Uwezekano ni mkubwa wa CUF kuwa chama kikuu cha upinzani

Cyangungu

Member
Nov 7, 2019
45
54
2020 ni bayana sasa na dalili zote zinaonyesha kuwa Chama cha Wananchi CUF kinaelekea kuwa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.

Na hii ni kwasababu ya CHADEMA kuonesha kuzidiwa kimbinu na fitina na CCM.

Ikumbukwe hadi wakati huu CUF hawajatangaza kujitoa katika mbio za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kama walivyofanya CHADEMA na ACT. Kwa muktadha huo wao CUF watashindana na kwa watapata viongozi wa Serikali za Mitaa na hao ndio watakaosafisha njia ya chama chao CUF hatimaye katika Uchaguzi Mkuu mwakani kuwapata Viti vingi vya uwakilishi Bungeni.

Hongera CUF kwa ukomavu wenu wa kisiasa.
 
CUF hii hii au nyingineyo ??....
Best asset ambayo upinzani hususani Chadema iliyopata kuwa nayo ni IMANI ya watu kuwa wao hawanunuliki na wapo kwa ajili ya maslahi ya Taifa, the moment walipokubali kula matapishi yao 2015 na kukubali kushindwa ndipo walipoipoteza. Wapinzani wanahitaji mbinu mbadala maana hii tayari ishafeli na kinachoniogofya ni hii mvua ya rasharasha maana dhoruba kamili inakuja.
 
CUF haiwezi kujipigia kura. Kutojitoa haimaanishi itapigiwa kura na haiwezi kuwa mbadala wa CHADEMA. HUKU mtaani kwetu hata CUF ikisimama peke yake haitapigiwa kura maana wananchi waifahamu
2020 ni bayana sasa na dalili zote zinaonyesha kuwa Chama cha Wananchi CUF kinaelekea kuwa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.

Na hii ni kwasababu ya CHADEMA kuonesha kuzidiwa kimbinu na fitina na CCM.

Ikumbukwe hadi wakati huu CUF hawajatangaza kujitoa katika mbio za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kama walivyofanya CHADEMA na ACT. Kwa muktadha huo wao CUF watashindana na kwa watapata viongozi wa Serikali za Mitaa na hao ndio watakaosafisha njia ya chama chao CUF hatimaye katika Uchaguzi Mkuu mwakani kuwapata Viti vingi vya uwakilishi Bungeni.

Hongera CUF kwa ukomavu wenu wa kisiasa.
 
2020 ni bayana sasa na dalili zote zinaonyesha kuwa Chama cha Wananchi CUF kinaelekea kuwa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.

Na hii ni kwasababu ya CHADEMA kuonesha kuzidiwa kimbinu na fitina na CCM.

Ikumbukwe hadi wakati huu CUF hawajatangaza kujitoa katika mbio za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kama walivyofanya CHADEMA na ACT. Kwa muktadha huo wao CUF watashindana na kwa watapata viongozi wa Serikali za Mitaa na hao ndio watakaosafisha njia ya chama chao CUF hatimaye katika Uchaguzi Mkuu mwakani kuwapata Viti vingi vya uwakilishi Bungeni.

Hongera CUF kwa ukomavu wenu wa kisiasa.
Ungejua kitakachoipata CCM kabla uchaguzi mkuu ujao usingesema haya.
 
2020 ni bayana sasa na dalili zote zinaonyesha kuwa Chama cha Wananchi CUF kinaelekea kuwa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.

Na hii ni kwasababu ya CHADEMA kuonesha kuzidiwa kimbinu na fitina na CCM.

Ikumbukwe hadi wakati huu CUF hawajatangaza kujitoa katika mbio za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kama walivyofanya CHADEMA na ACT. Kwa muktadha huo wao CUF watashindana na kwa watapata viongozi wa Serikali za Mitaa na hao ndio watakaosafisha njia ya chama chao CUF hatimaye katika Uchaguzi Mkuu mwakani kuwapata Viti vingi vya uwakilishi Bungeni.

Hongera CUF kwa ukomavu wenu wa kisiasa.
Safi sana. Sasa CCM wanaenda kuwa watawala na wapinzani kwa wakati mmoja. Prof. Lipumbavu sasa awe sehemu ya serikali. Apewe uwaziri wa Fedha, Uchumi na mipango. Beatiful game.
 
Lipumba hana namna, yuko utumwani ccm. Ngoma yoyote inayopigwa huko lumumba lazima acheze. Hiyo ndio thawabu ya kufika bei.
 
2020 ni bayana sasa na dalili zote zinaonyesha kuwa Chama cha Wananchi CUF kinaelekea kuwa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.

Na hii ni kwasababu ya CHADEMA kuonesha kuzidiwa kimbinu na fitina na CCM.

Ikumbukwe hadi wakati huu CUF hawajatangaza kujitoa katika mbio za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kama walivyofanya CHADEMA na ACT. Kwa muktadha huo wao CUF watashindana na kwa watapata viongozi wa Serikali za Mitaa na hao ndio watakaosafisha njia ya chama chao CUF hatimaye katika Uchaguzi Mkuu mwakani kuwapata Viti vingi vya uwakilishi Bungeni.

Hongera CUF kwa ukomavu wenu wa kisiasa.
Mtasema yote mwisho mtasema TLP kitakuwa chama kikubwa cha Upinzani maana mmevurugwa
 
2020 ni bayana sasa na dalili zote zinaonyesha kuwa Chama cha Wananchi CUF kinaelekea kuwa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.

Kwani kuna ubaya gani CUF-Lipumba kuwa Chama Kikuu cha upinzani? Ndio chama pendwa na CCM, Msajili wa Vyama, na Bunge Ndugai. Bwana yule hata mikutano yake anapewa ulinzi nasikitika tu kuwa hata wao wagombea wao wame enguliwa (hizo ndo shukurani za CCM kwa Lipumba). Labda kwenye uchaguzi mkuu CCM iwape tena viti maalum. Swali wakisha kuwa na kama watakuwa Chama kikuu cha upinzani watakuwa na viti vingapi na impact gani?
 
Umeshashiba ugali wa maharage huko unakuja kutuj. am. B i..a huku
 
Usiehangae hii post ni kiongozi mkubwa kabisa wa chama au hata mwenyekiti wa sisiem stupid
Jiwe ni Simba,Majaliwa ni Simba ,Samia Simba ,Sofia Simba,Bashite Simba,Dewji Sasa mba,Kigwangala Simba nk=Simba Fc .Kwahiyo nyie Simba ni CCM jipongezeni wazee .
 
Kwa taarifa yenu cdm hawashindani ili kuwa chama kikuu cha upinzani, bali wanapambana kukamata dola. Kama Cuf wanapambana kuwa chama kikuu cha upinzani hilo hakuna mtu ana shida nalo. Msidhani mtawapotezea cdm lengo la msingi la kukamata dola waishie kupambana kukamata chama kikuu cha upinzani.
 
Back
Top Bottom