Waliohamia CCM kutoka upinzani watazeeka kwa aibu sana muongo ujao

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,405
30,907
Ni jambo la kusikitika sana, ukitafakari siasa za Tanzania. Kitendo cha wanasiasa walioaminika na wananchi kwa kupigiwa kura kuhamia CCM kwasababu za kipumbavu kama wanazotoa ni jambo litakalohojiwa sana na vizazi vijavyo.

Nadiriki kusema miaka kumi ijayo hawa WALIOHAMIA CCM watakuwa wazee ila uzee wao utakuwa wa aibu fedheha na mashaka.

Kwanza vijana wa miaka kumi ijayo ambao kwasasa ni watoto under eighteen watajiuliza hivi kweli hawa watu walioaminika na wananchi katika capacities mbalimbali za KISIASA waliwezaje kuhama na kukimbilia CCM kwasababu za kuunga juhudi mkono, eti za Rais Magufuli!

Yani wenye akili wa miaka hiyo niliyotaja hapo juu watahoji huu upuuzi kwa kina sana. Na watashawishi wajukuu zao wasiaminiwe katika nafasi nyeti za serikali za awamu zitakazokuwa na akili kuliko hii serikali tulionayo sasa.

Hivi juhudi za kumuunga mkono Rais Magufuli ni zipi? Je, za kuua demokrasia yetu iliyoanza kushamiri aliyotuachia JK?

Au je, juhudi za kuteka watu kupoteza watu kunyamazisha jamii kupiga wanasiasa risasi kuwa na upendeleo usiomithilika au ni juhudi zipi hizo?

Serikali za awamu zote zilifanya makubwa kwa wakati wake ila haikuwahi kutokea ujinga kama huu wa awamu ya tano eti usaliti kura za wananchi maelfu waliokuchagua kisa kuunga juhudi mkono zipi?

Kuna kila sababu ya TAKUKURU ya miaka ijayo kuchunguza huu upuuzi wa awamu hii miaka ijayo.

Kama Watanzania hatukuwahi katika wakati wowote ule katika uhai wa taifa letu kutamani viongozi wetu kupelekwa mahakama ya uhalifu kama wakati huu.

Kwa hakika na yakini mnara wa babeli utakapokubali kuanguka watatafutwa popote walipo wajibu haya wanayoyafanya leo.
 
Nakupa good critical na likes za kutosha kamanda big up on it.
 
Magufuli anakurupuka kubadilisha sheria za madini tutashitakiwa MIGA ~~~ Lisu
IMG_20200224_083150.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni jambo la kusikitika sana, ukitafakari siasa za Tanzania. Kitendo cha wanasiasa walioaminika na wananchi kwa kupigiwa kura kuhamia CCM kwasababu za kipumbavu kama wanazotoa ni jambo litakalohojiwa sana na vizazi vijavyo.

Nadiriki kusema miaka kumi ijayo hawa WALIOHAMIA CCM watakuwa wazee ila uzee wao utakuwa wa aibu fedheha na mashaka.

Kwanza vijana wa miaka kumi ijayo ambao kwasasa ni watoto under eighteen watajiuliza hivi kweli hawa watu walioaminika na wananchi katika capacities mbalimbali za KISIASA waliwezaje kuhama na kukimbilia CCM kwasababu za kuunga juhudi mkono, eti za Rais Magufuli!

Yani wenye akili wa miaka hiyo niliyotaja hapo juu watahoji huu upuuzi kwa kina sana. Na watashawishi wajukuu zao wasiaminiwe katika nafasi nyeti za serikali za awamu zitakazokuwa na akili kuliko hii serikali tulionayo sasa.

Hivi juhudi za kumuunga mkono Rais Magufuli ni zipi? Je, za kuua demokrasia yetu iliyoanza kushamiri aliyotuachia JK?

Au je, juhudi za kuteka watu kupoteza watu kunyamazisha jamii kupiga wanasiasa risasi kuwa na upendeleo usiomithilika au ni juhudi zipi hizo?

Serikali za awamu zote zilifanya makubwa kwa wakati wake ila haikuwahi kutokea ujinga kama huu wa awamu ya tano eti usaliti kura za wananchi maelfu waliokuchagua kisa kuunga juhudi mkono zipi?

Kuna kila sababu ya TAKUKURU ya miaka ijayo kuchunguza huu upuuzi wa awamu hii miaka ijayo.

Kama Watanzania hatukuwahi katika wakati wowote ule katika uhai wa taifa letu kutamani viongozi wetu kupelekwa mahakama ya uhalifu kama wakati huu.

Kwa hakika na yakini mnara wa babeli utakapokubali kuanguka watatafutwa popote walipo wajibu haya wanayoyafanya leo.
Kuhama chama ni maamuzi kama maamuzi mengine na si nongwa... Mtu kama asipopendezwa na sehemu fulani anaweza kutafuta sehemu nyingine kwenye unafuu... Yeye ndo anajua nini kimemfanya ahame na hatujui kinachoendelea ndani ya chama hicho zaidi ya wengi kupiga kelele kisa ni chama chao pendwa... Hata mtu wa ccm anaweza hamia chadema ikiwa ataona alipo hapamfai... Msipangiane maisha kisa hujafurahishwa na jambo fulani.
 
Ni jambo la kusikitika sana, ukitafakari siasa za Tanzania. Kitendo cha wanasiasa walioaminika na wananchi kwa kupigiwa kura kuhamia CCM kwasababu za kipumbavu kama wanazotoa ni jambo litakalohojiwa sana na vizazi vijavyo.

Nadiriki kusema miaka kumi ijayo hawa WALIOHAMIA CCM watakuwa wazee ila uzee wao utakuwa wa aibu fedheha na mashaka.

Kwanza vijana wa miaka kumi ijayo ambao kwasasa ni watoto under eighteen watajiuliza hivi kweli hawa watu walioaminika na wananchi katika capacities mbalimbali za KISIASA waliwezaje kuhama na kukimbilia CCM kwasababu za kuunga juhudi mkono, eti za Rais Magufuli!

Yani wenye akili wa miaka hiyo niliyotaja hapo juu watahoji huu upuuzi kwa kina sana. Na watashawishi wajukuu zao wasiaminiwe katika nafasi nyeti za serikali za awamu zitakazokuwa na akili kuliko hii serikali tulionayo sasa.

Hivi juhudi za kumuunga mkono Rais Magufuli ni zipi? Je, za kuua demokrasia yetu iliyoanza kushamiri aliyotuachia JK?

Au je, juhudi za kuteka watu kupoteza watu kunyamazisha jamii kupiga wanasiasa risasi kuwa na upendeleo usiomithilika au ni juhudi zipi hizo?

Serikali za awamu zote zilifanya makubwa kwa wakati wake ila haikuwahi kutokea ujinga kama huu wa awamu ya tano eti usaliti kura za wananchi maelfu waliokuchagua kisa kuunga juhudi mkono zipi?

Kuna kila sababu ya TAKUKURU ya miaka ijayo kuchunguza huu upuuzi wa awamu hii miaka ijayo.

Kama Watanzania hatukuwahi katika wakati wowote ule katika uhai wa taifa letu kutamani viongozi wetu kupelekwa mahakama ya uhalifu kama wakati huu.

Kwa hakika na yakini mnara wa babeli utakapokubali kuanguka watatafutwa popote walipo wajibu haya wanayoyafanya leo.

Mkuu sijasoma uzi wako kwa kuwa major yako inaingilia uhuru wa mtu binafsi. Then unajihita mwanademokrasia.

Hata aliyekuwa upinzani Ana sababu binafsi ambazo akizitamka utashangaa. Siasa Ni hatari sana mkuu. Uache kutafuta mahitaji yako ukagombee kwa ajili ya Mwananchi tu bila maslahi binafsi? Embu acha ujinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom