Je, ni haki kwa mteja wa Vodacom kukataliwa kufutiwa Usajili wa laini kwasababu ya kuwa na namba moja tu?

Mr Why

JF-Expert Member
Nov 27, 2019
1,113
1,882
Kampuni ya Vodacom inakatalia wateja wake kufuta usajili wa laini zao kwasababu wanakuwa na laini moja tu. Vodacom wanadai kwamba hawawezi kufuta usajili wa laini moja tu labda ziwe zaidi ya moja.

Kwanini wanafanya hivi kwasababu kitendo hiki ni sawa na kumlazimisha mteja atumie mtandao wenu?
 
kiusalama wa mtumiaji wanakosea.... kuna mtu amepata usumbufu sana baada ya kusajili line kumbe namba hiyo ilishafanya utapeli mtumiaji akaacha kuitumia ikafutwa ktk system,

jamaa akaja kuisajili hakujua aliyefanyiwa utapeli bado huwa ana itrack. akanasa mpaka kuja kulisolve kapoteza muda na hela. so ni bora waruhusu kufuta usajili kisheria.
 
Nikweli kabisa au wakishafuta iwe ndo mwisho haitawahi kutumika tena
 
kiusalama wa mtumiaji wanakosea.... kuna mtu amepata usumbufu sana baada ya kusajili line kumbe namba hiyo ilishafanya utapeli mtumiaji akaacha kuitumia ikafutwa ktk system,

jamaa akaja kuisajili hakujua aliyefanyiwa utapeli bado huwa ana itrack. akanasa mpaka kuja kulisolve kapoteza muda na hela. so ni bora waruhusu kufuta usajili kisheria.
Natamani kukuelewa, huyu Mtu alisumbuliwa vipi Ilhali namba ilikuwa Mfu kwa miezi sita, Kisha yeye akapewa kihalali na Vodacom kwa kutumia Majina yake tofauti na ya huyo aliyefanya Utapeli..
 
Five-Os wetu sio wapumbavu ila ni wapigaji. Few days tu za interrogation they know mtu sio muhusika. Wanaendelea kukuhold ili wakuvute upepo.
 
Natamani kukuelewa, huyu Mtu alisumbuliwa vipi Ilhali namba ilikuwa Mfu kwa miezi sita, Kisha yeye akapewa kihalali na Vodacom kwa kutumia Majina yake tofauti na ya huyo aliyefanya Utapeli..
Inatakiwa namba ikishafutwa isije kutumika tena
 
Back
Top Bottom