urais

Kanako Urai (浦井 佳奈子, Urai Kanako, born September 26, 1981) is a Japanese professional wrestler currently signed to WWE, where she performs on the Raw brand under the ring name Asuka (アスカ, ) where she is the current Raw Women's Champion in her first reign.
Previously known as Kana (華名), she started her professional wrestling career in the AtoZ promotion in June 2004, where she remained until retiring in March 2006. She returned to the ring a year and a half later, starting to work as a freelancer for promotions such as JWP Joshi Puroresu, NEO Japan Ladies Pro-Wrestling, Pro Wrestling Wave, Reina Joshi Puroresu, Smash and Wrestling New Classic (WNC). Her achievements include winning the JWP Openweight Championship, NEO Tag Team Championship, Reina World Women's Championship, Smash Diva Championship and Wave Tag Team Championship.
In August 2015, Urai signed a developmental deal with WWE, making her the first Japanese female wrestler signed with the company in over 20 years. After spending two years in WWE's developmental branch NXT, where she is a former NXT Women's Champion (with her reign of 510 days being the longest in that title's history) as well as the Female Competitor of the Year (2016, 2017) and Overall Competitor of the Year (2017) NXT Year-End Award winner, Asuka was moved to the promotion's main roster in September 2017. In addition, the company has billed her as having the "longest undefeated streak in WWE history" at 914 days. In January 2018, she was the inaugural winner of the women's Royal Rumble match. She is also a former SmackDown Women's Champion, Women's Tag Team Champion (with Kairi Sane) and the 2020 Women's Money in the Bank ladder match winner, making her the first to win both the women's Royal Rumble and Money in the Bank matches. Following her Raw Women's Championship win, Asuka became the third Women's Triple Crown Champion and the second Women's Grand Slam Champion.
In December 2015, Dave Meltzer of the Wrestling Observer Newsletter stated that Urai "may be the best worker in WWE, man or woman". In 2017, Asuka became the first Japanese wrestler to top Pro Wrestling Illustrated's (PWI) annual PWI Female 50 list. Her techniques include various kicks and submission holds, leading to a reputation for a stiff wrestling style. Urai has also worked as a freelance graphic designer and video game journalist and through her work with Microsoft she has been sponsored by the company, wearing an Xbox 360 logo on her gear.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huku ni kupuuza vilio na malalamiko ya watanzania. Nini anataka huyu mgombea urais wa CCM?

    Watanzania wanataka ;- Hali bora za maisha. Ajira Biashara zao zifufuke na kukua Mzunguko wa fedha uwe mzuri Uhuru na haki vitamalaki. Sasa huyu mgombea pamoja na kwamba watanzania wanapiga kelele kuwa madege aliyo yanunua kwa fedha taslimu yanatufilisi na hayafanyi biashara yoyote bado...
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ahadi za mgombea wa urais CCM nyingine ni za majukwaani tu. Watanzania muwe makini

    Mnaikumbuka ahadi hii ya 2015???
  3. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa hali hii Urais ni bora tumwachie Magufuli atuvushe tu

    Ndugu wanajamvi za mida hii? Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja, Binafsi kama mtanzania sioni haja ya kupepesa macho wala kuwa mnafiki kwa kile kinachoonekana kwa macho kabisaa, Nimejaribu kufuatilia mwenendo mzima wa harakati za kisiasa za hapa nchini lakini nimegundua kwamba kwa sasa...
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri katika Ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) - Uwanja wa Jamhuri, Dodoma (Agosti 29, 2020)

    Leo chama tawala (CCM) kinafungua kampeni zake uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma kuomba ridhaa ya wananchi kurejea kwenye utawala baada ya ngwe ya kwanza ya miaka mitano ya serikali ya awamu ya tano kuisha. Dkt. John Magufuli Rais anayemaliza awamu yake ya kwanza amepewa ridhaa ya chama hicho...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

    Rais Mtarajiwa wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea Urais wa Chadema Mh Tundu Lissu, ambaye wachambuzi wa kisiasa wanamkadiria kujinyakulia zaidi ya 70% ya kura zote, leo tena anaingia kwenye viwanja vya Tanganyika Packers kuongea na wananchi. ===== LIVE FEED: MBOWE: HATUOGOPI TBC WALA...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea urais aliyekatwa NEC sasa kikaangoni

    Chama Cha Kijamii (CCK) kimepanga kuitisha kikao kumweka kitimoto aliyekuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama hicho, David Mwaijojele, kutokana na kuenguliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwania nafasi hiyo Mwaijojele ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCK...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Chama pinzani (Democrats) chakiri Joe Biden hawezi ku-debate na Donald Trump kwenye kampeni za urais 2020

    Wapinzani (Democrats) Hatimae wameuona Mwanga baada ya safari ndefu kwenye handaki, sasa ni dhahiri hata kwao kwamba Kumsdinda Trump kwa kumtumia mgombea wao Joe Biden ni kama kumchuna ngozi kupe, Haiwezekani, Ni wazi katika hio video Nancy Pelosi amekiri kwamba Mgombea uraisi kwa tiketi ya...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

    Salaam Mkuu, leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kinafanya uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania zinazofanyika, Uwanja wa Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam. Tundu Lissu ndiye anayepeperusha bendera ya Chadema kwenye nafasi ya urais na Salumu...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Msimamo: Napinga TBC kurusha Live Mkutano wa uzinduzi wa kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA

    Kwa miaka mingi sana tangu kuondolewa kwa Tido Mhando kwenye uongozi wa TBC , Channel hii imejipambanua bila kificho wala uoga wowote kama channel ya ccm , kwa kuonyesha kila kinachofanywa na ccm hata mambo ya hovyo na yasiyo na tija kwa Taifa hili , imewapuuza wapinzani katika kipindi chote...
  10. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nasimama na Dkt. John Pombe Magufuli, Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM

    Nilitabiri humu na ikawa kweli kuwa Wagombea wakuu wa uchaguzi mkuu wa Rais mwaka huu ni Wakili Msomi mwenzangu Tundu Lissu (Upinzani/CHADEMA) na Dr. John Pombe Magufuli (CCM). Ni katika andiko langu hili: Uchaguzi 2020 - Utabiri wangu 2020: Ni Dr. John Pombe Magufuli (CCM) na Wakili Msomi Tundu...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama tu Trump na Biden wameshaanza 'Kushutumiana' Mmoja anatumia 'Unga' nina uhakika huku Tanzania 'Bange' zitaonekana 'Vichwani' mwa Wagombea Urais

    Rais wa Marekani Donald Trump atoa pendekezo la yeye na mpinzani wake wa Democratic Joe Biden wote wafanyiwe vipimo vya uchunguzi kama wanatumia dawa kabla ya mjadala wao mwezi ujao, akidai amegundua mabadiliko makubwa ya Biden katika kujieleza kwenye mijadala. ITV Tanzania Kipaumbele changu...
  12. Replica

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

    Mkurugenzi wa Uchaguzi: Tume ya uchaguzi baada ya kupokea pingamizi dhidi ya wagombea hao, imewataarifu wawekewa pingamizi mapema iwezekanavyo na wahusika wamewasilisha utetezi wao. Pingamizi dhidi ya mgombea wa CUF kwamba hakurudisha fomu kwa mujibu wa masharti yaliwekwa na sheria, tume baada...
  13. BAVICHA Taifa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 niliyojifunza katika zoezi la kujaza fomu na kupata uteuzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa wagombea wa nafasi za Udiwani, Ubunge na Urais

    1. Vyama vya upinzani havikuwa na mkakati kabambe wa kuwasaidia wagombea wake kujaza fomu kwa usahihi. Mfn mgombea wa Morogoro mjini DEVOTHA MINJA hakuambatisha picha. 2. Wasimamizi wa uchaguzi waliongozwa na Sheria na kanuni katika kusimamia zoezi, licha ya baadhi ya wagombea kupanga...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Fahamu watu wanaoruhusiwa kuweka pingamizi dhidi ya wagombea wa Urais, Makamu wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa mujibu wa Sheria

  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mapingamizi ya wagombea Urais yatamfanya mwamuzi awe kama Pontio Pilato

    Najaribu kuifuatilia safari ya njia ya msalaba kupitia Biblia Takatifu, kiukweli kuna baadhi ya maamuzi ni vigumu kuyafanya ukiwa vuguvugu ni ama uwe na Roho Mtakatifu au uwe na Roho wa Shetani. Naamini Mungu atamuongoza vema Jaji Kaijage endapo kuna mapingamizi yoyote yatatokea. Pontio Pilato...
  17. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Vyombo vya Habari vitaanza kumpa "Coverage" kubwa Tundu Lissu, mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA?

    Ingawaje kwenye sekta ya habari, kuna kanuni moja Kuu kuwa ni lazima waandishi hao wazisake kwa nguvu zote habari zinazouzika, lakini kwa hapa nchini hali imekuwa tofauti sana, kwa vyombo vyote vya habari nchini, ambapo "vimelazimishwa" kutangaza habari za upande mmoja pekee, za Rais Magufuli...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yabandika majina ya walioteuliwa kuwania Urais na Makamu wa Rais

    NEC leo inatarajiwa kutangaza waombaji walioteuliwa kugombea urais wakati wa Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Wagombea hao walitakiwa kupata wadhamini 200 kila mkoa kutoka mikoa 10 na kati ya hiyo miwili ya Zanzibar Tanzania ina vyama 19 vya siasa vyenye usajili, viwili...
  19. Msanii

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chama Cha Kijamii(CCK) kimeshindwa kutimiza vigezo vya kisheria kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais

    Katika urejeshaji huo simuoni mgombea mwenza akiambatana na mgombea urais. Nilitarajia kuona mgombea wa kiti cha urais kutoka chama CCK akiambatana na mgombea mwenza. Je inawezekana asiteuliwe? UPDATE Rasmi CCK imeshindwa kutimiza vigezo vya kisheria kuteuliwa kugombea nafasi ya urais. 1...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea Urais na Makamu wa Rais kwa tiketi ya ADC wateuliwa kugombea na NEC

    UCHAGUZI 2020: Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Queen Cuthberta Sendiga kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Shoka Khamis Juma kuwa mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais kupitia chama cha ADC.
Back
Top Bottom