Usajili wa Jobe na Fredy umekaaje kihasibu?

Selikali inatia aibu kuzibana simba na Yanga.

Mangungu amewekwa na selikali

Try again amawekwa na selikali.

Wamewazuia simba kusajili wanachama wapya , ili kuzuia Mawazo mapya, vionhozi wapya na Damu changa.

Hii selikali ni KKMK
 
Hilo suala likapelekea matatizo makubwa kwa Simba.

1. Muwekezaji Muongo

2. Uongozi mbovu.

3. Wachezaji Magalasa.
 
Ndugu mhasibu CPA OKW BOBAN SUNZU tunaomba utupe mchanganuo wa kitaalamu kuhusiana na usajili wa ma straika hawa hatari katika viunga vya Msimbazi.
Kwasisi ma-CPA holders hiyo unaweza ukaielezea kwa maeneo mawili au matatu tofauti;
1.,Pythagoras theorem
2.Artificial intelligence
3.Uhuru torch
Maelezo kamili nitayaleta baadae kidogo!!!
 
Selikali inatia aibu kuzibana simba na Yanga.

Mangungu amewekwa na selikali

Try again amawekwa na selikali.

Wamewazuia simba kusajili wanachama wapya , ili kuzuia Mawazo mapya, vionhozi wapya na Damu changa.

Hii selikali ni KKMK
Ebo
 
Sirikali gani wewe Magungu si amewekwa hapo na wapiga kura mabumbumbu baada ya kuwaletea mpiga kampeni wake Manzoki.
 
Back
Top Bottom