upinzani

  1. JamiiForums Tanzania Viongozi wa upinzani ni muda wa kufanya kazi nyingine, siasa hailipi tena

    Namwamgalia Tundu Lissu namuona kama hana shida ya kuhangaika tena, apumzike ajilie mafao yake mdogo mdogo. Mbowe akifanya biashara itamtoa tu au hata kilimo. Zito Kabwe wewe sijajua una fani gani ila siasa sio dili tena, achana nayo kabisa. Godbless Lema wewe bora uendelee kutrade tu forex...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upinzani huko Tanzania mjilaumu wenyewe, mliingia kichinjioni mkiona

    Upinzani wa Tanzania mjilaumu wenyewe tu, maana chaguzi za serikali za mitaa mligomea na kuona kilichotendeka, CCM walizoa kila kitu bila kupepesa macho, maana kwamba walikua tayari kuwafuta kwenye historia ya nchi, walikua tayari kufanya chochote na lolote bila aibu. Sasa mmekuwa mkilaumu...
  3. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani, msiende mahakamani wala msihamasishe watu kuingia barabarani. Tuacheni Wananchi tuyaone wenyewe

    Sina mengine zaidi ya hayo, heading inajieleza vizuri. Ni kweli mtakosa mapato, lakini mnaweza kujibidisha na kupata shughuli nyingine hata ikiwezekana kilimo. Tuachieni hii miaka mitano ili tujionee wenyewe. Msihangaike kwenda mahakamani maana huko mtapoteza fedha na muda wenu bure...
  4. JamiiForums Tanzania Upinzani mkubali ukweli, Wananchi wamewachapa bakora kwa kutokukaa bungeni na kupinga kila kitu

    Ni kama nilivyowahi kusema na ntaendelea kusema kwamba upinzani nchini Tanzania ni kiinimacho na upo kwa ajili ya kula ruzuku. Mimi ni mmoja wa watu ambao bila kutetereka nimemuunga mkono raisi John Magufuli na serikali yake kwa miaka mitano ilopita na ntaendelea kumuunga mkono kwa yale yote...
  5. O

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbunge wa upinzani atakayeingia bungeni nitamshangaa sana

    Kwa hali inavyoenda sijui kama upinzani utapata wabunge hata 5. Lakini kuna mantiki gani wao kuwa wabunge katika mazingira haya? Bora waachie wajivue tu wabaki CCM 100% maana kinachofanyika ni kuhadaa dunia.
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Mtwara: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mtwara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Mwara una una jumla ya majimbo ya uchaguzi 10 ambayo ni: 1. Mtwara Mjini Hassan Seleman (CCM) -...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ni bora Bunge likawa na Wabunge wa CCM 100% kuliko kuwa na Wabunge wachache wa Upinzani. Faida na hasara zake kwa CCM na Upinzani ni hizi

    Kwa namna fulani matokeo tunayoambiwa ya uchaguzi kuwa CCM wamechukua viti vya Bunge kwa 100% mimi binafsi nimeyapokea kwa furaha sana, sio kwa kuwa naipenda CCM, la bali kwa kuwa CCM na wananchi kwa ujumla bado hawajatambua umuhimu wa kuwa na wabunge wa upinzani. Binafsi ningependa idadi ya...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    MATOKEO - LIVE: Wakuu, Tunawaletea matukio na matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yatakavyokuwa yakitangazwa. Orodha rasmi ya wagombea wanaowania Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kama ilivyo kwenye karatasi ya kupigia kura) 1...
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ahsanteni Watanzania kwa kutuchagua ila tusisahau CCM bila Upinzani ni sawa na Dini bila Shetani, hakuna visingizio!

    Kwa upande wa udiwani matokeo yaliyokwishatoka yanaonyesha CCM ikiwa mbele kwa kuzoa kata nyingi. Hata ubunge hakuna Mgombea wa Upinzani aliyetangazwa kushinda hadi sasa na tayari kiongozi mkuu wa CHADEMA ameshapoteza kiti chake cha ubunge kule Machame. CCM tunawashukuru sana Watanzania kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Si sahihi wakurugenzi kusimamia chaguzi kwa niaba ya Tume ya Uchaguzi (NEC)

    Wasalaam, mwenyekiti wa iliokuwa tume ya mabadiliko ya katiba jaji Joseph Sinde Warioba amesema wazi mgogoro wa kikatiba unaotokea sasa hapa nchini dawa yake ni Tume huru ya Uchaguzi ambayo imeweka wazi utaratibu wa kupata wajumbe wake. Jaji Warioba amesema, kwa mujibu wa sura ya pili ya rasimu...
  11. JamiiForums Tanzania Upinzani penetration...

    Hello wanajamvi, Tuko hapa tena tukiongelea uchaguzi. Kama ambavyo tutakua tunajadili uchaguzi 2025. Nothing is going to change, CCM itaendelea kuongoza tena na tena I just think we need us makamanda to have a big debate on how to fight this Enemy... (which is a focus of this thread) Kwangu...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa niliyoyashuhudia katika Uchaguzi huu, Poleni viongozi wa Upinzani

    Kwenye uchaguzi huu, niliyoyashuhudia ni makubwa. Nasema tena poleni sana viongozi wa upinzani mnawapigania Watanzania wasiojielewa hii inatokana na mifumo aliyoiweka Mwl. Nyerere. Kuna madudu mengi kwenye uchaguzi huu lakini kete pekee ambayo upinzani mlietegemea ni nguvu ya Wananchi-tatizo...
  13. JamiiForums Tanzania CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

    Wanabodi, Kutokana na majukumu yangu kama Mshauri wa Siasa wa Ubalozi fulani hapa nchini Tanzania , moja ya kazi zangu ni kufanya kitu kinachoitwa "stakeholders mapping", kuwatambua watu muhimu na hii hufanyika kwa kitu kinachoitwa "interactions" hivyo from time to time, huwa nawajibika kuwapo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi John Heche alivyoshambuliwa Twitter, ni wazi wafuasi wa upinzani sasa wanataka action na si kusikia viongozi wao wanalalamika

    Leo hii John Heche ameandika Twitter kulalamika mawakala wake kuvamiwa majumbani mwao na kupelekwa Polisi. Kilichonishangaza ni jinsi Heche alivyoshambuliwa huku wahusika wakionenekana kuchukizwa na hali ya kuendelea kulalamika bila kuchukua hatua na zaidi kwa kutozingatia onyo alilotoa kigogo...
  15. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watu wakijitokeza kwa wingi kupiga kura kesho, itakuwa ni dalili ya awali ya Lissu na upinzani kwa ujumla kuzoa kushinda huu uchaguzi

    Wandungu, kesho mkiona watu wamejitokeza kwa wingi kupiga kura, basi mtambue hiyo ni dalili ya mapema kabisa kuwa Lissu na wagombea wengine wa upinzani wanakwenda kupata kura nyingi na za ushindi ingawa tatizo linaweza kuwa katika kuwatangaza. Sababu kubwa ni kuwa,siasa za kuhamahama kwa kile...
  16. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wapinzani hamkujiandaa vyema; mkishindwa msilete nongwa

    Nawasalimu wanajukwaa, Kwanza nianze kwa kuwapongeza kwa minyukano ya hoja humu jukwaani kwa ustaarabu wa hali ya juu, hii inaonesha jukwaa bado lina watu makini sana. Nikirudi kwenye mada yangu,ni ukweli usiopingika kuwa wapinzani hamkujipanga vyema kwa ajili ya uchaguzi yanayotokea ACT ni...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Hoja binafsi: Dkt. Magufuli anastahili kupewa miaka mingine 5

    Naamini kuwa Rais Magufuli anastahili kupewa nafasi nyingine ya kuliongoza Taifa letu kwa miaka mingine mitano. Hoja zinazotolewa bado hazijatosha kuwafanya Watanzania wengi kutokumuunga mkono. Ushindi wake utakaribia asilimia 80... Lissu atapigiwa kura na watu wengi vilevile lakini ana kazi...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Sumaye alihamia Upinzani kwasababu alivamiwa na mapepo

    Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Magufuli amesema kitendo cha Waziri Mkuu wa awamu ya tatu, Fredrick Tluway Sumaye na Mbunge mteule wa Jimbo la Babati Mjini Pauline Gekul kuondoka CCM na kuhamia upinzani ni sawa na kushikwa na mapepo lakini sasa roho mtakatifu amewashukia...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Wakati vyama vingi vinaanza tulitumia kanuni ya mpinzani atatoka CCM, kanuni hii imefeli. Sasa hivi mpinzani wa kweli lazima azalishwe na upinzani

    Tulipoaminishwa CCM itauwawa na wana CCM kutoka CCM kwenda upinzani ilikua sahihi kwa wakati huo kwa sababu watu walikua watiifu kwa chama na walipikwa kwenye chama nakufahamika nje ndani ya maisha yao. Tukawa na waasisi akina Mrema, Slaa, Shibuda, Cheyo, Makani na wengine wengi waliojiengua...
  20. JamiiForums Tanzania Upinzani visiwa vya Ushelisheli washinda uchaguzi wa Rais baada ya miaka 43

    Mchungaji Wavel Ramkalawan ameshinda kura katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika visiwa vya Shelisheli. Hii ni mara ya sita kwa Ramkalawan kugombea urais katika Visiwa hivyo vilivyo katika Bahari ya Hindi Afrika Mashariki. Kiongozi anayeondoka madarakani ni Danny Faure ambaye amekuwa katika uongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…