urais

Kanako Urai (浦井 佳奈子, Urai Kanako, born September 26, 1981) is a Japanese professional wrestler currently signed to WWE, where she performs on the Raw brand under the ring name Asuka (アスカ, ) where she is the current Raw Women's Champion in her first reign.
Previously known as Kana (華名), she started her professional wrestling career in the AtoZ promotion in June 2004, where she remained until retiring in March 2006. She returned to the ring a year and a half later, starting to work as a freelancer for promotions such as JWP Joshi Puroresu, NEO Japan Ladies Pro-Wrestling, Pro Wrestling Wave, Reina Joshi Puroresu, Smash and Wrestling New Classic (WNC). Her achievements include winning the JWP Openweight Championship, NEO Tag Team Championship, Reina World Women's Championship, Smash Diva Championship and Wave Tag Team Championship.
In August 2015, Urai signed a developmental deal with WWE, making her the first Japanese female wrestler signed with the company in over 20 years. After spending two years in WWE's developmental branch NXT, where she is a former NXT Women's Champion (with her reign of 510 days being the longest in that title's history) as well as the Female Competitor of the Year (2016, 2017) and Overall Competitor of the Year (2017) NXT Year-End Award winner, Asuka was moved to the promotion's main roster in September 2017. In addition, the company has billed her as having the "longest undefeated streak in WWE history" at 914 days. In January 2018, she was the inaugural winner of the women's Royal Rumble match. She is also a former SmackDown Women's Champion, Women's Tag Team Champion (with Kairi Sane) and the 2020 Women's Money in the Bank ladder match winner, making her the first to win both the women's Royal Rumble and Money in the Bank matches. Following her Raw Women's Championship win, Asuka became the third Women's Triple Crown Champion and the second Women's Grand Slam Champion.
In December 2015, Dave Meltzer of the Wrestling Observer Newsletter stated that Urai "may be the best worker in WWE, man or woman". In 2017, Asuka became the first Japanese wrestler to top Pro Wrestling Illustrated's (PWI) annual PWI Female 50 list. Her techniques include various kicks and submission holds, leading to a reputation for a stiff wrestling style. Urai has also worked as a freelance graphic designer and video game journalist and through her work with Microsoft she has been sponsored by the company, wearing an Xbox 360 logo on her gear.

View More On Wikipedia.org
  1. Replica

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

    Mkurugenzi wa Uchaguzi: Tume ya uchaguzi baada ya kupokea pingamizi dhidi ya wagombea hao, imewataarifu wawekewa pingamizi mapema iwezekanavyo na wahusika wamewasilisha utetezi wao. Pingamizi dhidi ya mgombea wa CUF kwamba hakurudisha fomu kwa mujibu wa masharti yaliwekwa na sheria, tume baada...
  2. BAVICHA Taifa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 niliyojifunza katika zoezi la kujaza fomu na kupata uteuzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa wagombea wa nafasi za Udiwani, Ubunge na Urais

    1. Vyama vya upinzani havikuwa na mkakati kabambe wa kuwasaidia wagombea wake kujaza fomu kwa usahihi. Mfn mgombea wa Morogoro mjini DEVOTHA MINJA hakuambatisha picha. 2. Wasimamizi wa uchaguzi waliongozwa na Sheria na kanuni katika kusimamia zoezi, licha ya baadhi ya wagombea kupanga...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Fahamu watu wanaoruhusiwa kuweka pingamizi dhidi ya wagombea wa Urais, Makamu wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa mujibu wa Sheria

  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mapingamizi ya wagombea Urais yatamfanya mwamuzi awe kama Pontio Pilato

    Najaribu kuifuatilia safari ya njia ya msalaba kupitia Biblia Takatifu, kiukweli kuna baadhi ya maamuzi ni vigumu kuyafanya ukiwa vuguvugu ni ama uwe na Roho Mtakatifu au uwe na Roho wa Shetani. Naamini Mungu atamuongoza vema Jaji Kaijage endapo kuna mapingamizi yoyote yatatokea. Pontio Pilato...
  6. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Vyombo vya Habari vitaanza kumpa "Coverage" kubwa Tundu Lissu, mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA?

    Ingawaje kwenye sekta ya habari, kuna kanuni moja Kuu kuwa ni lazima waandishi hao wazisake kwa nguvu zote habari zinazouzika, lakini kwa hapa nchini hali imekuwa tofauti sana, kwa vyombo vyote vya habari nchini, ambapo "vimelazimishwa" kutangaza habari za upande mmoja pekee, za Rais Magufuli...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yabandika majina ya walioteuliwa kuwania Urais na Makamu wa Rais

    NEC leo inatarajiwa kutangaza waombaji walioteuliwa kugombea urais wakati wa Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Wagombea hao walitakiwa kupata wadhamini 200 kila mkoa kutoka mikoa 10 na kati ya hiyo miwili ya Zanzibar Tanzania ina vyama 19 vya siasa vyenye usajili, viwili...
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chama Cha Kijamii(CCK) kimeshindwa kutimiza vigezo vya kisheria kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais

    Katika urejeshaji huo simuoni mgombea mwenza akiambatana na mgombea urais. Nilitarajia kuona mgombea wa kiti cha urais kutoka chama CCK akiambatana na mgombea mwenza. Je inawezekana asiteuliwe? UPDATE Rasmi CCK imeshindwa kutimiza vigezo vya kisheria kuteuliwa kugombea nafasi ya urais. 1...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea Urais na Makamu wa Rais kwa tiketi ya ADC wateuliwa kugombea na NEC

    UCHAGUZI 2020: Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Queen Cuthberta Sendiga kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Shoka Khamis Juma kuwa mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais kupitia chama cha ADC.
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC imemteua Yeremia Kulwa Maganja, kuwa Mgombea wa Urais kupitia NCCR-Mageuzi

    Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Yeremia Kulwa Maganja, kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Haji Ambar kuwa Mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi.
  11. Kipapatiro

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC imemteua Bernard Membe kugombea Urais na Omary Mohamed Umakamu wa Rais kupitia ACT-Wazalendo

    Benard Membe na Makamu wa Rais (wagombea) wa ACT-Wazalendo wamekidhi vigezo vya kuteuliwa na kugombea. Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Bernard Membe kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Omary Mohamed kuwa mgombea wa...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania Updates ---- Tayari Mheshimiwa Tundu Lissu ambaye ni mgombea Urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form UPDATE:-...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC imemteua Dkt. John Pombe Magufuli kugombea Urais na Mama Samia Suluhu Umakamu wa Rais kupitia CCM

    Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli arejesha fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Njedengwa Jijini Dodoma. Ameongozana na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan. M/kiti wa NEC, Jaji Mstaafu...
  14. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu atarudisha fomu na kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Urais, hakuna wa kumzuia

    25 August 2020 CCM na serikali yake imekuwa na vikao visivyoisha kutafuta mbinu, sababu, na kupima matokeo ya kumkwamisha Lissu ili asiweze kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hapo Octoba 28 2020. Mpaka kufikia jana options zote za kumkata Lissu...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 Inahitaji juhudi ili kurusu uchaguzi kuendelea

    Tangia tumeanza process ya kuingia kwenye uchaguzi wa mwaka 2020, kumekuwepo maneno mengi yanayoashiria uvunjifu wa Amani, vitisho kutoka nje ya nchi hasa pale mgombea fulani anapomshutumu mwenzake kuwa serikali yako ndiyo ilinipiga risasi, serikali yako imeteka na kuua Watu nk. Tumeona barua...
  16. Matojo Cosatta

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mapingamizi halali kisheria dhidi ya mgombea nafasi ya Urais

    MAPINGAMIZI HALALI KISHERIA DHIDI YA MGOMBEA NAFASI YA URAIS. Wiki ijayo tarehe 26 August, 2020 itakuwa ni siku ya wagombea kuwasilisha mapingamizi dhidi ya wagombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mapingamizi halali kisheria anayoweza kuwekewa mgombea wa nafasi ya...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ngoja niwape siri: Lissu anatamani akatwe jina na NEC ili apitie mlango wa nyuma kuutwaa Urais

    Habari waungwana! Ngoja niwaambie jambo ambalo linaweza kuonekana la kawaida au la kipuuzi ila ndio ukweli uliositirika. Lissu ukimsikiliza vizuri kwenye speech zake kuna jambo analiongea . Jambo hilo inaonyesha watu wenye nguvu wako nyuma yake. Na Lissu anadubiri mpenyo kuwatukia hao watu...
  18. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu akamilisha ujazaji wa fomu za Urais Tanzania

    TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenye Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, amekamilisha hatua za mwisho za ujazaji fomu za uteuzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Leo Ijumaa tarehe 21 Agosti 2020, Lissu akiambatana na mgombea...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea urais CCK asema makahaba watachapwa viboko 200, jela miezi 6

    MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele, amesema iwapo wananchi watakipa ridhaa chama chake kushika madaraka, serikali yake itatunga sheria ambayo makahaba, wasagaji na mashoga watakuwa wanachapwa viboko 200 na kwenda jela miezi sita. Aidha, alisema mafisadi...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uchaguzi wa Urais Uganda: Ni rasmi Kizza Besigye hatagombea Urais nchini humo

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Dr. Kizza Besigye amewaambia wafuasi wake kwamba hatagombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2021. Alikuwa akizungumza katika ofisi za chama cha Forum for Democratic Change katika siku za mwisho za uteuzi wa wale wanaogombea urais katika chama hicho . Besigye...
Back
Top Bottom