upinzani

  1. E

    JamiiForums Tanzania Ni haki ipi na uhuru upi ambao viongozi wa upinzani wanatafuta?

    Nina maswali lukuki najiuliza kichwani mwangu nikiwa nimetulia. Kwamba ni haki na uhuru upi. Ni haki ipi na uhuru upi ambao viongozi wa upinzani wanatafuta. Habari za leo ndugu zangu na marafiki. Kwanza kabisa nianze kwa kusema ndugu zangu siasa sio ugomvi lakini panapo bidi kuulizana lazima...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Endapo Magufuli atashinda, asitoze kodi Majimbo yatakayonyakuliwa na Upinzani

    Kila anapopita, Magufuli anawatisha Wananchi kuwa wakichagua upinzani hatawaletea maendeleo. Anayasema haya akijiamini kabisa utadhani ameshashinda uchaguzi. Endapo ngekewa itakuwa kwake akafanikiwa kushinda, Majimbo yote yatakayoongozwa na upinzani 'tunamtaka' asikusanye kodi huko, awaachie...
  3. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu A.M. Lissu: Mgombea Urais wa upinzani machachari zaidi kuwahi kutokea katika chaguzi zote chini ya mfumo wa vyama vingi kurudi 1992

    Tangu kuanza mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 na uchaguzi mkuu wa kwanza wa mwaka 1995, Tanzania haijawahi kushuhudia na kupata mgombea wa upinzani machachari na mwenye ufahamu wa hali ya juu wa mambo mbalinbali kitaifa na kimataifa katika nyanja za elimu, siasa, historia, sheria, uchumi nk kama...
  4. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Karatu, Manyara: Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu (Sept 29, 2020)

    Karatu imesimama muda huu na habari ni Tundu Lissu Picha: Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano kupitia CHADEMA akipita Karatu kuelekea wilayani Hai ambapo atakuwa na mkutano wa kampeni kesho. Umati mkubwa wa watu unejitokeza barababrani kumsalimu huku akitarajiwa kurejea Karatu siku za baadaye...
  5. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli(Mlowa): Ubunge sio 'madigrii' ni kipaji kutoka kwa Mungu; mkichagua Wapinzani nitashindwa kuwatumbua wasipofanya kazi

    Katika kipindi cha miaka 5 tumefanya mengi, hata kuhamishia Makao Makuu Dodoma halikuwa jambo dogo. Miaka 47 haijawezekana ila miaka 5 tumeweza. Makao Makuu yanamaanisha ustawi wa eneo hili unakuja kwa nguvu. Tunajenga Uwanja wa Ndege mkubwa huko Msalato ili ndege za kimataifa zije. Tumeleta...
  6. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mkurugenzi wa NEC, Dkt. Mahera apumzishwe haraka, anaweza kutupeleka kwenye matatizo makubwa

    Kila ninapomsikiliza huyu Mkurugenzi napata wasiwasi kabisa na uwezo wake wa kuifanya tume ya uchaguzi ikafanya haki. Kwanini isichukuliwe kuwa yeye ndiye chanzo cha hizi engua engua? Huyu si watu wengi wanamtuhumu kuwa ni kada wa CCM? Si ndio kuna tuhuma kuwa alikua kwenye list ya Wakurugenzi...
  7. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Karagwe: DC aamuru kujengwa jukwaa lingine ili litumiwe na Waziri Mkuu, asema jukwaa la awali ambalo ni la kudumu limetiwa najisi na Tundu Lissu

    Siasa za Tanzania kusema kweli chama tawala kinatia aibu. Kesho waziri mkuu atakuwa Karagwe kwenye kampeni za uchaguzi mkuu. Sasa leo DC wa Karagwe ameamuru kujengwa jukwaa lingine baada ya jukwaa la asili ambalo alitumia Tundu Lissu kujinadi kudai kuwa limetiwa najisi. Yaani Tundu Lissu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna mgombea amekuwa akipotosha kuwa tukichagua upinzani kutatokea vita. Anatakiwa kuitwa kwenye Kamati ya Maadili

    Kuna mgombea amekuwa akipotosha kuwa tukimchagua mpinzani kutatokea vita, tena amekuwa akiienda mbali kwa kusema "uongozi haujaribiwi". Naomba tume imuite akajieleze kuhusu upotoshaji wake.
  9. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani hawako serious kabisa kuiongoza nchi, sijui ni uvivu ama la

    Habarini Katika kutafakari tutafikaje 28 october, likanijia hili wazo tena fikra za kuanzia at family level Kwenye familia, vikao vya kifamilia vikikaa yule mwenye uafadhali kimaisha ndie mara nyingi anakuwa anasikilizwa na kupewa majukumu ya kiuongozi the same as katika ukoo Kwenye ubunge...
  10. Gerald .M Magembe

    JamiiForums Tanzania Bila umakini itachukuwa muda mrefu na inaweza ikawa mrefu sana kwa upinzani kuiondoa CCM madarakani

    Wana Bodi leo ninakuja na uzi fikirishi kwa kupinga dhana ya kuiondoa madarakani kiuwepese wepesi na kimzaha mzaha bila kuwa na strategic Movement ambayo itakuwa na proper focus ya kitu gani kinatakiwa kufanyika kuweza kufikia hilo lengo. Kwanza upinzani bado wengi wao hawajatambua kuwa CCM ni...
  11. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani waitumie rasimu ya Jaji Warioba kuisoma hadharani ili kutoa mawazo hasi kwamba mapendekezo ya ilani zao ni mawazo yao binafsi

    Nimeipitia kwa mhutasali rasimu ya jaji warioba, Ni nzuri na imebeba mawazo halisi ya wananchi, nikagundua, ila za vyama makini vya upinzani vimekopy KUTOKA rasimu ya Jaji Warioba. Nashauri wapinzani kuisoma Tena hadharani ili wananchi wakumbushwe tu kuwa, rasmu ya katiba mpya ni nzuri kiasi...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Kabwe: Oktoba 3 tutatangaza Mgombea wa Urais atakayewakilisha Upinzani

    Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema vyama vya Upinzani nchini vimekubaliana kumuunga mkono Mgombea mmoja wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania na pia, kwa upande wa Zanzibar. Zitto ameongeza kuwa Oktoba 3, 2020 watatangaza ni nani hasa atasimama kama Mgombea Urais...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM haifai, tatizo ni Upinzani hauna sifa za kutawala nchi. Inabidi tuvumilie tu

    Hapa JF tunapigana vijembe na hasa watu wa CHDEMA wakijaribu kuonesha kwamba wao wako fit kuliko CCM na kwa ujumla hawazungumzii vyama vingine utadhani kweli nchi hii ni ya CCM na CDM. CCM wana udhaifu wa kuwa na viongozi ambao wanahangaikia kuiba na kujitajilisha na chama kuwa maficho ya watu...
  14. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mr. Much know na Kachero waamsha wenge upinzani: Vurugu zimeanza tayari

    Wanabodi, Tujiandae kusikia chochote kutoka kwenye viunga vya siasa za Upinzani. Bundi ametua kwenye mti wa mzambarau halafu akaruka na kwenda kutua mti wa msumbawanga (taja kabila). Kule kwenye mti wa mzambarau, kachero hashikiki hatamaniki. Unaambiwa amevimba Kama koboko. Kasema Kama mbwai...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mazingira ya nchi yetu, hakuna dalili yoyote ya upinzani kushinda Urais, hata kama hakutakuwa na faulo

    Wana wema wa MUNGU. Ni ukweli ambao kwa wengine utawaumiza, na wengine utawafurahisha, lakini hakuna dalili yeyote ya upinzani kushimda nafasi ya uraisi, kwa sababu zifuatazo: 1: Mtandao wa CCM unawabeba. Yaani CCM wametengeneza vyema mtandao wa kuwafikia wananchi. Mathalani,mabango na...
  16. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sera ya kutopeleka maendeleo Majimbo ya Upinzani inahalalisha Sera ya Majimbo!

    Sera mojawapo ya CHADEMA ni majimbo. Maana yake halisi ni kuwa watu wenyewe kwenye maeneo yao, yawe mikoa au wilaya, ndio wawe wanachagua au kuwateua viongozi wao, kama wakuu wa mikoa, wilaya na halmashauri. Pia maeneo hayo, pamoja na Bunge, viongezewe madaraka ya kuamua badala ya Rais pekee...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Katavi na Kigoma, azungumzia Katiba Mpya

    Wakuu nawasalimu kwa salamu ya Ukombozi , leo tena Mh Lissu anaendelea kuwatembelea Watanzania wenzake kwa lengo la kuwaomba ridhaa ya kupewa kura ili awe Rais wa Tanzania , mikutano ya leo itapigwa Mkoani Katavi na Kigoma . Endelea kubaki hapa hapa JF kwa habari za uhakika. ---- Napenda...
  18. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri. Watanzania wali miss sana siasa za Upinzani

    Ukiona yanayo tokea, badhasha, furaha inayoambatana na mapokezi ya Wagombea udiwani, ubunge na Urais kupitia Chadema na ACT wazalendo unagundua yafuatayo. - wanainchi walikua na kiu ya kusikia Sera mbadala za upinzani , - kuna kundi la wananchi ni die hard wa upinzani hivyo katazo la shugjuri...
  19. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea atakayetuahidi kufyekelea mbali mishahara na posho nono za Wabunge na Wanasiasa, tutampa kura

    Sasa, sasa: kama kweli Mgombea huyu wa Upinzani ni jasiri wa kutosha na mwenye uchungu na sisi wavunja jasho na walipa kodi wa nchi hii, atuahidi hadharani katika kampeni zake kwamba tukimchagua atafyekelea mbali mishahara na maposho manono manono ya wabunge na wanasiasa. Na kwamba atafuta...
  20. Nyamsusa JB

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sijauona ‘u-kibaraka’ wala ‘ubeberu’ kwa Lissu mpaka sasa

    Najaribu kuutafuta Ukibaraka wa Lissu siuoni. Nautafuta Ubeberu wake siuoni. Nampekua na namchimba zaidi ninachokiona ni kua Tundu Lissu ni Mzalendo wa Kweli na wa kuigwa. Eti oooh, anatumika na Wabeligiji, swali la kujiuliza hapa Je, Lissu alifikajefikaje huko Ubeligiji (Jibu Risasi zenu...
Back
Top Bottom