Hiki ni kitu ambacho unaweza kukitengeneza kutokana na matendo, mavazi na maneno yako.
Katika mapenzi, urembo au utanashati hauna nguvu kama mvuto.
Mvuto ni namna ambavyo unamfanya mtu akuone bora, wathamani na wakipekee.
Mvuto ndio unafanya umuone Neema wako ni bora kuliko wanawake wote...