upinzani

  1. JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani Tanzania vinaongozwa na madikteta

    Hawa watu ukiwaangalia bila bias utaona ni madikteta wakubwa sana. Cha kushangaza wafuasi wao hawaoni hilo kuwa ni tatizo. Moja ya sifa kuu ya udikteta ni kung'ang'ania madaraka. Cheki wanavyofanya. 1. Mrema ni mwenyekiti wa TLP toka 1999-leo. Miaka 23 2. Zitto amakuwa kiongozi wa ACT toka...
  2. JamiiForums Tanzania Mliokuwa mnafurahia wabunge wa Chama kimoja, Chadema ife, upinzani ufe ibaki CCM tu nadhani Sasa akili zimerudi

    Awamu iliyopita ilifanya Kila mbinu, kushawishi, kutishia, kuhonga n.k kuhakikisha nchi nzima inakuwa KIJANI. Na hata wale waliojaribu kukataa kuunga mkono waliona Cha mtema Kuni. Hatimaye mwaka 2020 nchi ikawa kijani na wabunge 99% wakawa wa Chama kimoja! Sasa wote tunaona Bei ya mafuta ikiwa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Watumishi Mliosema upinzani wa kazi gani Tanzania natumai mmeona wabunge wa CCM wanavyowapigania Bungeni.

    Kuna mtumishi mmoja analalamika kwanini upandishaji mishahara umekuwa wa hisani ya Mhe. Rais nikamwambia akamuulize Mbunge wake aliyempeleka Bungeni. Nimemjibu hivyo Kwa sababu awali enzi ya JK alikuwa anawaona wapinzani Bungeni kama watu wasio na uchungu na nchi hii na wasiofaa kuwepo. Baada...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kunani CCM, mbona Chaguzi za matawi zimepamba moto kiasi hiki? Je, huu sasa ni mwanzo wa mwisho wa Upinzani?

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Cde Shaka Hamdu Shaka amejumuika pamoja na wanachama wa Tawi la CCM Buyu Pwani, Mkoa wa Magharibi, Wilaya ya Dimani, Ndg Shaka Hamdu Shaka ameshiriki katika uchaguzi wa kuwachagua Mwenyekiti wa shina No 4 na wajumbe wa kamati ya Uongozi...
  5. JamiiForums Tanzania The Royal Tour: Mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA ampongeza Rais Samia Suluhu Hassani kwa kazi nzuri

    Aliyekuwa mbunge wa Iringa mjini kupitia CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa amempongeza Rais Samia Suluhu Hassani kwa kazi uzuri na ubunifu wa Filamu maarufu ya kitalii ya THE ROYAL TOUR. Kiongozi huyo wa CHADEMA wa nyanda za juu kusini amesema kuwa inawezekana labda kuna mapungufu madogomadogo...
  6. JamiiForums Tanzania UK: Mbunge adaiwa kuangalia ngono akiwa Bungeni

    https://www.independent.co.uk/news/uk/politics/tory-watch-porn-commons-phone-b2066545.html?amp Mbunge aliyekaa nae jirani aliona mbunge mwenzake akiangalia website ya ngono katikati ya kikao cha bunge huko Uingereza. Ofisi ya Kambi ya Upinzani imesema swala hili litachunguzwa na kamati huru ya...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Umoja Party kikiachana na tabia za upinzani wa sasa kitakuwa chama mbadala

    Muda mrefu hofu ya watanzania ni nani mbadala wa CCM kama CCM ikiondolewa? Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi niseme kweli nchi yetu bado haijashuhudia chama cha kuiondoa CCM hata kama CCM imechokwa sana bado wanaliona tumaini ndani ya CCM kuliko nje. Kuna tabia fulani fulani zilizokuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani havina nia ya kuikomboa Tanzania tutafute mgombea binafsi

    Vyama vya upinzani havina nia ya kuikomboa Tanzania tutafute mgombea binafsi. Nimekaa nimewaza juu ya mwenendo wa siasa za taifa letu. Nikirejea kwa hawa wenzetu chama tawala jinsi wanavyoenenda. Ni dhahiri inaonyesha hawana muda mrefu wataachia hili taifa mikononi mwa chama kingine. Sasa...
  9. JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Hayati Magufuli wanakubalika kuliko upinzani na CCM

    Ukiachana na mihemko ya humu JF na Twitter kwa baadhi, ukweli ni kwamba kwa ground, SUKUMA GANG, wana mtaji wa watu wengi ambao ni tabaka la chini, kwa utafiti tu mdogo kati ya wananchi 10... wananchi 7 wanaamini maono na itikadi za Hayati JPM, huu ni ukweli ukitembelea wananchi kama mama...
  10. JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani akutana na Mbowe, asema upinzani imara ni afya ya demokrasia

    Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Donald J. Wright, leo Aprili 11, 2022 amepost picha akiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe kisha akaandika: “Ni jambo zuri kukutana na Freeman Mbowe asubuhi ya leo. Upinzani mahiri wa kisiasa ni jambo jema kwa afya ya...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Luhanga Mpina kuhamia upinzani 2025. Lipo lengo maalumu linapangwa

    Habari zenu wadau wa JF siasa. Hali ni tete nchini, ndivyo unavyoweza kusema. Amini usiamini, Mbunge wa Kisesa Mh Luhanga Mpina atagombea Urais kupitia chama Kikongwe Cha upinzani 2025 Mpango na mikakati inasukwa kwa ustadi wa Hali ya juu na huenda mwezi June 2025 uanachama wake ndani ya...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Huu Mfumo wa Vyama Vingi ulitengenezwa na CCM kukidhi mahitaji ya wale Wananchi 20%. Ni mfumo uliozuia Rais kutoka Upinzani

    Ikumbukwe ni 20% tu ya wananchi ndio waliutaka mfumo wa vyama vingi huku 80% wakitaka CCM iongoze milele. Hakuna utafiti wowote umefanyika kuonyesha mafanikio ya mfumo huu ndio maana 2020 wananchi kwa kauli moja waliamua kuichagua CCM kwa 98% Kimaandishi Tanzania tumo kwenye mfumo wa vyama...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Taifa letu lingekuwa upinzani wa kweli CCM ingeg'olewa madarakani kiurahisi sana

    Vyama vya upinzani vilivyopo ni maswahiba wa CCM na hawana nia thabiti ya kuiondoa CCM madarakani. Wananchi wameichoka CCM na wanataka mabadiliko. CCM ilishawadharau wananchi na kuwaona wajinga. Lakini wananchi walishabumburuka. Hakuna seriousness wa kupata Katiba Mpya itayozaa Tume Huru ya...
  14. JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani mwacheni Rais Samia 2025 apite bila kupingwa ili awanyooshe mapito yenu 2030

    Kwa namna tume ya uchaguzi, Katiba na kanuni za uchaguzi zilivyo sasa hivi itakuwa kazi bure kama vyama vya upinzani vitashiriki chaguzi bila kufanyiwa mabadiliko muhimu ya kidemokrasia, ni kweli au uongo? Rais Samia ana exposure kubwa sana katika katika duru za kimataifa kuliko Rais yeyote...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Upinzani umezikwa rasmi Tanzania

    Ukishaona Serikali inakwambia eti kosoa kwa staha basi upinzani kwishney. Kukosoa siku siku zote hakuwezi kuwa kwa staha huo siyo ukosoaji. Ukosoaji lazimi uwe madhubuti na strong. Msitegemee tena madai ya katiba mpya maana huko ni kukosoa na kuleta vurugu ambapo Serikali imesema kosoa kwa staha!
  16. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Sweden akataa wito wa upinzani wa kutaka Sweden ijiunge NATO, asema hilo litaleta machafuko na kuharibu amani

    Waziri Mkuu wa Sweden Magdalena Andersson amekataa wito wa upinzani wa kuitaka Sweden kufikiria jambo la kujiunga NATO. Waziri Mkuu huyo amesema kufanya maombi ya kujiunga NATO kwa sasa kutaleta taharuki zaidi ktk eneo la Europe na kuhatarisha amani zaidi. Sweden kwa mara ya mwisho ilikuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kama bado tuna ushirikiano thabiti wa kidiplomasia na China na Urusi Basi kuwa mpinzani ni uhaini na upinzani hautakuwa huru kamwe

    Demokrasia ya kupokezana madaraka kwa wajamaa ni kitu kisichoeleweka kabisa. Ingawa kwa shinikizo za kimataifa angalau China mwaka 1980 waliweka ukomo wa urais kuwa vipindi viwili. Na Russia 1992 vilevile. Lakini anayeyapokea lazima atokee chama tawala na mtiifu kwa Rais aliyepita. Angalau...
  18. JamiiForums Tanzania Kuanzia leo natangaza rasmi Kuwachukia na Kuwalaani Wanasiasa Wote wa Upinzani nchini kwa sababu zangu zifuatazo

    1. Ni Majuha 2. Ni Wanafiki 3. Ni Waongo 4. Ni Waoga 5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi 6. Wana Uwendawazimu wasioujua 7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya...
  19. JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

    Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Freeman Mbowe Ikulu Mkoani Dar Es Salaam. Rais Samia amesisitiza kuwa kuna umuhimu wa kushirikiana ili kuijenga Tanzania kwa kuaminiana na kuheshimiana kwa misingi ya haki. Mhe...
  20. JamiiForums Tanzania Upinzani tusigeukane kwenye critical times baada ya Uchaguzi Mkuu

    Udhaifu wa vyama vya upinzani ni kugeukana kwenye critical times baada ya uchaguzi mkuu kupita. 1. Critical time ya kwanza ni 2015 baada ya kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu Zanzibar. Baada ya Tume ya uchaguzi Zanzibar kufuta matokeo ya uchaguzi chama Cha CUF kupitia Maalim Seif walipinga na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…