Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,708
- 5,711
Natoa ushauri tu kwa vyama vya Upinzani kujitafakari na kutopoteza muda na pesa kuweka mgombea urais. Hii ni kwa sababu utendaji kazi wa rais JPM tayari umeshampa ushindi mkubwa. Kudhibiti mianya ya rushwa kwenye halmashauri, ujenzi wa miundo mbinu kama daraja la busisi (umeashaanza) kurudisha uwajibikaji kwa watumishi wa umma n.k.(baadhi ya mifano).
Vyama vya upinzani Cuf Chadema na Chauma vimepoteza imani kwa wananchi na vinaonekana ni vya waganga njaa.
Hivyo basi visipoteze muda na pesa za wanachama wachache amabao ni vichwa ngumu waliobaki huko.
Ila kwa udiwani na ubunge nashauri vijaribu.
N.B Sina chama ni ushauri tu kama ukiumia jikaze kisabuni.