urembo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chaliifrancisco

    Urembo wangu Unawafanya watu Kutoamini Kwamba nina Virusi vya HIV

    Susan Metta ni mwanamke wa miaka 40 kutoka nchini Kenya. Miaka miwili iliyopita alipopashwa habari za kuwa alikuwa na virusi vinavyosababisha ugonjwa wa ukimwi,badala ya kukumbwa na simanzi huzuni na machungu, mwanadada huyu anasema kuwa alitabasamu tu na kumueleza muhudumu wa afya aliyekuwa...
  2. mkenya wa kova

    Tunatengeneza urembo safi wa nyumba kama inavyoonekana katika hizi picha

    Ni mtaalam wa finishing ya urembo wa nyumba tunapatikana kote Tanzania na Kenya. Njoo WhatsApp kwa namba hizi +254759792752 au+255719999526
  3. FAJES

    BEITO: Tumekusogezea huduma za Usafi na Urembo kiganjani mwako

    Kwa Wakazi wa Dar es Salaam; Hii si ya kukosa. Fanya Booking ya Huduma ya Usafi au Urembo ukiwa Nyumbani kwako ama popote ulipo, na sisi tutakufuata hapo ulipo. Popote ulipo, nasi Tupo. Hakuna tena haja ya kutumia muda mwingi wa kutafuta huduma za Urembo ama Usafi Unaweza pia kufanya booking...
  4. Nyalikanho

    Biashara ya kufanya makeup, kusuka na kuuza urembo

    Wadau naombeni ushauri Nimepata wazo la kumfungulia duka la urembo mke wangu ila nataka akajifunze kufanya makeup na kusuka location ya kujifunza = Kariakoo (kama nitaambiwa location nzuri zaid itapendeza) then akishakua vizuri ndo nimfungulie duka uku mtaani(Kigamboni). je, hii biashara iko...
  5. FAJES

    Watoa huduma shughuli za Usafi na Urembo wanahitajika Dar es Salaam, changamkia fursa sasa

    TANGAZO LA KAZI TAREHE 17, DISEMBA 2020. BEITO IINTERNATIONAL COMPANY LTD, tunajihusisha na shughuli za usafi na urembo. Ofisi zetu zipo Dar es Salaam, Wilaya ya Kinondoni, Mwenge, ITV. Huduma tunazozitoa ni hizi zifuatazo; USAFI Usafi wa nyumbani wa kila namna kama vile kusafisha ndani na...
  6. C

    Duka la urembo wakina dada

    Nimepata wazo la kufungua duka litakalouza vifaa vya urembo kwa wakina Dada (cosmetics) maeneo ya Mbezi ya kimara au Kibaha. Nimewaza kuweka perfume mbali mbali! Mafuta ya kupaka, lotion, sabuni za manukato, rangi za kucha. Je nahitaji kuwa na mtaji wa kiasi gani!? Kariakoo nitapata bidhaa kwa...
  7. zagarinojo

    Eti jamani urembo wa mwanamke unachangia kunogesha tendo?

    Wadau eeh! Its time. Najaribu kuvuta taswira ya wanawake warembo na wazuri. Huwa najiuliza hivi uzuri/urembo wao unaweza kuchangia kunogesha tendo. Mimi kwa akili yangu najuaga mwanamke akiwa mzuri/mrembo kwenye tendo ndio atanoga tofauti na wale wenye urembo wa kawaida. Wale wenye urembo wa...
  8. KichwaBOGA

    Urembo raha jamani

    Nahisi urembo wangu umevuka mipaka, wanaume wanahangaika sana kunipata adi nawahurumia kuna wanaonihonga viwanja wengne magari adi wengne wameacha adi familia zao kunipata mie kichwaBOGA. Sijui wanavutika kwa fesi yangu pua ya kitusi, au pengne uno langu matata. Au ni K yangu yenye hadhi ya 5G...
  9. EvilSpirit

    Hivi urembo unaruhusiwa humo majeshini?

    Kama una tupicha cha warembo wetu majeshini tupiamo humu
  10. The MVP Tricks

    Bahasha za kuwekea dawa, picha, passport, urembo, simu na matumizi ya ofisini kwako

    Habari ya muda huu mpenzi msomaji wa makala hii. Mi naitwa DEOGRACIUS JOSHUA, Mkurugenzi na mmoja wa wamiliki wa kiwanda kidogo Cha vifungashio au mifuko mbadala kiitwacho DEO VIFUNGASHIO kukiwa chini ya DEO & FRANK Company Mkoani Dodoma, dodoma mjini. Tunapenda kuwataarifu enyi wamiliki wa...
  11. Zurie

    Tunajiremba kwa pesa zetu, kinachowaumiza wanaume ni kipi?

    Wanaume naomba niwaulize kitu kimoja, Kwanini mnaumia sana sisi kujiremba? Yaani nafanya kazi, natengeneza pesa, naenda saluni natengeneza nywele zangu, nabandika kucha, naweka kope zangu za bandia kwa pesa zangu. Mwanaume anatoka huko roho inamuuma eti "Akina dada wanajiremba sana, ooh sipendi...
Back
Top Bottom