upinzani

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Kete muhimu kwa nafasi ya urais zikipewa ridhaa na Vyama vya Siasa hasa Upinzani

    Kuna watu makini nadhani yawezakuwa wanabanwa na katiba ama hawana interest na siasa lakini wakiamua, wanauwezo mkubwa was kuleta ushindani na kushinda kwenye nafasi ya uraisi kwa UCHAGUZI wowote, watu hao nipamoja na ; 1. Prof Assad, former CAG 2. Salim Backressa, mfanya biashara 3. Mhammed...
  2. J

    JamiiForums Tanzania DC Katambi: Wabunge wa upinzani wanaongoza kwa biashara ya kununua huduma za makahaba jijini Dodoma, orodha ya majina yao ninayo.

    Mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini mh Patrobas Katambi amesema biashara ya ukahaba imeshamiri wilayani kwake na wanunuzi wakuu wa Huduma hiyo ni wabunge na zaidi wa upinzani. Katambi amesema kuanzia sasa hawatawakamata makahaba pekee bali pamoja na wateja wao. Amedai kuwa anazo namba za magari ya...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania na upinzani kiini macho

    Tanzania ni moja ya nchi zinazosifika kama kisiwa cha Amani. Hii ni kutokana na namna siasa na utu wa watanzania unavyothamini Amani na utulivu. Tanzania imeingia katika mfumo wa vyama vingi tangia 1992 na hadi sasa chama kikuu cha upinzani ni chadema. Hata hivyo; vyama vya upinzani Tanzania...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania The killing of George Floyd in America was intentional

    If you look at the killing process of George Floyd in America you shall see that the policeman who knelt on the neck on the victim knew what he was doing. Anatomically they are big vessels from the heart ascending to the brain .they bring oxygen to the brain and take away deoxygenated blood...
  5. JamiiForums Tanzania Usithubutu kuwaamini vyama vya upinzani, huwa hawakubali kutoka madarakani na hawaaminiani kabisa

    Hii tabia ya kugoma kutoka madarakani imekita mizizi ndani ya upinzani Lipumba - CUF, Mbatia - NCCR, Mbowe - CDM, na wapinzani wengine, sababu kuu ni kutokuwaamini wengine uwezo wao wa kuongoza vyama hivyo, yaani unataka mtu awe mwanachama afanye mambo yote ya kikatiba ktk chama ila asithubutu...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Acheni utani, upinzani hakuna mtu wa kuweza kusimama na Rais Magufuli kwenye uchaguzi mkuu Oktoba

    Habarini wadau... Leo naomba nizungumze ukweli juu ya hiki kinachoendelea, eti watu wa upinzani kuandika barua na kuomba nafasi za kuteuliwa kugombea nafasi ya urais wa JMT october 2020, Wanachofanya vyama vya upinzani ni utani nadhani na imefikia wakati wameacha kuwa serious, maana haihitaji...
  7. JamiiForums Tanzania Kinga kwa viongozi baada ya kustaafu haitawasaidia kabisa viongozi hao endapo upinzani utachukua nchi

    Huu ndiyo ukweli wenyewe. Wapinzani wakichukua nchi watatumia fimbo ile ile ambayo sisi CCM tumekuwa tukiitumia dhidi ya tusiowapenda, wakiwemo wa vyama vya upinzani. Na tusijidanganye kuwa CCM tutakaa madarakani milele. Dalili zilizopo zinaonyesha tutaondolewa madarakani muda si mrefu...
  8. JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani, uchaguzi huu ungeni mkono mgombea urais wa CCM hamna mgombea wa maana wa kushinda kwenu

    Vyama vya upinzani havina mgombea yeyote wa maana wa kushinda uchaguzi wa urais kupitia vyama vyao sababu vyote kwanza havina nguvu pande zote za muungano. Chadema ina nguvu Tanzania bara tu mkoa wa Kilimanjaro tu kidogo mji wa Arusha upande wa Zanzibar hamna kitu. Hivyo akiwekwa mgombea uraisi...
  9. JamiiForums Tanzania Prof. Safari: Vyama vya upinzani vinasumbuliwa na ubinafsi ndiyo maana vimeshindwa kumtoa CCM

    ALIYEKUWA Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Prof Abdallah Safari, amesema vyama vya upinzani vina ubinafsi na matokeo yake vimeshindwa kukiangusha Chama cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza mapema leo kwenye kipindi cha Front Page kinachorushwa na +255GlobalRadio...
  10. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Maoni ya Upinzani kuhusu mabadiliko ya rasimu ya Uchaguzi hayazingatiwi

    Chama cha ACT- Wazalendo kimelalamikia kutozingatiwa kwa maoni ya vyama vya upinzani katika mchakakato wa mabadiliko wa maadili ya uchaguzi katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu. Akizungumza leo na vyombo vya habari katika ofisi ndogo za chama hicho zilizopo Magomeni...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Chadema kutoka kuwa chama cha upinzani hadi kuwa chama adui kwa serikali na wananchi wa kawaida

    Nimeshangaa sana kuona Chadema ikwa inaipinga CCM kwa nguvu kubwa hili hari kumbe wanafanya vita na wananchi wa kawaida na wengine ni wanachama maskini wa Chadema. Chama cha siasa kufanya uadui na wananchi au wapiga kura ni kitu cha ajabu. Angalia jinsi Chadema ilivyoamua yenyewe kama chama...
  12. JamiiForums Tanzania John Mnyika, Sio rahisi CHADEMA kuendelea kuwa chama kikuu cha upinzani na kinachochochea maendeleo bila kuzingatia haya

    Huu ni waraka wazi kwa John Mnyika Kama katibu mkuu mpya wa CHADEMA, Katika mazingira yaliyopo kunakitu Chadema kimekosa na kinaitaji marekebisho kadhaa ili kwa uwazi kionekane ni chama Cha kuwasemea watu na sio kukosoa tu na hivyo kuonekana ni chama adui kwa jicho la usalama na ustawi wa nchi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ombi: NEC iwapime akili wagombea ubunge wa upinzani kabla haijawapitisha ili kupunguza chaguzi ndogo baadae!

    Kiukweli katika mabunge yote kuanzia lile la Sapi hili la Ndugai ndio limetutia hasara sana kama taifa. Pamekuwepo na utitiri wa chaguzi amnazo tulirudia kuchagua wabunge wale wale tuliowachagua 2015. Kama taifa tumeingia hasara japo husemwa Demokrasia ina gharama zake lakini siyo kama hizi za...
  14. JamiiForums Tanzania Kisa cha George Floyd vs Siasa za upinzani Tanzania awamu ya tano

    Habari wakuu, Huku Marekani na ulimwengu ukiwa na taharuki kufuatia kifo cha mmarekani mweusi aliyeuawa na polisi, binafsi nimejaribu kulinganisha/kuhusishanisha hili tukio na namna serikali yetu inavyokabiliana na siasa za upinzani kama ifuatavyo: 1. Katazo la kufanya siasa/goti shingoni...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa lililofanywa na Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania 'CHADEMA' na hatua zinazopaswa kuchukuliwa ili kukirudisha Chama

    Wapendwa wana JF, Nadiriki kuandika uzi huu hapa nikiamini wataalam wa mambo ya SIASA wapo katika jukwaa pendwa la JF. Mada yangu ni kuangazia makosa yaliyofanyika mpaka chama cha demokrasia na maendereo chadema kikafikia hatua hii mbaya kilipo kwa sasa. Hili halina ubishi kuwa CHADEMA kina...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anatengeneza upinzani "Pure" utamsumbua sana

    Lowassa aliletwa Chadema na TISS wakimtumia Apson na Gwajima bila Mbowe kujua ila baadae alikuja kugundua na hakutaka ajue chochote alifanya hivyo pia kwa Sumaye, Masha& Co. Mbowe baada ya kugundua alifanya makosa akaanza kuwafanyia ujasusi na kugundua wote walio kuja kutokea CCM na wimbi la...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa kauli za huyu Mbunge wa Upinzani nakiomba sasa chama chake kianze kujiandaa kisaikolojia kwa Maumivu!

    Ni Mbunge ambaye kwa Wiki hii ya Pili sasa amekuwa akionyesha ' Ukomavu ' wake Kisiasa lakini ' Ucha Mungu ' mkubwa uliojawa na Hekima hadi Busara kwa upande Watendaji wa Chama Tawala ( sasa Wastaafu ) Lakini kama hiyo haitoshi kwa Kauli zake za Leo Bungeni ni kama ameshajua hatorejea tena...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Nimejipa jukumu la kuiombea CHADEMA katika kipindi hiki kigumu wanachopitia, bila upinzani imara CCM itayumba

    Ukiwa juu ya siasa za vyama utaona wazi namna wananchi watakavyoihitaji Chadema kuliko makamanda wa Ufipa wanavyowahitaji. Kwa kuwa chama kikuu cha upinzani kinapita katika wakati mgumu na mimi naamini kwamba Siasa siyo uadui, basi kwa hiyari yangu mimi Yohana nimejipa mzigo wa kuiombea Chadema...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Je, bila Upinzani imara CCM itayumba? Nani atarushiwa madongo bungeni ili kujitafutia umaarufu?

    Uwepo wa upinzani katika mfumo wa kisiasa kuna faida na hasara zake. Moja ya faida ni ile ya kuusingizia upinzani kila wakati mambo yanavyokwenda ndivyo sivyo. Hata kwenye dini pasingekuwepo shetani basi sifa na shutuma zote zingekuwa zinapelekwa kwa Mungu lakini sasa uovu huelekezwa kwa...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, lengo la watawala kukifanya chama cha NCCR Mageuzi kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya mwaka 2020 litafanikiwa?

    Ukiangalia mwenendo wa viongozi wa Chadema hivi sasa wanaohama chama hicho kuhamia NCCR Mageuzi utagundua wazi kuwa chama tawala kina mkakati wa wazi wa kukifanya chama cha NCCR Mageuzi kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya mwaka 2020 Tamko la kiongozi wa NCCR Mageuzi, James Mbatia la hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…