upinzani

  1. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Ukizuia upinzani wa kidemokrasia unakaribisha upinzani wa kiharamia

    Katika miaka karibu 24 ambayo Mwalimu Nyerere alikua kiongozi wa Tanganyika na baadaye Tanzania, kulikua na majaribio matatu ya kupindua serikali. Wakati huo hiyo ndiyo ilikuwa njia pekee ya kuiondoa serikali madarakani, kwakuwa nchi ilikua na chama kimoja tu kilichojipa uhalali wa kuongoza...
  2. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania Mama Samia una wabunge 90+% futa vyama vya upinzani

    Namshauri Mama kuliko nchi kuwa katika mivutano wakati mlikubaliana kufata demokrasi ya vyama vingi , amuru waziri wa Sheria na katiba apeleke mswada wa dharura bungeni kufuta vyama vya upinzani hapa nchini. Najickia huzuni Sana namna mambo yanavyoenda. Mama nilikupenda na niliona umsikivu na...
  3. Rufiji dam

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa makini, una upinzani ndani ya CCM yako

    Kwanza nikupongeza sana kwa kuupiga mwingi mpaka unaotea. Kwa wale waliokaa Tabora wanajua hadithi ya mcheza maarufu wa mpira wa miguu kutokea mkoani humu YUNGE MWANA NSALI huyu inasemakana alikuwa anauwezo wa kupiga faulo akikonga mwamba inaenda kufunga upande wao. Mama unapigiwa kila aina ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna Chama cha Upinzani bali wachumia tumbo

    Wananchi wengi wa kawaida na hata viongozi wa kada ya chini ya vyama wanaamini kuwa wanaviongozi wa upinzani mbele yao kumbe wanawasindikiza wachumia tumbo sikuzote hapa Tanzania. Kwanini basi: Tangia kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini mwaka 1992 makanjanja kibao walitokea CCM na...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tunataifisha mpaka viti na meza za CCM - 2025 ushindi lazima uende kwa Upinzani

    wananchi walio wengi wanatamani kuiona CCM ikiwa imepoteza madaraka ,maana ni shangwe na furaha kwa nchi nzima watoto na vijana wazee na yaani CCM tumeichoka kuliko mahelezo,waende tu.Na nina hakika watakaoingia madarakani watataifisha mali zote za CCM hakibaki kiti wala meza.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Katiba ya Tanzania sio ya Rais, wala CCM, wala Upinzani, ni ya Watanzania wote na huna mamlaka nayo. Kuapa kuilinda sivyo unavyofikiria

    Nimeshangazwa sana na habari iliyopo kwamba Rais Samia alimuagiza Mkuu wa Polisi Mwanza kuzuia watu kufanya kongamano juu ya Katiba ya Jamhuri ya Tanzania; kwa malaka gani aliyo nayo Samia juu ya Katiba? Je Rais Samia haelewi kwamba japo ana mamlaka ya Uraisi wa Tanzania, uraisi wa Tanzania...
  7. Chaliifrancisco

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Wabunge wa Upinzani Bungeni

    Ifikie mahali Watanzania wote tukubaliane kuwa hata kama chama tawala hampendi upinzani lakini kuna umuhimu wa wabunge wao kuwepo bungeni. Fikiri kuhusu hizi tozo zinazoumiza ambazo zimeongezwa katika bei za mafuta, voucher na katika huduma za pesa kwa njia ya simu. Tukubali kabisa kuwa...
  8. wajingawatu

    JamiiForums Tanzania Shule za Serikali kufanya vizuri kuliko za Binafsi: Je, ni mkakati wa kuzifuta shule binafsi, kama walivyokuwa upinzani?

    Sioni sababu ya shule za Sekondari za Serikali kufanya vizuri kuliko za watu au mashirika binafsi. Ila naamini kuna mkakati wa kuzifuta shule za binafsi kwa njia ile ile iliyotumika kuvidhoofisha vyama vya upinzani. Wenye povu au hoja tofauti mnakaribishwa.
  9. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Upi Mustakabali wa ACT-Wazalendo Kwenye Siasa za Upinzani Tanzania?

    Mwandishi Njonjo Mfaume anauliza nini mustakbali wa ACT Wazalendo kwenye siasa za upinzania Tanzania? =========== Kuna baadhi ya viumbe ni vigumu kuwaainisha. Kati ya hao yuko popo. Popo anaruka kama ndege lakini ni mamalia. Kwa mujibu wa wataalamu, huyu ndiye mamalia pekee kwenye sayari yetu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Haiwezekani Vyama vya Upinzani vikabadili Mwenyekiti wa Chama - hilo kwa sasa lisahauni

    CCM haijawahipo kubadili mwenyekiti wa Chama zaidi ya anaekuwa Raisi ndie awe mwenyekiti wa Chama, hivi ni kweli ndivyo inavyotakiwa? Utaratibu huo mmeutoa wapi? Sasa kuna watu wanapiga makelele eti Vyama vya Upinzani wenyeviti wao ni Wafalme kwa hilo ndugu zangu wa CCM mliopoteza muelekeo...
  11. Mindi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kutoka nia ya kukutana na vyama vya upinzani hadi "Ngoja tuimarishe uchumi kwanza"

    Moja ya kauli za mwanzo kabisa za Rais Samia ambazo zilileta msisimko nchini ni kusudio lake la kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani. Msisimko ulitokana na ukweli kwamba Rais Magufuli hakuwa na mpango wa aina hiyo kabisa, badala yake mkakati wake ulikuwa kuviua kabisa vyama vya upinzani...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Utani wa CCM na Vyama vya Upinzani unachekesha na kuleta hasira

    Wapinzani tunataka Katiba mpya, wana CCM Katiba mpya no haiko kwenye ilani ya CCM Wapinzani tunataka Demokrasia : ccm demokrasia ipo wewe fanya kwenye jimbo ulipo chaguliwa kwa mwenzio no. Fomu za wagombea wa upinzani, ofisi zina fungwa , mkurungezi kakimbia ofisi, nimevamiwa nyumbani...
  13. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania CCM ijitathmini irekebishe madhaifu yake, ijenge umoja iendelee kuongoza Taifa. Hatuna wapinzani nchi hii

    Friends and Enemies, From Monopartisim to Multipartism 1992 to 1995, nchi yetu imepitia chaguzi kadhaa ambazo tunaweza sema nchi bado ilikua changa kwenye Siasa za vyama vingi, na wakati mwingine tunaweza sema kwamba tumepitia siasa ya aina yetu na ya kipekee kama Taifa ambayo hatuwez...
  14. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuvielewa vyama vya siasa vya upinzani Tanzania?

    Moja ya vitu vya kustaajabisha hapa nchini,ni namna vyama vya upinzani vinavyoshindwa kula na kipofu na chama tawala na serikali pia Watanzania tunajijua na rahisi sana kutekwa kisiasa ni mbinu tu za mtekaji akijipanga vizuri,yaani wapinzani wanashindwa kutumia mbinu hizi kwa serikali na chama...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini upinzani una nguvu sana Mbeya na Songwe tangu miaka ya 1990 hadi sasa?

    Kwa miaka mingi mikoa ya Mbeya na Songwe imekuwa ikitoa wanasia wenye kuelwmea upande wa upinzani, wakiikosoa serikali ya CCM bila ya woga wowote, hata wakitishiwa mateso na kifo hawatetereki. Je, ni nini haswa kilichopelekea watu wa mikoa hiyo kuwa hivyo? Hukk ndiko sehemu ambako CCM hupita...
  16. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Kosa la karne kwa CCM ni kujitenga na hoja ya Katiba na kuwaacha upinzani watambe nayo

    Kwasababu bado sina chama cha siasa, nataka kuwashauri viongozi wakuu wa CCM. 'Msijitenge na hoja ya katiba na kuwaachia upinzani pekee, mnafanya kosa kubwa'. Nimeangalia trend mpaka sasa huko mitandaoni, nimesikitika kuona kwamba kila mwana CCM ambaye ataongea kuhusu katiba mpya, basi...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kuzuia mikutano ya siasa kunaifubaza CCM na kuimarisha Upinzani, ndio maana Uchaguzi Mkuu 2020 ulikuwa mgumu kwa CCM

    Binafsi sioni tija yoyote katika kuzuia mikutano ya kisiasa kwa sababu uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa mgumu zaidi kwa CCM kuliko ule wa 2015. Kuzuia mikutano ni mbinu za kikoloni ambazo hazikuwasaidia lolote wakoloni wa enzi hizo. Natamani awamu ya 6 ije kisasa zaidi, Wapinzani wanakabilika...
  18. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Upinzani wasilazimishe Taifa suala la Katiba Mpya, agenda ilishapita

    Chama kinachojibainisha kama kikuu cha upinzani kimekuwa kinalizungumzia suala la katiba kama vile bado halijashughulikiwa. CHADEMA wamekuwa wanataka wapate aina fulani ya Katiba ambayo itawanufaisha wao kisiasa na labda kimapato kwa viongozi wao wala siyo katiba itakayokubalika na wengi kama...
  19. Mkulima na Mfugaji

    JamiiForums Tanzania Hivi anavyofanya Rais Samia ndio kuua upinzani

    Tokea Rais Samia aingie madarakani kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Naona kila anachofanya anapata sifa kutoka kwa watu wengi hasa wa upinzani. Kwa maono yangu hivi anavyofanya mama ndio kuua upinzani, sio kuwakamata na kuwatisha na kuwabambikia kesi na kuwafunga, mama akiendelea...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awekeze kwenye utawala wa sheria, katiba mpya na tume huru ya uchaguzi

    La muhimu ni kwa Rais Samia kwa hii miaka minne, au mitatu, aipatie Tanzania katiba mpya. Asijikweze sana kutaka kugombea hapo 2025, hilo si lake. Awaachie wenyewe. Zaidi ajikite kwenye kuwekeza utawala wa sheria, Katiba mpya na tume huru ya Taifa ya Uchaguzi, mambo matatu hayo yatamuweka...
Back
Top Bottom