upinzani

  1. JamiiForums Tanzania Membe anatumika kuua upinzani?

    Mwaka 2010 waliotaka kumchallenge Kikwete ilikuwaje? mwaka 2000 je kwa Mkapa ilikuwaje? Membe kugombea urais mwaka huu anatumwa na nani? hata angekuwa yeye ndiye rais angekubali mtu mwingine apewe form? Sikubaliani Na Magufuli kwa mambo mengi ila kuna ajenda ya siri anayo Membe. Membe anatumika...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani ukimweka Membe itakuwa tofauti kubwa na ilivyokuwa kwa Lowassa! Watashinda

    Lowassa pamoja na kupendwa sana kwa kweli alikuwa dhaifu mno 2015. Tena mno, kimawazo (hakuwa na mvuto wa hoja) na hata kiafya (enzi za siha njema zilishampita). Kwangu mie hata JK kuhakikisha Lowassa hawi Rais ilikuwa ni kumsaidia rafiki yake ambaye alikuwa anajua undani wake. Lowassa...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

    Membe anasema: Kuhusu kugombea ndani ya CCM: Kuhusu kugombea ndani ya CCM, tukafikia mwafaka na Washauri, Tukafikia uwamuzi kwamba, sisi hatujamkosea mtu, sisi hatujawa waharifu, sisi hatuna uoga na tunaniamini, sisi tuna haki kabisa kabisa ya kugombea urais huu kwa sababu tunalindwa na Katiba...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri kunusuru upinzani ‘kidharura’: CHADEMA msimamisheni Membe, ACT msiweke mgombea bara; Haitawapa ushindi ila itawasaidia kuendelea ku 'savaivu'

    Disclaimer; Mtoa ushauri huu ni mwana CCM anayeamini katika demokrasia. Anaamini CCM imara itatokana na uwepo wa upinzani bora kwa kuwa CCM itapata kioo cha kujitazama, na kufa kwa upinzani kutasababisha CCM isiwe na pa kujipimia na hivyo ubora wake kuyumba.Kama Simba ikipotea kabisa, hatuwezi...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama vya Upinzani teueni Mgombea Kati ya walioko Tanzania ndege za ulaya hazisafiri hazijulikani lini zitaanza sababu ya Corona

    Kwa sababu ya Corona ndege za kutoka ulaya kuja Tanzania hazipo na hazijulikani lini zitaanza Kwenye mchakato wa uteuzi wa mgombea uraisi chadema na vyama vingine vya upinzani ni vizuri vikateua wagombea uraisi waliomo ndani ya Tanzania. Wasije poteza kwa kuteua mtu ambaye hataenda kuchukua...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Upinzani wanafuatilia sana CCM?

    Kwa siku za hivi karibuni, wapinzani hasa Chadema na Zitto wamekuwa wakifuatilia sana mambo ya CCM. Yaani sasa hivi wanafuatilia kila move anayopiga mgombea wa urais CCM badala ya kufuatilia mambo ya kwao? Nimeona gazeti la CHADEMA, Tanzania Daima habari kuu ni CCM na humu hadi social media...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mafuriko wa Wabunge wa Upinzania kuhamia CCM: Baada ya Bunge kuvunjwa,wabunge wa Upinzani waliomiminika kwenda CCM wako wapi?

    Tuliambiwa kuwa Bunge litapovunjwa au kukaribia kuvunjwa,Wabunge wa upinzani, hasa wa CHADEMA, wangehama kwa wingi mithili ya maji ya mafuriko kwenda CCM na kwamba CHADEMA ndio ingekufa rasimi. Swali: Mafuriko hayo yako wapi? Je, wale Wabunge Bunge wa viti maalumu waliohama hivi karibuni...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Bulembo: Sina mkwe anayeitwa Zitto, wao wanafanya starehe zao vichakani hawezi kuwa mkwe wangu!

    Mbunge wa kuteuliwa mstaafu alhaj Bulembo amesema hana mkwe anayeitwa Zitto na kwamba " wao" wanafanya starehe zao vichakani hivyo hawezi kuwa mkwe katika familia yake. Alhaj Bulembo alikuwa akijibu swali la mtangazaji wa Clouds 360 aliyetaka kujua kama Halima Bulembo ni mke wa Zitto na...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani Tanzania wafananishwa na George Floyd!

    Kibano ambacho vyama vya Upinzani Tanzania vinapitia tangu Rais Magufuli aingie Madarakani 2015 ni sawa na kibano cha Polisi wa Marekani kwa George Floyd (RIP). Tunaingia Uchaguzi Mkuu wa 2020 bado Wapinzani hawana RUKSA ya kufanya mikutano iwe ni ya ndani au ya nje. Hakuna kuandamana wala...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo baadhi ya wabunge wa upinzani wanavyochukuliwa na jamii baada ya miaka karibu mitano ya shida na mateso

    Chanzo:Tony Alfred on twitter. Maoni yangu: Kuna mtu/watu watakuwa wanajisikia vibaya sana kusoma tweet hizi(maneno haya) na wajue tu watakumbukwa kwa matendo yao na si kwa structures watazotuachia kwani wako wengine watakaoikuja kujenga structures zingine bora zaidi kama ambavyo wao sasa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Spika Ndugai, upinzani siyo CHADEMA, ni Watanzania waliochoka...

    Miaka kadhaa sasa, Chama chango tawala CCM imekuwa ikihubiri kukiua Chadema kwa maana wanaonekana ni wapinzani wa utawala. Kukiua Chadema siyo issue, maana CHADEMA ikifa, kitakachokuja mbadala ni mbaya na kubwa Zaidi ya Chadema. Chadema siyo wapinzani. Wapinzani ni watanzania. Mioyo yao ndio...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli: Nina uhakika wabunge wa CCM watarudi bungeni, lakini ambao hawatarejea tunashukuru kwa mchango wao

    Vyama vya upinzani mmeona hicho kigongo kutoka kwa mshika dola? Maneno haya aliyoyasema Rais yalipaswa yatolewe kwenye CCM campaign rally na siyo ndani ya chombo huru (at least kikatiba) kama bunge. Ana audacity ya kuonyesha upendeleo wa wazi kwa chama chake mahali ambapo si pake (bungeni) na...
  13. JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani hebu tusemezane kidogo

    Mwaka huu hapo October kutakuwa na uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Ninaimani mtasimamisha wagombea wa urais, wabunge na madiwani. Nataka tusemezane jambo moja kubwa kwa kuwa wabunge na madiwani wa upinzani baada ya uchaguzi wanahamia CCM hatimaye taifa linaingia gharama za kurudia...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wapenda mabadiliko,hatupaswi kufanya jambo kutambua na kuthamini uaminifu uliofanywa na wanasiasa wa upinzani waliokataa kusaliti vyama vyao?

    Wadau,mbali na kuwapongeza wanasiasa wa upinzani waliosimama imara kwa kukaataa kununuliwa/kurubuniwa ili wasaliti vyama vyao,nadhani ni muhimu pia kufanya jambo kutambua uaminifu waliuonyesha kwa vyama vyao na zaidi kwa wananchi waliowachagua. Katika hili,napendekeza ziandaliwe nishani ambazo...
  15. JamiiForums Tanzania Hongera kwa Wabunge na Viongozi wa Upinzani waliogoma kuuza utu wao

    Najua mmepitia mengi magumu, mmenyanyaswa, mmefungwa, mmeumizwa lakini hatimae miaka mitano ya mateso ya kusimamia na kuitetea haki inafikia mwisho. Hongera sana sana. MUNGU atawalipa. Mnaingia kwenye kipindi kingine kigumu zaidi, this time watatumia Tume, Polisi na hata Green Guards, kuweni...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiongozi wa upinzani Kenya apimwa corona, yaani mwendo wa kupima kila mtu

    Vizuri sana Wakenya tunavyolishughulkia suala hili la corona, ushirikiano baina ya wanasiasa wote, hamna mikwara au matamko yenye kejeli, hakika tumeonyesha mfano wa kuigwa Afrika na duniani kote. Kiongozi wa upinzani Raila Odinga amepima corona na kuagiza matokeo yatangazwe hadharani, hivyo...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Mambo haya yatakipa ushindi mkubwa CCM na yanaweza kupoteza wabunge wengi wa upinzani kwa kuzingatia muda uliobaki kufanya uchaguzi

    Mambo yafuatayo CCM ikijipanga vizuri itashinda kwa kishindo .... 1. Kitendo cha Tundu Lissu kwenda kuichafua nchi kwa wazungu. 2. Kitendo cha Zitto Kabwe kutaka nchi isipewe mkopo wa elimu na WB, na baadaye nchi kukopeshwa 3. Kitendo cha wapinzani kupinga kila kitu 4. Kitendo cha...
  18. JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani Tanzania vinalilia domokrasia sio demokrasia

    DOMO krasia na DEMO krasia Ni maneno mawili tofauti kwenye siasa DOMO krasia Ni Uhuru wa kuongea chochote kiwe na mantiki au la kisa tu DOMO ni jumba la maneno hivyo lazima mtu aongee DEMO krasia ni ku demonstrate halafu ndio unongea yaani mfano unasomesha kiongozi mkuu wa chadema ambaye Ni...
  19. JamiiForums Tanzania Membe: Sijaandika barua ya kujiunga CHADEMA, naheshimu upinzani kwa kuikosoa upinzani ndio maendeleo

    Watanzania wenzangu. Mimi sijaandika barua ya kuomba kujiunga na Chadema au chama kingine chochote lakini nitaendelea kuviheshimu vyama vya upinzani kwa sababu vinafanya kazi nzuri ya kuikosoa Serikali. Kukosoa ni kitendo cha maendeleo mpinduka na kamwe siyo kitendo cha uadui!
  20. JamiiForums Tanzania Hivi haya mashambulizi ya Viongozi wa Upinzani, baada ya Lissu na Mbowe nani atafuatia?

    Hill ni swali fikirishi, kuweza kuona mwelekro was matukio haya. Nini chanzo, walengwa kina nani? Sababu Nini? Wahusika kina Nani? Adui wa Mbowe na Lissu nani? Kwanini matukio yote tatokee Dodoma? Tena eneo lilelile? Ulinzi vipi ulienda wapi? Maswali Ni mengi kwa kweli.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…