upinzani

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini sisikii kesi za Wagombea Ubunge upinzani kudai kuibiwa ushindi?

    Zaidi nasikia uchaguzi umeisha tufanye yajayo. Miaka iliyopita watu walikuwa wanakwenda mahakamani kudai haki zao zilizopokonywa na wengine walishinda. Je, Hawana ushahidi? Wamekubali yaishe? Hawajaibiwa Bali wamepigwa kisawasawa? Wanatishwa? Wanatafakari kilichotokea? Wanajiandaa kuunga Mkono...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji chama kipya cha upinzani chenye sera mbadala za kueleweka za kudumu kwa wananchi sio za matukio

    Tanzania inahitaji chama kipya cha upinzani chenye sera mbadala za kueleweka za kudumu kwa wananchi sio za matukio. Hivi vilivyopo hakuna hata kimoja chenye sera ya kudumu kinachoeleweka sera zake za kudumu hasa ni zipi. Hivi vya kwetu havieleweki kabisa vinaenda na matukio tu. Mfano CCM...
  3. JamiiForums Tanzania NEC yatangaza Uchaguzi mdogo kwenye Kata tatu

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imetangaza uchaguzi mdogo katika kata tatu za Nyahanga iliyopo mji wa Kahama mkoani Shinyanga, Igumbilo iliyopo Halmashauri ya manispaa ya Iringa mkoani Iringa na Kibosho kati ilipo halmashauri ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Kata husika zinafanya...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Upinzani, Aluta Continua! Ni lazima kupigania kupata haki, uhuru na maendeleo japo haitakuwa rahisi

    Mabibi na mabwana na hasa wale wazalendo mapambano kudai haki, uhuru na maendeleo bado yanaendelea. Alisema J. J. Rawlings (rip): "Ni lazima ifikie pale ambapo hata kama shweitani atakuwa ndiye mtawala (rais), itakuwa ni lazima afanye kile ambacho Waghana (wananchi) wanataka na wala siyo kile...
  5. JamiiForums Tanzania CCM nao wameshindwa uchaguzi 2020, mshindi Dkt. Magufuli tu

    CCM nayo imepoteza katika uchaguzi huu, mshindi JPM tu Abu Kauthar Uchaguzi wa 2020 Tanzania umepita. Inasemekana Watanzania wameamua kukirejesha chama tawala, CCM kwa kishindo. Kishindo kilikuwa ni kikubwa mno. Kishindi cha bomu lililoteketeza sio tu vyama vya upinzani, bali hata mmea...
  6. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai aumizwa na chama cha siasa kutoleta Wabunge wa Viti Maalum, adai zingekuwa nafasi za wanaume wangelishafika

    Mapema leo spika Bunge, Job Ndugai alizielezea kamati za bunge na kusema wataziunda bunge lijalo kwa sababu serikali itakuwa imeshatengenezwa, pia akaongelea vyama ambavyo bado havijaleta wabunge japo wana fursa hizo hasa wabunge wa viti maalum ambapo makundi yaliyo bado ni matatu, mengine...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mkwamo wa Bunge kikanuni bila kambi Rasmi ya Upinzani

    Na Bashir Yakub, WAKILI Kanuni ya 135(11) ya Kanuni za Kudumu za Bunge za June 2020, inasema kuwa " Wenyeviti wa Kamati ya Hesabu za serikali(PAC), na Hesabu za Serikali za Mitaa(LAAC) wanatakiwa kutoka Kambi Rasmi ya Walio wachache Bungeni". Kwanza kwa Kanuni hizi mpya hakuna kitu kinaitwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa upinzani Hong Kong wajiuzulu wote kupinga sheria ya uzalendo ya China

    Wabunge wa Upinzani Hong Kong wamejiuzulu na kususia Bunge kwa kupinga msimamo wa Wabunge wa chama tawala katika kisiwa hicho kuonekana kukubaliana na sheria ya serikali ya Beijing ya Uzalendo kwa watu wa Hong Kong. Idadi ya wabunge wa upinzani Bunge la Hong Kong ni 19 katika Bunge lenye idadi...
  9. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

    Tundu Lissu, aliyekuwa mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA , ameondoka nchini humo leo Jumanne kwenda Ubelgiji huku akisema “sikimbii mapambano, ila nakwenda uwanja mwingine mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu.” Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Bunge kutokuwa na Kambi rasmi ya Upinzani ni ishara kuwa Wapinzani wameishiwa pumzi

    Moja ya kipimo cha kuimarika kwa upinzani ni uwepo wa Kambi rasmi ya upinzani na mabaraza ya madiwani yanayoongozwa na vyama vya upinzani. Kwa sasa hapa Tanzania hivyo vyote havipo. Ni kama vile tumerudi mwaka 1992 wakati mfumo wa sasa wa vyama vingi unaasisiwa. Ili upinzani urejeshe makali...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa tunaowajua haiwezekani Upinzani kususia bunge, huu ni utani tu!

    Tunaomjua Zitto vizuri na Mbowe hawatuchanganyi kabisa. Mwaka 2010 baada ya UCHAGUZI mkuu wabunge wa upinzani walikusudia kususia bunge kwa sababu kama hizi hizi. Wakati huo Tundu Lissu, Heche na Mdee walikuwa moto kweli. Walilia dhulma dhidi ya wagombea wao wengi sana wa ubunge na kutangazwa...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani wasizuie wabunge wao kwenda kuapa na kuhudhuria Bunge

    Wacha wabunge wa wapinzani washiriki vikao vya bunge lijalo, na ikiwezekana wapeleke majina ya watu wa ubunge wa viti maalumu. Maana kuhudhuria au kutokuhudhuria hakusaidii kuimarisha demokrasia wala vyama vya upinzani wala kubadilisha siasa za Tanzania. CUF walifanya hivyo mara nyingi bila...
  13. JamiiForums Tanzania Dodoma: Ufunguzi wa Bunge la 12, Ndugai asema Bunge hilo halitakuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani

    Mkutano wa kwanza wa Bunge la 12 umeanza rasmi leo Novemba 10, 2020, jijini Dodoma, ambapo moja ya shughuli zinazofanyika kwa sasa ni zoezi la kumchagua Spika wa Bunge. Moja ya kazi za kwanza za vikao vya mwanzo vya mkutano huu itakuwa ni kumchagua Spika wa Bunge, Naibu wake pamoja na...
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi wa upinzani wanaoondoka nchini wahakikishe wameweka sawa madeni wanayodaiwa

    Habari wakuu. Baada ya kupokea meseji zenu zisizo na idadi na pia simu nyingi za kunisihi niseme neno kuhusu hii hali iliyojitokeza ya viongozi wa upinzani kuondoka nchini kwa madai ya kuepuka hatari zinazowakabili dhidi ya maisha yao. Ninachoweza kwa ufupi ni kwamba nimesikitishwa na hizo...
  15. JamiiForums Tanzania Wimbi la Wanasiasa wa upinzani nchini Tanzania kutishiwa kuuawa linalenga jambo gani na kwa manufaa ya nani na ili iweje?

    Sasa ni dhahiri kwamba kuna mpango umesukwa wa mauaji ya wanasiasa wa upinzani nchini Tanzania, wahanga wakuu ni kutoka CHADEMA na ACT-WAZALENDO, ushahidi uko wazi kabisa, lakini je mpango huu wa kinyama umepangwa ili iweje, mbona walioshinda uchaguzi wameshinda kwa kishindo, mauaji haya...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Upinzani wajitafakari: Je, wako upande wa Demokrasia au wanajali matumbo yao kwanza?

    Ili uchaguzi uaminike unahitaji vitu vikuu vitatu: uhuru, uwazi na haki. Uchaguzi wa mwaka huu haukua na chochote kati ya hayo. Haukua uchaguzi wa kidemokrasia. Moja ya njia ya kupinga dhuluma yoyote ile ni kugoma. Mgomo wa kwanza uliotishwa nchi nzima na wanasiasa wa upinzani haukufanikiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, Bunge letu jipya linalokwenda kuundwa hivi karibuni baada ya uchaguzi Mkuu, lina hali mbaya sana ya kuwa liko kwenye hati hati ya kutokuwepo kwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni. Swali ni Jee NEC, Rais Dr. Mwinyi na Rais Dr. Magufuli wataingia huruma na...
  18. JamiiForums Tanzania Kinachoponza Vyama vya Upinzani kutochukua Nchi ni "Mwelekeo" wao kisiasa

    Neno "Mwelekeo" ndio sababu kuu ya Vyama vya upinzani kutokubalika na kuaminiwa kupatiwa Nchi na watanzania. Uchaguzi wa mwaka 1995 upinzani chini ya NCCR Mageuzi ilibaki kidogo kuchukua nchi chini ya Augostino Lyatonga Mrema, kabla ya watanzania kushtuka dakika za mwishoni baada ya Baba wa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Wapinzani waliokosa Ubunge kuingia katika mtihani wa kupewa Teuzi Serikalini ili wasaliti vyama vyao lengo likiwa kuua upinzani

    Napenda kuwaleza mapema juu ya utabiri wangu huu ili yakianza kutokea msishangae na pengine kufadhaika bali mjipange kuyapokea yatayotokea. Katika kutekeleza makakati/mpango huo,wanaoweza kuwa wanasiasa wa mwanzo kushawishiwa kukubali teuzi hizo ni watu/wanasiasa kama Prof.Jay, Sugu, Msigwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Marekani: Trump amshutumu Biden kuiba kura, Twitter yatoa tahadhari kuhusu chapisho la Trump 'linalopotosha'

    Wakati kura zikiendelea kuhesabiwa kufuatia Uchaguzi Mkuu nchini Marekani, mtandao wa Twitter umetoa tahadhari kuhusu chapisho la Rais wa Marekani, Donald Trump alilochapisha katika mtandao wake wa kijamii wa Twitter akiwashutumu wapinzani wake (Joe Biden) kuiba kura. Trump aliandika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…