upinzani

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, lengo la watawala kukifanya chama cha NCCR Mageuzi kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya mwaka 2020 litafanikiwa?

    Ukiangalia mwenendo wa viongozi wa Chadema hivi sasa wanaohama chama hicho kuhamia NCCR Mageuzi utagundua wazi kuwa chama tawala kina mkakati wa wazi wa kukifanya chama cha NCCR Mageuzi kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya mwaka 2020 Tamko la kiongozi wa NCCR Mageuzi, James Mbatia la hivi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna chama cha upinzani chenye sifa za kuwa chama cha upinzani

    ACT chama cha Zito, CUF chama Lipumba, CHADEMA chama cha Mbowe, NCCR chama cha Mbatia nk. sioni chama cha upinzani hata akichaguliwa rais anaweza kupigwa makofi na mwenyekiti au kufukuzwa chama. Mtazamo wangu baada ya uchaguzi 2020 kiongozi na mmiliki wa chama kimoja wapo aachie chama kiwe cha...
  3. JamiiForums Tanzania Kauli zinazotolewa na Rais Magufuli na zile za Spika Ndugai kuhusu viongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini (CHADEMA), zinashabiana sana

    Kwanza nieleze kuwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi kuna mihimili 3 katika nchi, ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama, ambayo inatakiwa kufanya shughuli zake bila kuingiliana, katika kile tunachokiita kwa Kiingereza kama "check and balances" Hali ni tofauti sana katika nchi hii, kwa kuwa Rais...
  4. JamiiForums Tanzania Nilikuwa nina muelekeo fulani upinzani lakini kwa haya nimewadharau kabisa

    Baada ya muda mrefu kuona muelekeo wa CCM haukuwa mzuri japo kuwa kipindi hiki cha awamu ya 5, naona mabadiliko makubwa kidogo nje na hayo mapungufu mengine. Mbowe amechemsha, nimeamua kuwadharau Chadema kwa kukubaliana kirahisi na maamuzi ya mwenyekiti wao, kwa maana hiyo mwenyeketi akisema...
  5. JamiiForums Tanzania Nashukuru kwa mapokezi niliyopewa NCCR Mageuzi. Kwa namna hii mnastahili kurudi kwenye chati kama chama kikuu cha upinzani

    Siwezi sema ni office gani niliyochukulia kadi lakini kwa ukweli nimeamini ile Slogan yenu ya Udugu mnaitekeleza. Nimekuja kuchukua kadi nimelipia ada za mwaka mzima. Mmenipokea vizuri sana. Mmeonesha ukarimu wa hali ya juu. Kwanza ofisini nimepewa heshima kubwa sana. Pia mmenipatia...
  6. JamiiForums Tanzania Askofu Gamanywa: Pepo la kuasi liko ndani ya vyama vyote vya siasa siyo upinzani pekee

    MEZA YA BUSARA WAPO RADIO ipo hewani muda huu ni vizuri kuiskiliza, leo imekuja na hoja kuwa Upinzani ni uasi. Huku ni kipindi maalum kilichozinduliwa na Polepole wiki iliyopita mahsusi kwa kampeni za uchaguzi kwa CCM.
  7. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Ningekuwa Spika ningewacharaza bakora wabunge wa upinzani walioacha kuhudhuria Bunge, wana hoja za kitoto

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amesema angekuwa Spika wa Bunge, angewacharaza bakora wabunge wa vyama vya upinzani waliotoka Bungeni wakishinikiza vikao vya Bunge viahirishwe kutokana na tishio la ugonjwa wa Corona. "Simfundishi Spika kazi lakini ningekuwa mimi ndio Spika...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ngome ya upinzani itaendelea kubaki Kaskazini watakaobadilika ni viongozi na vyama tu, alianza Mrema, Mbowe na sasa Mbatia

    Katika hili ni lazima niwapongeze wanakaskazini kwa sababu wanajitambua tofauti na wanakusini. Wengi waliamini baada ya Chadema kuishiwa " mipango " basi ACT wazalendo watakuwa chama kikuu cha upinzani, hata mimi awali niliamini hivyo kumbe siyo. Ngome ya upinzani ni Kaskazini ndio maana...
  9. JamiiForums Tanzania Siasa sio uadui kama kiongozi ni mchapa kazi hata kama upo chama cha upinzani huna budi kumsifia.

    New Mv victoria Hapa kazi tu na Mv Butiama zimeshamilika na sasa zinasubiribiri tu commissioning ili zianze kufanya kazi. Hii ni hatua kubwa sana katika sekta ya usafirishaji hasa katika ziwa victoria Wafanyabiashara kati ya mkoa wa Kagera na Mwanza sasa wataenda kunufaika baada meli hizi...
  10. JamiiForums Tanzania Umebaki mwezi mmoja kwa CHADEMA kuwa chama kikuu cha upinzani, wanavyopingana na Watanzania hata kata moja hawatapata

    Walianza kuwa watetezi wa wahalifu yaani majambazi, mafisadi, wala Rushwa na mabeberu. Wengine wakaenda mbali zaidi na kuwa wakawa watetezi wa wezi wa madini yetu. Yaani savimbiLissu akaungana na majambazi kuihujumu Tanzania Limetokea janga la Corona mheshimiwa anayejua uhalisia wa maisha ya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Zitto ataka wabunge wote walioko Dodoma wawekwe kwenye karantini

    Ujumbe wake huu hapa chini kupitia twitter: Wabunge wote mliopo Dodoma muwekwe karantini, mpimwe na mfuatiliwe ( contact tracing ). Minister Mwalimu there shall be no two set of laws - for MPs and for the people. Wabunge watengwe, wapimwe na wafuatiliwe. Tulishauri toka mwanzo kuwa Bunge...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi Upinzani utakavyoongezeka nguvu katika Uchaguzi ujao

    Mimi ni MCCM damu damu - na hata Idukilo wananijua. Tena wananijua sana - kuanzia wafanyakazi na hata wasio wafanyakazi. Nimejulikana sana kutokana kufanya biashara ya mazao na kukopesha watu wenye shida mbalimbali kwa riba nafuu. Kadri siku zinavyoenda naona dalili hata mimi mwenyewe naweza...
  13. JamiiForums Tanzania Maoni Ya Kambi Rasmi Upinzani Wizara Ya Muungano Mazingira Yakataliwa

    Katikaa hali isiyo ya kawaida Naibu Spika Dr,Tulia Akson amekataa kusomwa kwa maoni ya kambi rasmi kwa wizara ya ofisi ya makamu wa rais Muungano na mazingira hapa bungeni Kwa kile alichodai ni maelekezo ya spika Ndugai
  14. JamiiForums Tanzania Kwa namna hii upinzani Tanzania bado sana. Wanatakiwa wajifunze siasa sio propaganda uchwara. Siasa ni sayansi

    Natoa hii hoja sababu inasikitisha sana kuwa Chama cha siasa ambacho kina umri zaidi ya miaka 15 au zaidi lakini bado hakijitambui na wala hakitambui kufanya mikakati ya siasa. Na hapa nalenga hichi chama cha Chadema ambacho sasa ni chama kikuu cha upinzani. Inaonyesha dhahiri kuwa wao mikakati...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Anguko la upinzani na hoja pofu ya Tume Huru ya Uchaguzi

    Kuna usemi maarufu wa Kiswahili unasema, ¨siku ya kifo cha nyani, miti yote huteleza ¨ usemi huu una anza kuakisi ukweli wa siasa za vyama vya upinzani Tanzania na anguko lake kuelekea uchaguzi mkuu 2020. Ni wazi kuwa Tanzania ina vyama vinne pinzani vyenye nguvu na ushawishi katika medani ya...
  16. JamiiForums Tanzania Nini kimewasibu chama kikuu cha upinzani Tanzania?

    Najiuliza sana wala sipati jibu, kuna nini kimewasibu wa Chadema? Chama chenu kinaonekana kukubali kushindwa kabla hata refa hajapuliza kipyenga. Wabunge pamoja na wanachama wanawakimbia. Jana lile nyomi kule Tarime ni aibu kwa chama chenu. Mmekuwa kama mmepigwa shoti ya umeme na kuduwaa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara awa lulu mkoani Mara aweka historia ya kupokea wanachama zaidi ys 1400 kutoka CHADEMA na vyama vingine vya upinzani

    Mbunge wa ukonga mh Mwita Waitara amepokea wanachama wapya zaidi ya 1400 waliojiunga na CCM wakitokea Chadema na vyama vingine vya upinzani. Waitara ameweka historia ya kuwa kiongozi wa kwanza mkoani Mara na pengine Tanzania nzima kwa kuweza kupokea " Lundo" la wapinzani wanaojiunga CCM kwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Upinzani iliyozuiwa Bungeni leo Aprili 01, 2020 hii hapa (Full Text)

    Spika Ndugai amesema... Hotuba hii ya Kambi Rasmi ya Upinzani imejaa makosa karibia kila ukurasa, ina matumizi mabaya sana ya jina la Mhe. Rais na kulituhumu Bunge la 11. Nadhani wangeshirikiana kuiandika pamoja isingefika hapa, mimi siko hapa kutetea chochote. Kulifanya Bunge kuwa mahala pa...
  19. JamiiForums Tanzania Haitatokea tena kupata Chama cha upinzani chenye nguvu kama NCCR Mageuzi chini ya Lyatonga Mrema

    Nasema kweli hata kama watu wachukie na wanune. Kile kilikuwa ni chama kilichojua kila mikakati ya kisiasa. Iwe ni propaganda au ishu ya ukweli. Chama kile hakikuwa na ukabila wala ukanda, kilijaa kila kabila na wasomi kedekede.Alikuwemo Mabere Marando, Marehemu Dk Sengondo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vyama vya upinzani: Msirudie Makosa, atakayekatwa CCM asipewe nafasi yoyote ya kugombea upinzani

    Bila Shaka mtakuwa mmejifunza kutokana na makosa. Mwaka 2015 mliwapokea wanaccm wengi waliokatwa kwenye kinyanganyiro Cha Urais, ubunge na udiwani na wengi wao walifanikiwa kushinda kwenye uchaguzi. Cha kushangaza karibia wote Hawa wamerudi Chama cha Mapinduzi. Napenda kuvishauri vyama vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…