uraibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Undava King

    JamiiForums Tanzania Uraibu wa ngono ni kithibitisho cha kuwa na IQ kubwa?

    Kuna jambo linatatiza bongo yangu kiasi cha kuisi kuna haja ya kuuliza kama wataalamu wanaweza kutupatia majibu kama kuna mahusiano ya ukaribu kati ya kupenda au kujisikia sana kufanya tendo la ndoa na IQ ya bongo zetu. Katika utafiti wangu niliofanya nikiwa zangu sober huku mtaa wa sokomoko...
  2. The Guitarist

    JamiiForums Tanzania SoC01 Safari ya miaka 7 katika uraibu wa filamu za ngono

    Habari Natumaini upo na Uzima. Basi tumshukuru Mungu kwa hilo. Lakini kama Pia haupo sawa amini kwamba wakati wako Utafika tu. Bila kupoteza wakati acha nikushirikishe mkasa huu ulionipata na namna nilifanikiwa kujitoa Katika Uraibu wa Machapisho, Picha na Video za Ngono kwa Miaka 7. Nikiwa...
  3. Jade_

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uraibu wa Ponografia

    `Kuna mtu hapa Jamii Forum alielezea kisa chake na kwamba anaweza kujifungia ndani akiangalia video za ngono huku akipiga punyeto kwa masaa hata 12. Kuna watu walifikiri hii ni “chai” (uongo) lakini watu wanapata sana hizi shida ila hawawezi kuongea kwa kuwa ni aibu kwenye jamii. Unaweza kukuta...
  4. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania SoC01 Funzo kwa Jamii: Jinsi nilivyoacha uraibu wa kamari

    Kwanza kabisa kuacha mazoea fulani katika maisha yako si rahisi kama unavyotamka,unaweza kuacha leo lakini ikachukua muda kuacha kabisa. Leo karibu marika yote na jinsia zote katika jamii ni waraibu wa kamari. Uraibu huu unatokana na matangazo ya kuvutia na zawadi kubwa kubwa pia ile imani...
  5. Jade_

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uraibu wa Ngono

    Uraibu upo wa aina nyingi. Kuna uraibu wa pombe, sigara, madawa ya kulevya, na uraibu wa chakula. Leo nitajikita kwenye uraibu wa ngono. Tofauti na uraibu wa pombe, sigara na madawa ya kulevya ambazo hazimpati yeyote, (sio kila mtu atangukia kwenye raibu hizi) uraibu wa chakula na ngono ni...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Namna nilivyoacha punyeto, sigara na betting moja kwa moja

    Katika hii dunia ya sasa vilevi ni vingi mno na unahitaji umakini mkubwa sana maan aukangukia kwenye uraibu basi utapoteza vingi sana. Nikiwa kama kijana, nimekuwa mmoja wapo waliokumbwa na uribu wa vilevi vitatu ambavyo ni Punyeto, betting na sigara. PUNYETO - Nlianza kimasihara masihara...
  7. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Uraibu wa Kamari: Soma kisa hiki alafu jiweke nafasi mzazi wa huyo binti. Ungefanya nini?

    Kama mwanao kaganya hivyo ungechukua hatua gani? Ungeuza nyumba ili umlipie madeni yake? Au ungeacha ajiue tu kama alishapanga? Uhai haununuliki lakini binafsi ni mtihani usio na majibu Nimekiona BBC Swahili Full story 👇👇 --- Uraibu wa Kamari: Namna gani unaweza kupambana na uraibu wa kamari...
  8. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Jinsi ya kuondoka kwenye uraibu wa kucheza Kamari (Betting)

    Karibu rafiki yangu mpendwa kwenye makala hii ya ushauri wa changamoto zinazotuzuia kupiga hatua na kufanikiwa kwenye maisha. Kwenye makala hii tunakwenda kujifunza jinsi ya kuondoka kwenye uraibu wa kucheza kamari au kama ilivyo maarufu kwa jina la betting. Hii ni changamoto ambayo imekuwa...
Back
Top Bottom