usajili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania CAF yaombwa na Wadau wa soka wa Cameroon kuchunguza madai ya mwenendo usiofaa wa Samuel Eto’o

    Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) imesema linafanya uchunguzi baada ya kupata malalamiko kutoka kwa Wadau wa Cameroon wakitaka kuchunguzwa kwa mwenendo usiofaa wa Samuel Eto’o ambaye ni Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon (FECAFOOT). CAF inachunguza maombi haya kwa kuzingatia na kwa mujibu...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania MO Dewji: Nimetoa Bilioni 3 Kukamilisha Usajili Simba

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba Mo Dewji ameandika "Nimetoa almost 3 billion kufanikisha huu usajili, istokee kwamba MTU aseme ‘Mo hajatoa hela’ tuepuke na wapotishaji"
  3. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha Kusajiliwa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) chaongezeka

  4. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Ndege yenye namba za usajili 5H-MZE imetoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, ilibeba nini?

    Ndege yenye usajili 5HMZE iliyofichwa taarifa muhimu imeonekana inatoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, haijulikani kwanini ndege imezimwa Transponder na bado haijajulikana ndege hiyo kama imebeba watalii au lah! *********** ************** Update Ndege imetoka Zanzibar sasa...
  5. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Kiwango cha Usajili wa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT)

  6. Unasemeje

    JamiiForums Tanzania Bado sina imani na usajili wa Simba

    Binafsi nilitarajia msimu huu tutafumua kikosi na kuunda upya kwa kusajili makinda wanaofanya vizuri kwenye vilabu vikubwa, kuanzia walinzi, viungo na washambuliaji. Hii ingetusaidia sana kwa misimu hata 4 mfululizo. Kwa usajili huu wa kuwarudisha waliofeli maisha ya soka na kuokota goli kipa...
  7. X

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mapinduzi ya kiteknolojia katika kutatua changamoto za BRELA (Baraza la Usajili wa Makampuni nchini Tanzania)

    BRELA ni kifupisho cha Baraza la Usajili wa Makampuni nchini Tanzania (Business Registration and Licensing Agency). Ni taasisi ya umma iliyo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara na inahusika na usajili, usimamizi na udhibiti wa kampuni na biashara zingine zinazofanya kazi nchini Tanzania...
  8. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Huu usajili wa Luis Miquisone ni ishara Simba hawajui walifanyalo, au wapigaji wapo kazini

    Kwanza niweke wazi tu Mimi kwenye riziki ya mtu huwa sina mtimanyongo lakini kwa usajili wa Luis Miquisone unaleta mashaka makubwa sana. Mtakumbuka Miquison aliondoka Tanzania akiwa kwenye peak lakini ushindani uliopo Al Ahaly akashindwa kuonesha uwezo wake, siamini kama ni ubaguzi maana yupo...
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Unpopular Opinion: Kibegi cha jezi za Simba kimefunika kelele zote za Yanga kuanzia Wiki ya Mwananchi hadi Usajili wao

    Simba Sports mwaka huu wamekuja tofauti. Jezi zao zinazinduliwa kileleni kwenye Mlima Kilimanjaro ijumaa wiki hii. Sasa jezi hizo zimewekwa kwenye kibegi na amepewa Ahmed Ally kusafiri nacho kwa ndege kutoka Dar kwenda Kilimanjaro. Kila anapopita vibe ni kubwa na watu wanaomba wapige nae picha...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa vipya 18 kuomba usajili ni kukua kwa demokrasia nchini au ni fujo?

    Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema kuna vyama vya siasa vipya vipatavyo 18 vimeomba kusajiliwa. Je hali hii ni kukomaa kwa demokrasia nchini au ni fujo za kisiasa tutegemee? Je vyama vya siasa takribani 20 vilivyopo havitoshi kukidhi matarajio ya kisiasa kwa wananchi? Je kuna watu...
  11. The Boss

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Aziz Ki umeleta hasara kuliko faida?

    Ukitazama Kwa jicho la tatu utagundua kama sio kumleta Aziz Ki na kumlipa zaidi ya milioni 25 Kwa mwezi pengine Feisal asingeondoka Yanga na kama Feisal asingeondoka na kwenda Azam kulipwa hela nyingi pengine Chama Leo asingekuwa anadai hela zaidi. Naona kila mchezaji sasa anaangalia mbona Aziz...
  12. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu wa mwisho kwa Simba kuhusu usajili

    Habari wakuu, Moja kwa moja niende kwenye mada, lakini nitoe angalizo kuwa napenda mada yangu usomwe na watu wenye akili timamu na kujibiwa na watu wenye ufahamu. Binafsi ninahuzunishwa sana na baadhi ya sajili kwenye Klabu yangu pendwa ya Simba. 1. Usajili wa mawinga kumi na moja. Saido...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Man United yafikia makubaliano na Inter Milan juu ya usajili wa Andre Onana

    Inaelezwa kuwa makubaliano yaliyofikiwa ni kumuuza kwa Pauni Milioni 43 ili kuchukua mikoba ya David De Gea ambaye ameondoka baada ya kudumu kwa miaka 12 Onana pia ameshakubaliana mahitaji binafsi na Manchester United na anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka mitano United inatarajiwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Miquissone Simba ni usajili wa mihemko na kuwafurahisha mashabiki na sio usajili wa kiufundi

    Ni ajabu sana kwa hizi timu zetu za Kitanzania Simba na Yanga kufanya mambo kienyeji kienyeji sana ili kuwafurahisha mashabiki wao na sio kuitengeneza timu. Kuna tetesi kuwa Simba wamemsajili Miquissone, unachojiuliza uyo Kocha alimuona Miquissone kwenye mechi ipi ya kiushindani mpaka...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ni wajinga tu wanaomuhusisha Chama na Yanga, tabia yake kipindi cha usajili inajulikana

    Hizi porojo tulishazizoea, mchezaji ana mkataba na timu yake wa mwaka mmoja alafu wajinga wajinga wanatembea na upepo kuihusisha yanga na mchezaji husika. Ni lini vilabu hivi vikauziana wachezaji wenye mikataba? Uyo chama keshazoea kufanya icho anachokifanya uwa anapenda kucheza na fursa pindi...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumbe tumetanguliza Kutoa Jezi zetu Mbaya ili tupate Pesa ya Usajili?

    Na mpaka sasa Jezi zimedoda katika Maduka mengi na kuna uwezekano zikashushwa Bei hadi Kuuzwa Shilingi Elfu Tatu ( Tsh 3,000/= ) ili tupate Pesa za Kumalizia Deni la Kocha Mbelgiji ili FIFA wasitufungie kabisa Kusajili na kwa upande wa Wachezaji waliobakia ( ila tunawahitaji ) na wale Wapya...
  17. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Bado nazidi kuona makosa makubwa kwenye usajili wa Simba. Kwa mwendo huu mashabiki jiandaeni maumivu tena na tena 2023-24

    Habari ndugu ZANGU. Mimi ni mdau WA soka. Na mpenzi na mdau wa Simba. Nimekuwa nikifuatilia usajili HASA WA wachezaji wa KIGENI ndani ya simba. NIMEWEZA KUYAONA MAKOSA YAFUATAYO KIUFUNDI. 1. KOSA kubwa la Kwanza ni KUMUACHA Golikipa Beno kakolanya., Hivyo wanalazimika KUSAJILI Golikipa wa...
  18. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kunani Yanga yetu mbona mpo kimya sana suala la usajili?

    Misimu miwili nyuma yanga walikuwa moto sana kwenye usajili msimu huu mbona kimya sana kunani?
  19. gentleman J

    JamiiForums Tanzania Usajili wa ngoma kwa Yanga ni wakuchezeshwa.....

    Habari zenu. Fabrice ngoma ni mchezaji nzuri.. Juzi kati simba wameajiri scout wa kutafuta wachezaji je scout wa simba anapora wachezaji wa timu pinzani uwanja wa ndege,sasa kazi ya scout ni nini?? Hivi yanga wamtake mchezaji washindwe kumtumia pre contract kwa email?? Transfer market ya...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yaingia makubaliano na Klabu ya Yanga kusaidia Usajili wa Wanachama na Mashabiki

    Benki ya CRDB imeingia mkataba wa makubaliano na Yanga kutoa kadi kwa wanachama wa klabu Yanga katika kuongeza ufanisi wa usajili na masuluhisho ya kifedha. Akizungumza wakati hafla kusaini makubaliano hayo iliyofanyika Julai 1, 2023, Afisa Mkuu wa Biashara Benki ya CRDB, Boma Raballa amesema...
Back
Top Bottom