Wakazi mkoani Mbeya wametakiwa kuepuka matumizi ya vilevi vikali kwa kuamini ni dawa inayoweza kupambana na homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila (pichani) alitoa onyo hilo jana alipozungumza na waandishi wa habari juu ya jitihada...