Uchaguzi 2019 :Watendaji Wa Kata Wapokea Maagizo Toka Juu, Hakuna kupokea Barua Za Kujitoa Za Wagombea Wa Upinzani.

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
7,567
9,026
Taarifa zinasema kuwa watendaji wa kata kote nchini wameendelea kupokea maagizo toka juu, kwamba wasipokea barua za kujitoa wapinzani wote kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa. Huo ni mwendelezo wa hujuma kwa uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika November mwaka huu. Wapinzani wapata njia mbadala za kuziwasilisha barua hizo kutokana na ushauri wa kisheria walioupata kutoka kwa wanasheria. Hivi hawa ccm wanahangaikia nini?
 
Kama ushahid upo twende mahakaman Bob
 
Hawa watu wanawadharau sana waTanzania.
Mwishowe, dharau hii itawafanya wanaodharauliwa kukataa dharau.
 
Watu wamepata ufalme wa dunia wakaamini kuwa na wa mbinguni watapewa. Kisa eti maandiko yanasema tiini mamlaka bila kujua pia kwamba maandiko yanasema tafuteni ufalme wa mbinguni kwanza...
 
K
Maagizo wamepewa watendaji wa kata ambao ni binadamu, wana ndugu na marafiki na hawaishi mbinguni, kwahiyo source of information ipo tu, na sio Watendaji wote na watumishi wote wa serikali wanakubaliana na huu upuuzi.
Kuna mmoja nasubiria aniunge kwenye group la watendaji wa kata
 
Watu wamepata ufalme wa dunia wakaamini kuwa na wa mbinguni watapewa. Kisa eti maandiko yanasema tiini mamlaka bila kujua pia kwamba maandiko yanasema tafuteni ufalme wa mbinguni kwanza...
Kuna wengine wanasema eti kila mamlaka imetoka kwa Mungu, nakataa labda mungu wa ccm mwenge Nyamrunda, maana mamlaka zingine kila dalili na rangi na vitendo ni vya ibilisi kabisa.
 
Taarifa zinasema kuwa watendaji wa kata kote nchini wameendelea kupokea maagizo toka juu, kwamba wasipokea barua za kujitoa wapinzani wote kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa. Huo ni mwendelezo wa hujuma kwa uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika November mwaka huu. Wapinzani wapata njia mbadala za kuziwasilisha barua hizo kutokana na ushauri wa kisheria walioupata kutoka kwa wanasheria. Hivi hawa ccm wanahangaikia nini?
Kwa hiyo kamati kuu, TISS wote wakakubaliana kuwa MTU HUYU anafaa kuwa rais??? Halafu leo mnatuandikia vitabu vya kipumbavu na kilofa
 
Taarifa zinasema kuwa watendaji wa kata kote nchini wameendelea kupokea maagizo toka juu, kwamba wasipokea barua za kujitoa wapinzani wote kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa. Huo ni mwendelezo wa hujuma kwa uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika November mwaka huu. Wapinzani wapata njia mbadala za kuziwasilisha barua hizo kutokana na ushauri wa kisheria walioupata kutoka kwa wanasheria. Hivi hawa ccm wanahangaikia nini?

Fake news
 
Back
Top Bottom