uraibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Mh nimeskia waziri mkuu Leo anawasemea waliopona uraibu wa madawa ya kulevya wapewe ajira..

    Majobless mpo!? Naona Kila siku mnalia tamisemi zitatangazwa lini ajira , maana vijana wanasubiri ajira Hadi wanapata stress wengine ni walevi na yawezekana hata wengine wataingia kwenye dimbwi la dawa za kulevya...huku Leo waziri mkuu ametoa Rai Kwa tamisemi kuwaajira waliopona uraibu, sasa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Jamani majobless tunaosubiri ajira mmesikia huko waziri mkuu amewapa connection wanaopona uraibu wa dawa za kulevya

    Siasa hizi jamani! Waliopona uraibu wa madawa ya kulevya waziri mkuu ametoa hoja tamisemi huko wapewe ajira ...vipi inawatazama vipi vijana ambao wanaelekea kutumia hayo madawa sababu ya kukosa muelekeo wa maisha...kumbe wanasuburi waharibikiwe alafu ndo waje watoe ajira Kwa wagonjwa
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uraibu wa michezo ya bahati nasibu

    STORY CHANGE YA URAIBU WA MICHEZO YA BAHATI NASIBU Nguvu ya uchumi ndio sauti pekee katika Taifa lolote Duniani, hata hivyo wazalishaji wakuu wa uchumii ni vijana , kwa kutambua umuhimu wa vijana katika nguvu kazi ya uchumi Mataifa Mengi yameweka sera mbalimbali za kumuinua kijana katika...
  4. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Kivuko cha Uraibu: Safari ya John kuelekea Mabadiliko

    John alikuwa kijana mdogo mwenye ndoto nyingi. Lakini ndoto hizo zilifunikwa na kivuli cha uraibu wa madawa ya kulevya. Alikuwa amejikwaa kwenye dimbwi la matumizi ya madawa ya kulevya kwa miaka mingi, akijaribu kutafuta faraja katika ulimwengu uliopotoshwa. Siku zilipita, na kila siku...
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu wa Pwani ni rahisi kuwa addicts? Kwanini wao wana uraibu mkubwa wa vilevi kuliko miji ya Nairobi, Meru, Kisumu, Nakuru, n.k?

    Dear Kenyans, tunahitaji ufafanuzi Kinacchoendelea kwa sasa Kenya naona kwenye TV na Mitandaoni mkoa ya Coast ikiongozwa na Mombasa hawataki miraa na muguka kuuzwa maeneo yao. The same substances are used all over the country, kwanini ume affect sana coast? Watu wa Pwani ni rahisi kuwa addicted?
  6. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vita dhidi ya uraibu wa kamari na vilevi vikali, kuinusuru Tanzania tuitakayo

    Utangulizi Nchi yetu Tanzania, kama ilivyo katika mataifa mengi, vita dhidi ya uraibu wa kamari na vilevi vyenye kemikali maarufu kama "Visungura" imekuwa changamoto kubwa. Tatizo hili limekua na kuwa janga la kitaifa, likiwaathiri zaidi vijana, ambao ni tegemeo la taifa kwa maendeleo ya...
  7. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Chidi benzi anasema ukweli Lakin mbona hasemi jinsi madawa yanavyosababisha vijana kua mashoga kisa uraibu wa unga??

    Chid benzi anadai wasanii wengi michicha miba lakini mbona haelezi ukweli kuhusu uraibu unavowafanya vijana kuwa mapapai
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya kuchunguza uraibu katika Instagram na Facebook

    Umoja wa Ulaya unachunguza Facebook na Instagram ikiwa zinaweza kuwa na uraibu wa kiwango cha juu kiasi kwamba zinakuwa na "athari mbaya" kwa "afya ya mwili na akili" ya watoto. Pia itachunguza kama wamefanya vya kutosha kuhakikisha kuwa watumiaji ni wa umri unaoruhusiwa kuzitumia, na jinsi...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kula kula ukiendekeza inakua kama bangi, hii kitu vimenipa uraibu mbaya mno, nina collection ya makopo yake ndani

    Hii kitu ina addction moja mbaya sana unanunua kopo kubwa la elf 6 (kwengine hadi elf 8), unapanga ule kwa siku 3 lakini ukionja kipande tu nakuapia unaweza kufuta lote mda huo huo, ukionja ni ngumu sana kujizuia kuingiza mkono kuchota nyingine. Pringles zipo za aina nyingi sana kwa ladha...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naondoaje uraibu wa kusikiliza muziki?

    Yaani hata nikisikia mlio wa ambulance tu basi akilini naisikia 'Brigedier Sabari' ya alpha blond, Yaani nikisikia tu neno 'mpenzi' basi haraka kichwani huja wimbo 'Sanura' wa Tongolanga kwenye kile kipande kinachosema, ''Unachonishangaza mpeenzi, huzoeleki; Huwa unashindwa wapi zaiidi, tele...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hizi ni dalili 7 kuwa una Uraibu (Addiction) ya matumizi ya Simu

    Simu ni Kifaa muhimu cha mawasiliano kwa binadamu yeyote lakini haitakiwi kuwa sehemu ya mwili wako kiasi cha kukufanya uwe kama mtumwa kifaa hicho. Wataalaamu wa Saikolojia wanasema, ukitaka kubaini kama umepata Uraibu (Addiction) ya matumizi ya Simu, anza kuangalia ni kwa muda gani unaweza...
  12. Agamemnon

    JamiiForums Tanzania Uraibu wa mizigo yenye makalio makubwa

    Hii imekaaje wanazengwe Yaani nikiona mzigo wenye makalio makubwa akili aifanyi kazi vizuri. Sina uhakika kama ubongo wangu uko-wired vizuri, inawezekana makalio makubwa yanasababisha shoti sehemu Hili tatizo napatwa wapi matibabu yake?
  13. Pamba Anord

    JamiiForums Tanzania Hivi unafahamu wakati mwingine mapenzi ni uraibu pia?

    - Kuna watu hata wateswe mara ngapi na mapenzi, hata waachwe mara ngapi, wao kila siku wanapenda tena watu wapya. - Kuna wengine, hawawezi kuishi bila kufanya mapenzi na (hawajaoa wala kuolewa). - Wengine kuwa na mpenzi mmoja tu hawawezi, yaani mpaka awe na wengi ndIo anajskia yupo kwenye...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Najihisi nimekuwa mraibu, Wangapi mmeweza kutumia smartphone / laptop siku nzima bila kutumia internet ?

    Tangu mwaka huu uanze sikumbuki siku ambayo nilikuwa offline, Nina biashara zangu na kazi sio kwamba nipo idle. Yani uwe na smartphone halafu ukose data waweza kuhisi unakosa mahitaji ya msingi, ukifika hii stage jijue ushaanza kuwa mraibu. Matumizi ya data napenda kuingia Youtube kufatilia...
  15. Madwari Madwari

    JamiiForums Tanzania Mhandisi aliyeelimika vyema na mraibu wa crack anaeleza kwa nini crack inalevya sana (1981)

    Hii video inaongelea madhara ya madawa ya kulevya. Mhandisi wa Mawasiliano Bob Williams. Alijifunza kutumia Crack Cocaine kutoka kwa mchumba wake wa kwanza. Anadai kuwa alitumia dola 50,000 katika miezi tisa ya kwanza ya kuwa mraibu wa crack. Hiyo ni sawa na $165,478.55 katika pesa za leo...
  16. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Uraibu ndiyo chanzo cha wengi kufeli katika maisha yao

    Uraibu ni hali ambayo Ina patikana wakati ambao Roho au mwili, unataka mno kuwa na hisia fulani. 👉Kiasi Cha kuwa na matatizo kutekeleza shughuli fulani, mpaka upate hisia inayo lengwa. Kwa miaka ya karibuni kumeibuka baadhi ya mifano ya uraibu, ambayo isipokemewa basi itapelekea kupotea kwa...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Addiction: Nje ya pombe, sex na kubeti una uraibu gani?

    Maziwa ya mgando kwangu ni kama mboga za majani, chakula hakishuki bila mtindi Kwa siku lazima nitumie gb 2 hadi 3, nazitumia kucheki youtube, netfllx, video calls, backups, updates, n.k. jf inatumia data kidogo sana Sigara iliwahi kuwa kama ibada kwangu, nashukuru nimeacha
  18. Super Charged

    JamiiForums Tanzania Nimepotea naona giza kwa hii anasa

    Habari Wana Jamvi, nahitaji msaada wenu naona kiza nimepotea kwenye msitu wenye giza na mbwa mwitu wakali. Mimi Ni Kijana Below 25 Years, nimefanikiwa Kukwepa Anasa Zote Lakin Nimejikuta Nadumbukia Kwenye Uraibu Wa Kununua Madada Poa. Kama Kijana Mwenye Heshima Mtaani Nisiyeacha...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Marekani: Majimbo 41 yaishtaki Meta wakidai Instagram na Facebook inatengeneza uraibu na kudhuru watoto

    Kwa mujibu wa kesi hiyo inadaiwa kwamba Meta ilihusika katika 'mpango wa kutumia watumiaji watoto wa mitandao hiyo kwa faida' kwa kuwadanganya kuhusu vipengele vya usalama na upatikanaji wa maudhui yenye madhara, kukusanya data zao na kukiuka sheria za shirikisho kuhusu faragha ya watoto...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Umewahi kwenda umbali gani mrefu ama kupoteza muda kiasi gani ili kutuliza kiu ya sigara, pombe au uraibu mwengine?

    Achana kabisa na addiction ya sigara. Nakumbuka nilifikia kijiji flani nikiwa nimesahau pakiti yangu ya sigara niliyopanga kuitumia kwa muda ntaokuwepo hapo kijijini. Palikuwa ni bush sana na hata maduka machache yaliyopo hawakuuza sigara. Ilinibidi nitembee mwendo wa lisaa na nusu kufikia...
Back
Top Bottom