Nani aliwadanganya Wanawake wa Kiafrika kuwa weupe ndiyo urembo?

Kizoda

Senior Member
Mar 5, 2022
130
296
Yaani siku hizi imekuwa too much sasa

Kuna mwanamke mmoja hivi nilikuwa na-chat naye yaani yeye kila picha yake akiweka status yaani ni Mzungu tu

Sasa leo katika mizunguko yangu nimekutana naye live. Eee bwana ni mweusi tena ana chunusi.

Nimem-block sipendi ujinga

Hivi ninyi wanawake wetu kwanini msijikubali na weusi wenu uo kama wanawake wa Burundi na Soudan?
 
Yaani siku hizi imekuwa too much sasa

Kuna mwanamke mmoja hivi nilikuwa na chat naye yaani yeye kila picha yake akiweka status yaani ni Mzungu tu

Sasa leo katika mizunguko yangu nimekutana naye live
Eee bwana ni mweusi tena ana chunusi

Nime mblock sipendi ujinga

Hivi Ninyi wanawake wetu kwanini msijikubali na weusi wenu uo kama wanawake wa Burundi na soudan ?
Chanzo cha ujinga huu ni hizi dini za kuletewa.....tumedanganywa sana na waliotuletea hizi dini. Kijana wa kiislam aliye na uwezo anajiona hajakamilika kama hajaoa mwanamke wa kiarab na anaona ufahari.
 
Yaani siku hizi imekuwa too much sasa

Kuna mwanamke mmoja hivi nilikuwa na chat naye yaani yeye kila picha yake akiweka status yaani ni Mzungu tu

Sasa leo katika mizunguko yangu nimekutana naye live
Eee bwana ni mweusi tena ana chunusi

Nime mblock sipendi ujinga

Hivi Ninyi wanawake wetu kwanini msijikubali na weusi wenu uo kama wanawake wa Burundi na soudan ?
Kwa hiyo umemblock kwa kuwa ni mweusi!
 
Yaani siku hizi imekuwa too much sasa

Kuna mwanamke mmoja hivi nilikuwa na chat naye yaani yeye kila picha yake akiweka status yaani ni Mzungu tu

Sasa leo katika mizunguko yangu nimekutana naye live
Eee bwana ni mweusi tena ana chunusi

Nime mblock sipendi ujinga

Hivi Ninyi wanawake wetu kwanini msijikubali na weusi wenu uo kama wanawake wa Burundi na soudan ?
mabinti wengi wa siku hizi walishauza utu wakaaamua kubusu baruti
 
Weupe asili wa kiafrika una kamn'gao flani hivi kakuvutia achana na ule wa kupakaa kemikali
Kweli kabisa, alafu mbaya ni pale mwanamke mweupe wa asili anapoanza kujichubua tena ili aongeze mng'ao, mbaya zaidi ni mwanamke mweusi anapoanza kujichubua ,vidole,viwiko na visigino utaona tu rangi haishabihiani na sehem zinginezo.

Napenda mwanamke na ngozi ya asili, kama ni black awe black kama ni white awe white wa asili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom