Kwanza kabisa binafsi Sina mapenzi na chama chochote cha siasa Tanzania ila ni mpenzi wa siasa Safi.Tuje kwa hoja niliyouliza hapo juu Kama nikwel wapinzani wanaibiwa kura au Tume ya uchaguzi haitendi haki haya maswali nimejiuliza
Mbowe ameshindaje ubunge wa hai na pia chadema kachukua kata zote za hai mwaka 2015? Bulaya amemshindaje aliyekuwa waziri wa ofisi ya urais Wassira?Sugu kashinda ubunge kwa kura nyingi na tofauti yake na anayemfuata ni kubwa kupitia Tume hii.
Mwaka huo huo Chadema imepata halmashuri nyingi kulinganisha na miaka ya nyuma ikiwemo la jiji la dar kupitia Tume hii.Je Tume ya uchaguzi inakuwa huru pale chadema inaposhinda? Ila inaposhinda CCM wanasema inaiba au Tume
sio huru.
Ifike kipindi vyama vya upinzani vijikite kujiimarisha badala ya kueneza hii propaganda haitawasaidia Zaid itawapunguzia wapiga kura wao wakiendelea kuaminisha wapenzi wao hivyo watasusa kupiga kura.
Ingekuwa CCM inaiba kura sizani wangetumia hela nyingi kulipa wasanii kuwafanyia kampeni mfano Diamond pekee alilipwa mil 100 kwa kufanya show, kampeni pamoja na kushooting video ya kampeni ya wimbo wa number one,Kiba alilipwa mil 15, wema kalipwa mil 20 wengine sijui Bei zao bado sijamzungumzia gharama zingine walizoingia.