• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

80% ya Watanzania waliokataa mfumo wa vyama vingi walikuwa sahihi, kizazi cha Upinzani wa kweli bado hakijazaliwa

J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
27,810
Points
2,000
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
27,810 2,000
Ikumbukwe kuwa ni takribani 20% ya wananchi ndio walisema wanapendelea mfumo wa vyama vingi uanzishwe nchini na 80% waliukataa kwa madai kuwa kwa wakati ule taifa halikuhitaji na wala halina wapinzani wa "kweli".

Baba wa taifa akasema wachache wapewe na wengi wasikilizwe, ndipo ukaanzishwa huu Upinzani wa ruzuku.

Yaani wapinzani wanapiga hesabu za kujinufaisha wao na "matumbo tumbo" yao ndio maana hata sasa wamekuwa watu wa kuhamahama kufuata fursa.

Mchungaji Mtikila aliwahi kuhamia CHADEMA ili tu awe Mbunge wa Ludewa lakini wananchi wakamkataa akarudi kwenye DP yake.

Babu Duni Haji alihamia CHADEMA ili tu aweze kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania.

Mifano ni mingi na hao ndio aina ya wapinzani tulionao ambao sasa wanaiomba CCM iwaletee Tume huru ya uchaguzi.

Niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
 
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
27,810
Points
2,000
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
27,810 2,000
Wakati mwingine kama huna cha kuandika kuwa msomaji tu!Sio kutuletea upuuzi wa kiwango hiki,huko lumumba mmepangiwa nyuzi ngapi kwa siku ili mpate buku 7 zenu?
Safarini Momba - Songwe!
 
B

Beem

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Messages
1,613
Points
2,000
B

Beem

JF-Expert Member
Joined May 18, 2018
1,613 2,000
Akili huna. Asilimia zaidi ya 60% ya wananchi wote ni vijana chini ya miaka 40.
 
C

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Messages
9,840
Points
2,000
C

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2011
9,840 2,000
Km China wameweza na chama kimoja Kwanini sisi tusiwaige?
China wameweza kwa kuwa wanajiweza,nyie mbuzi jike hamuwezi kubeba mimba wala kuzaa pasipo nguvu za dushe la Mabeberu,mkijifanya viburi mabeberu yanaungana dhidi yenu! Mawili yanakukamata miguu na mengine yanakuzamishia!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
gigabyte

gigabyte

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Messages
1,198
Points
2,000
gigabyte

gigabyte

JF-Expert Member
Joined May 27, 2015
1,198 2,000
Kama miaka hiyo enzi za ujima ilipatika hiyo 20% nina uhakika kukiitishwa tena hizo kura miaka hii yautandawazi kuna uwezekano wanaojiona wana hati miliki yakila kitu wakapata majibu yakuumiza.
 
K

Kamundu

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2006
Messages
3,197
Points
2,000
K

Kamundu

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2006
3,197 2,000
johnthebaptist,
Uchaguzi uliopita 40% upinzani!! sasa hapo vipi?
 
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
17,721
Points
2,000
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2010
17,721 2,000
Mtoa hoja huna justification yoyote tangible kutetea hoja yako!!

Ni aibu miaka 5 mtu anazuia wapinzani kufanya siasa wakati Katiba na Sheria inatoa uhuru huo...
 
Mr. Zero

Mr. Zero

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2007
Messages
11,624
Points
2,000
Mr. Zero

Mr. Zero

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2007
11,624 2,000
johnthebaptist,
You are too naive. Yaani concept zima ya vyama vingi hujui au huielewi. Ndiyo maana unatumia neno Wapinzani. Hivi Ukiwa nchi kama UK au US Wapinzani ni akina nani!?

Kilichopigiwa kura then ilikuwa ni mfumo wa chama kimoja au vingi siyo kama unavyofiri wewe kuwa chama tawala na Wapinzani. Usimsingizie Nyerere bure!
 
Fursa Pesa

Fursa Pesa

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2012
Messages
3,234
Points
2,000
Fursa Pesa

Fursa Pesa

JF-Expert Member
Joined May 30, 2012
3,234 2,000
Sio kwamba wangeliruhusiwa kipindi hiki tungeliyaona yaliyojitokeza huko Libya? Walikuwa sahihi kwa kuwa busara yao ndiyo imeufanya mfumo huu wa vyama vingi kuzoeleka na kusahihisha baadhi ya mambo ambayo pengine yangelileta athari kwa Taifa.
 
Karne

Karne

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2016
Messages
3,703
Points
2,000
Karne

Karne

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2016
3,703 2,000
Mambo yote yaliyoanzishwa kwa dhulma huishi kwa dhulma milele.

Vyama vingi nchi hii ni miongoni mwa matokeo ya dhulma.
 

Forum statistics

Threads 1,403,191
Members 531,106
Posts 34,416,807
Top