uraibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikola24

    JamiiForums Tanzania Nina uraibu wa kutegemea sana chatGpt, nisaidieni namna ya kuacha

    Aisee ndugu zangu ,hii sio masihara ni issue serious sana. Ipo hivi, kila tatizo ninalopata nakimbilia kuuliza kwenye app ya chatGpt.Nimekuwa sijiamini Katika mawazo yangu binafsi.Pia nahisi IQ yangu inashuka . Najihisi sina faida na najiona kuwa Bure kabisa.Sina motisha ya life. Nataka niwe...
  2. Surya

    JamiiForums Tanzania Uraibu na kujieleza (Addiction and Expression)

    Mada yangu imekaa kiswali zaidi tuzungumzie Uraibu, upi mzuri na upi mbaya Expression zipi ni nzuri na zipi ni mbaya Siku zote kuvutiwa na jambo fulani sana uwa inategemea una roho ya namna gani na asili yako ni ipi... Na moja ya Vitu ambavyo vinawakutanisha watu kufurahi ni Uraibu, Uraibu...
  3. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Baadhi ya Walevi Hufanikiwa na Wengine Huangamia?: Pombe Ile Ile, Hatima Tofauti

    Makala hii inachambua uhalisia mgumu wa ulevi, ikionyesha kwamba pombe haifanyi kazi sawa kwa kila mtu. Watu wawili wanaweza kunywa pombe ile ile, lakini mmoja aendelee kustawi huku mwingine akiangamia. 1. Ulevi si Lazima Uwe na Kelele Wapo walevi wanaoonekana ‘safi’ kwa nje – wana kazi...
  4. Bodhichitta

    JamiiForums Tanzania Nina Uraibu wa kutongoza

    salaam, hakika sio Kila ulevi husababishwa na pombe. nahisi Nina Uraibu wakutongoza kwakweli, yaani kama mwanamke sio ndugu yangu akijiweka karibu namimi lazima nimtongoze hata kama najua huyu sina Nia nae na sifanyi nae Chochote lakin ni lazima nimtongoze kwanza. akatae au akubali...
  5. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Uraibu wa urembo bandia (artificial beauty) kwa mwanamke wa kiafrika ni ugonjwa kamili wa kiakili

    Kama ulikuwa hujui tu, uraibu wa urembo bandia kwa mwanamke wa kiafrika ni ugonjwa kamili wa kiakili kwa sasa. Hapa ninazungumzia ile hali ya kubadili rangi na unyororo wa ngozi (wanaita kuglow!), kupashika kucha bandia, nywele bandia (rasta, weaving nk), kope bandia, kupiga jeki matiti...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nakumbuka miaka ya 2000 uraibu kwa njia hii ulishika kasi sana na ilikuwa wazi wazi

    Mtu alikuwaga akifika hii hatua basi ilikuwa inahesabika "ITS OVER". Visa bado vipo ila sio kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, nafikiri hizi sober houses zimeokoa vijana sana kwa kiasi chake Hawa jamaa walikuwa na uwezo wa kusimama kwa kujipinda kwa style hio hio kwa muda mrefu bila hata kuyumba...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Uraibu ndio source kubwa ya utajiri wa kupindukia.

    Pesa ya mtu anaekuja kwako at least siku tano ndani ya wiki ya maisha yake maana asipokuja hapo anajisikia kufa kufa, ni pesa zilizotajirisha watu sana. Maana mtu akishakuwa na uraibu wa vifuatavyo atatumia pesa nyingi sanaaaaa: Ku-bet Mitungi Mikasi Dope Fast Food Social media Makampuni ya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Sikujua kupendeza ni uraibu, Anatumia laki 4 kwenye mavazi kila mwezi kwenye mshahara wa laki 9

    Ni kijana mwenye 25 kabahatika kupata ajira sehemu flani yenye mshahara huo wa laki 9 Kijana anapendeza kweli, ni anajua kuyapangilia mavazi, ni sifa inayomtambulisha zaidihasa kwa jina la kifaransa analopenda kujiita. Katika mshahara wake wa laki 9 hutenga laki 4 kwajili ya mavazi, si jambo...
  9. Knock life

    JamiiForums Tanzania Wale ambao ndugu zenu wameathirika na uraibu mbalimbali kama Pombe, Bangi, Madawa n.k, naomba tuwasiliane kwa ajili ya matibabu

    Wale ambao mna watoto au ndugu zenu Ila tayari wameathirika na uraibu mbalimbali kama Pombe, Sigara na Bangi naomba tuwasiliane ili niwapatie matibabu. Tupo na kituo cha rehabilitation (Rehab) Kwa ajili ya HUDUMA zifuatazo: 1. Waathirika wa pombe , bangi na madawa 2. Huduma za kisaikolojia...
  10. monta

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ambacho kilikufanya uwe addicted nacho?

    Wakuu ni kitu gani ambacho ulikianza kama utani lakini leo hii imegeuka kuwa uraibu kwako yani huwezi kukaa bila kufanya hicho kitu. Kwangu mimi ni kucheza games(play station). Nakumbuka kipindi naanza form 1 miaka ya 2008 huko kanda ya ziwa ilikua tukienda town weekend tunakutana na video...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Nipepo au ni uraibu? Anaomba msaada

    Salaam wanajukwaa. Jamaa yangu amepatwa na tatizo ambalo yeye mwenyewe halielewi na hata Mimi aliyenisimulia nimeshindwa kumuelewa ndomana nimelileta kwenu. Iko hivi, huyu rafiki ni mtumishi wa umma kwa zaidi ya miaka 10 sasa. Pamoja na mshahara anaopata anajitahidi kupambana nje yakazi na...
  12. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ukweli Usiosemwa Kuhusu Uraibu (addiction): ni zaidi ya Dawa za Kulevya na Pombe

    Muhtasari Uraibu si suala la dawa za kulevya au pombe pekee; ni suluhisho lililokosewa kwa matatizo ya kina yanayotokana na hali ya kutokuwa na amani na nafsi. Kuelewa uraibu kunahitaji kutazama mizizi ya kihisia inayosababisha hali hiyo na siyo kuangalia tu dalili zake za nje. Mambo Muhimu ya...
  13. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Korea ya Kaskazini wapatwa na uraibu wa kutazama pornografia baada ya kupewa internet isiyo na vikwazo na Urusi

    Wanajeshi wa Korea Kaskazini ambao wamejiunga na vita vya Ukraine kwa niaba ya Urusi wamepata uhuru wa kutumia intaneti isiyo na vikwazo kwa mara ya kwanza na kujikuta wakitumia uhuru huo kutazama picha za ngono, kulingana na ripoti ambayo haijathibitishwa na afisa wa Pentagon. Kwa mujibu wa...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ni hatua ipi ulifikia ya madhara hadi ikawa hamasa yako kuachana na uraibu au mazoea potevu uliyokuwa nayo??

    Nilikuaga mpenzi sana wa soda aina ya coca cola iliyo ya baridi sana. Ilikuwa siku ikiisha bila kupiga coca najiona mtupu. Matter of fact ingebidi nipatiwe tuzo ya mnywaji bora coz nilikuwa nakunywa kila siku. Hadi hapo siku moja nilianza kuhisi meno yangu ya mbele kuanza kuuma pale...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Uraibu wa punyeto utanimaliza, nifanyeje niweze kuacha?

    Habari zenu MMU, Mimi ni kijana mwenzenu leo acha nifunguke nipate msaada wa mawazo. Mimi nilianza nyeto mwaka 2014 baada ya kufundishwa na mtoto wa jirani yetu. Tokea hapo nimepiga nyeto sana wastani mara tatu kwa wiki! Sasa katika pita pita zangu mitandaoni nikaona bandiko kuwa nyetu...
  16. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Uraibu wa kamari: Rais wa Brazil atishia kufungia makampuni!

    Rais wa Brazil Lula Da Silva ametishia kuyafungia makampuni yanayojihusisha na michezo ya kubahatisha kupitia michezo mbalimbali mitandaoni ili kuondoa janga la uraibu lililowakumba raia wake! Hela ya chakula mtu anasukia mkeka! Brazil mulls ban on sports betting Brazilian President Lula da...
  17. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Unachokikwepa hakiachi kukufuata

    Growing up tumekuwa kwenye situations mbalimbali, ambazo hatukuzipenda. Labda ugumu wa maisha ya nyumbani, tabia za ndugu jamaa na marafiki, mifumo ya maisha, uraibu, nk. Wengi wetu tulijiapia kuwa hatutojikuta kwenye hizo situation na kuna ule msemo, "labda nirogwe". Ila sooner enough tumekuwa...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulikijaribu kwa lengo la kutesti mara moja ila kimekuingiza kwenye shimo la uraibu/addiction unatamani kutoka lakini unashindwa?

    Ninakumbuka siku moja nilikuwa nipo nipo tu wala sina kampani, ghafla wazo likanijia nikanunue fegi nijaribu mara moja tu nione ikoje. Kuanzia hapo mdogo mdogo nikaanza kupiga paf kila jioni na huwezi amini hakuna mtu wa karibu anaejua ninavuta wala kunishuhudia naivuta, huwa naenda kuvutia...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania GenZ wadhibitiwe vikali vinginevyo Kenya itadumaa na kusinyaa kiuchumi

    kadiri muda unavyokwenda wanagawanyika na kupingana wao kwa wao, wanapoteza malengo yao ya msingi waliyokua wakihitaji yazingatiwe na kufanyiwa kazi na Serikali. hivi sasa wanapoteza uelekeo kabisa kutoka maandamano ya amani hadi maandamano ya ghasia, uporaji na uharibifu.. kiufupi, madai mapya...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa bongo wana uraibu wa pornography?

    Katika mitandao ya kijamii kumekuwepo na tabia ya kundi kubwa la vijana wa Kitanzania kuhabarishana, kuombana, kusherehesha na kugaiana video za pornography za watu mbalimbali ambazo wao wanaita "connection". Hizo "connections" zenyewe sio hata za watu maarufu wenye athari zozote katika maisha...
Back
Top Bottom