CCM kuisuka upya Tanzania One Theatre (TOT) kuendana na ushindani wa muziki nchini

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
664
829
KUMEKUCHA TOT CHAMA CHA MAPINDUZI KUISUKA UPYA ILI IENDANE NA USHINDANI WA KIMUZIKI NCHINI

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, Jumatatu 27 Disemba 2021 amefanya ziara fupi Kutembelea na kuzungumza na watumishi wa CCM wa kikundi cha Sanaaa Tanzania One Theater (TOT) Kinondoni Mwinjuma Dar Es Salaam.

"Mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan anatambua kuwa TOT ni moja kati ya Bendi kongwe nchini na yenye mchango mkubwa nchini, hivyo amelekeza kuhakikisha utendaji kazi wenu uwe wa viwango vya juu kwa kuwa na vyombo bora na mazingira mazuri ya utendaji kazi ili muweze kuandaa tungo zinazoishi katika kujenga hamasa zenye kuakisi uhai, ukomavu na uimara wa CCM" Alisema Shaka

"Leo Chama kupitia kwa Mwenyekiti wetu Rais Samia kimezidi kutujengea ari na kutupa matumaini makubwa juu ya kuimarishwa zaidi kwa bendi yetu na kuweza kutekeleza majukumu haya katika mazingira mazuri zaidi kama ilivyokua dhamira ya kuanzishwa kwake" Ndugu Gasper Tumaini Mkurugenzi mkuu wa Bendi

Bendi ya TOT ilianzishwa mwaka 1992 na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa lengo la kuleta hamasa ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi

Februari 5, mwaka 2022 CCM, itaadhimisha miaka 45 tangu kuanzishwa kwake Februari 5, mwaka 1977 baada ya kuunganishwa kwa vyama vya ASP na TANU.

#CCMImara
#KaziIendelee

IMG-20211227-WA0077.jpg

IMG-20211227-WA0075.jpg

IMG-20211227-WA0073.jpg
 
Moja ya njia rafiki za upigaji wa hela za chama cha majambazi. Fanyeni usajili tena kama enzi zile kiasi cha kuchukua wanamuziki kutoka Congo halafu matokeo yake yakawa ni zero bin sufuri.
 
Hiyo bendi ya TOT italazimishwa ing'are sana na kubebwa sana lakini bila kuijali VIJANA JAZZ ni bure.
 
Inasikitisha hizi band waanzilishi mziki wa dansi nchini kama Twanga pepeta wanapiga mziki Bure bar.Na band nyingine kama Akudo sijui zimejifia wapi.Wamiliki(Asha Baraka na Kapuya), wa band hizi ni makada kindakindaki wa CCM.Yaani kuitumikia CCM ni laana na ushetani kabisa!
 
KUMEKUCHA TOT CHAMA CHA MAPINDUZI KUISUKA UPYA ILI IENDANE NA USHINDANI WA KIMUZIKI NCHINI

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, Jumatatu 27 Disemba 2021 amefanya ziara fupi Kutembelea na kuzungumza na watumishi wa CCM wa kikundi cha Sanaaa Tanzania One Theater (TOT) Kinondoni Mwinjuma Dar Es Salaam.

"Mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan anatambua kuwa TOT ni moja kati ya Bendi kongwe nchini na yenye mchango mkubwa nchini, hivyo amelekeza kuhakikisha utendaji kazi wenu uwe wa viwango vya juu kwa kuwa na vyombo bora na mazingira mazuri ya utendaji kazi ili muweze kuandaa tungo zinazoishi katika kujenga hamasa zenye kuakisi uhai, ukomavu na uimara wa CCM" Alisema Shaka

"Leo Chama kupitia kwa Mwenyekiti wetu Rais Samia kimezidi kutujengea ari na kutupa matumaini makubwa juu ya kuimarishwa zaidi kwa bendi yetu na kuweza kutekeleza majukumu haya katika mazingira mazuri zaidi kama ilivyokua dhamira ya kuanzishwa kwake" Ndugu Gasper Tumaini Mkurugenzi mkuu wa Bendi

Bendi ya TOT ilianzishwa mwaka 1992 na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa lengo la kuleta hamasa ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi

Februari 5, mwaka 2022 CCM, itaadhimisha miaka 45 tangu kuanzishwa kwake Februari 5, mwaka 1977 baada ya kuunganishwa kwa vyama vya ASP na TANU.

#CCMImara
#KaziIendelee

View attachment 2059812
View attachment 2059813
View attachment 2059814
Ila MSITUMIE PESA ZA MIKOPO NCHI ISIPIGWE MNADA
 
Back
Top Bottom