM ilianza? Ndio imejaa kwa kasi hivyo! Serikali yetu inamiliki magari mengi na sasa usajili umefikia “STN” hii ni kasi zaidi ya 5G
  12. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kukanusha upotoshaji zinazosambazwa kuhusu usajili wa watoto kupitia mpango wa toto afya kadi

    Taarifa ya kukanusha upotoshaji zinazosambazwa kuhusu usajili wa watoto kupitia mpango wa toto afya kadi
  13. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Yanga yatinga 20 bora ya vilabu vilivyotumia gharama kubwa zaidi kufanya usajili Mwaka 2023

    Kwa mujibu wa report za FIFA za hivi karibuni kuhusu gharama za usajili na uhamisho wa wachezaji, imeonyesha vilabu vikubwa kama Al Ahly, Mamelodi, Pyramids vikiendelea kuonyesha sababu ya wao kuwa bora huku zikiendelea kuwekeza katika kununua wachezaji wenye ubora ili kuendelea kusalia katika...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania FIFA Ripoti: Zaidi ya Tsh. Trilioni 23.3 zilitumiwa na Vilabu kufanya Usajili mwaka 2023

    Zaidi ya vilabu 1000 vya soka duniani vilitumia dola bilioni 9.63 katika uhamisho wa mwaka jana na kusajili ongezeko la 48.1% la takwimu kutoka 2022. Wachezaji wa kitaalamu walichangia 31% ya takwimu za uhamisho lakini walitawala matumizi ya klabu. Wachezaji kumi bora walitumia 10% ya pesa...
  15. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Je, kama vyama vingine vya siasa Tanzania vina nia nyingine, kwanini haviondolewi kwenye usajili?

    Kwa mujibu wa sayansi ya siasa, chama cha siasa kina nia moja tu, kukamata dola na kuwahudumia wananchi wote. Mhe. Rais amesema kuna vyama vina nia tofauti. Je, ni tofauti na hiyo nadhalia ya sayansi ya siasa? Au tofauti na nia ya CCM? Je, nia ya CCM inarandana na nia iliyopo kwenye sayansi ya...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Sc kutangaza usajili muda wowote, Babacar Sarr atajwa

  17. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Yanga ndio timu pekee iliyotoa wachezaji wengi kucheza AFCON 2024, timu bora inaendana na usajili bora

    Ni ngumu sana kupenya kwenye vikosi vya timu za taifa kwenda kucheza michuano mikubwa barani afrika, ubora pekee wa mchezaji husika ndio umpelekea kocha kumjumuisha mchezaji kwenye kikosi chake Cha mapambano! Kwa Tanzania ni klabu moja pekee iliyofanikiwa kupeleka wachezaji wengi kwenye timu za...
  18. Mitch McDeere

    JamiiForums Tanzania Kwako Mtanzania: Usajili kwenye Chama cha Utajiri

    USAJILI, UTAJIRI, UMAHIRI Kuanzia sasa ninafanya usajili, Kuanzia sasa ninajisajili, Najiunga kwenye chama cha utajiri. Kwanza nitaboresha uwezo wangu wa akili, Kila jambo nitafanya kwa kufikiri, Na kwenye kazi yangu nitaongeza umahiri. Kwa nini nimeanza na akili? Kwa sababu nilimsikia tajiri...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha dogo ligi kuu Tanzania bara 2023/2024

    Huu ni uzi maalumu wa kupeana updates za usajili wa dirisha dogo unaotazamiwa kufunguliwa tarehe 15.12.2023. Karibu 1. Ladack Juma Chasambi ni mwekundu wa Msimbazi akitokea Mtibwa Sugar 2. Beki wa Yanga raia wa Uganda Gift Fred anahusishwa kuhitajika na Klabu ya Arab Contractors ya Misri kwa...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Kampuni Brela

    Kuna tatizo la usajili "ONLINE" wa kampuni BRELA. Baada ya kutimiza masharti yote ya ONLINE REGISTRATION ikiwa ni pamoja na kuingia gharama za usajili unaambiwa eti jina linafanana na kampuni iliyopo. Hii si sawa kabisa kwa sababu unakuwa tayari umeishafanya name clearance online. Kwa hiyo jina...
Back
Top Bottom