Uchaguzi 2020 NEC imemteua Yeremia Kulwa Maganja, kuwa Mgombea wa Urais kupitia NCCR-Mageuzi

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,519
9,322
Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Yeremia Kulwa Maganja, kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Haji Ambar kuwa Mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi.

1598358699253.png
 
Back
Top Bottom