upinzani

  1. Mystery

    JamiiForums Tanzania Mpambano mkali wa Mkuu wa mhimili wa Serikali na Bunge, ni "neema" kwa Vyama vya Upinzani

    Nimemsikiliza kwa makini Rais Samia Suluhu Hassan, akimpa "za uso" Spika Ndugai, kuhusu kile alichotufunulia ni kuwa ni mbio za Urais wa 2025, angalau kimebatizwa jina na hao mahasimu wake kuwa ni deni la Taifa linalohatarisha usalama wa nchi yetu kupigwa mnada. Hoja pekee na ya nguvu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokuwa na upinzani bungeni linaonekana

    Kwasababu upinzani haupo bungeni spika amejibadilisha na kuwa mpinzani fake. Tatizo lake wale wabunge wake wa upinzani hata yeye hawamuungi mkono kwasababu hawana mapenzi naye zaidi ya pesa wanayopata. Spika huyu hana support ya wasomi baada ya kumfitini Prof Assad, upinzani baada ya kumnyima...
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe pandikizi la Ccm linalotumika kuua upinzani, mwaka 2014 alitumika kuhujumu CHADEMA iliyokuwa karibu kukamata dola.

    Wakati ule Dk Slaa alikuwa vizuri na sisi tulikubalika na ilikuwa lazima tukate Dola maana Ccm ilikuwa haikubaliki kabisa. Kwa namna ya njaa ya siasa yake Zitto alitumika na Ccm kuivuruga Chadema ili CCM izidi kukamata dola. My Take: Huyu mnafiki anapaswa kupigwa mawe hadharani. Kibaraka wa Ccm.
  4. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Udhaifu mkubwa wa upinzani nchini ndiyo kicheko kwa CCM

    Weakness kubwa ya upinzani wetu ni kutojipanga, kulialia bila vitendo, kupiga kelele tu. Haiwezekani suala zima la Katiba Mpya ambalo ni haki ya kikatiba ya kila mwananchi iwe kama hisani au Willing ya watawala. Hivi mkitoka watu million 6 barabarani ambao ni wanachama wa chama kimoja nchini...
  5. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CCM kumeguka iwapo Polepole atafukuzwa uanachama na huu ndio mwanya wa upinzani kupata nguvu 2025

    Kundi kubwa la wanaCCM wataondoka CCM kama polepole atafukuzwa uanachama. Hili ni kundi la wanachama ambao wanajinasibu kupinga ufisadi na kutetea maslahi ya taifa. Huuu ndio mwanya wa upinzani kupiga bao na kupata nguvu. CCM itapata tabu sana 2025.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kinafanya viongozi wengi wa vyama vya upinzani kuonekana wana akili ?

    ni ipi sababu ya hawa jamaa kuonekana hivyo wakati kielimu wengi wako chini kuliko wenzao wa chama cha mapinduzi
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Siku zote nilikuwa najua ACT Wazalendo ni chama cha Upinzani

    Salaam Wakuu Yaani mimi siku zote nilijua ACT Wazalendo ni chama cha Upinzani. Nimeshangaa sana.. Kumbe ndo maana Zitto wanadai ni Pandikizi. Vyama vya siasa vikuu vya Upinzani, NCCR-MAGEUZI, CHADEMA nk, Wamesusia mkutano wa Waziri Mkuu na vyama vya Siasa. Lakini Zitto anahimiza eti Shime...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Belarus: Kiongozi wa Upinzani ahukumiwa kifungo cha miaka 18 gerezani

    Sergei Tikhanovsky ambaye aliongoza maandamano makubwa dhidi ya Rais Alexander Lukashenko amehukumiwa kifungo cha miaka 18 jela kwa hatia ya kuandaa machafuko na kuchochea chuki Tikhanovsky alipanga kugombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 dhidi ya Rais Lukashenko lakini alikamatwa Lukashenko...
  9. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Taifa letu limekosa upinzani thabiti, nani atainyoosha CCM?

    Sisi Chadema ndio tumekosa hoja kabisa za kunyoosha na kuikosoa hii CCM ya wakandamizi. Act wazalendo ndio wamebakiza mipasho huko Twitter na kwa ujumla wameunga juhudi. Sisi Chadema hatuna mwelekeo wa kisiasa kabisa. Sioni ajenda au mkakati wa kupambana na Ccm zaidi ya kuwa washabiki wa...
  10. Suphian Juma

    JamiiForums Tanzania Upinzani, wanaharakati; hamjahodhi ujuaji na Uhuru wa Kujieleza

    UPINZANI, WANAHARAKATI; HAMJAHODHI UJUAJI NA UHURU WA KUJIELEZA Katika maisha ya binadamu, moja ya haki ya msingi kabisa ya kiasili "natural right" ni kumpa binadamu uhuru wa kusema mbele ya mwenzake. Uhuru huu huitwa Uhuru wa Kujieleza, na huwa sio msaada bali kila mtu anastahili kuupata kwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa mwanasiasa mmoja wa upinzani (Lissu kama sikosei), CCM walihofia katiba mpya kukataliwa na waazanzibari kwenye kura ya maoni

    Katika mojawapo ya majadilioni ya siku za nyuma kupitia MaraSpace, mwanaaiasa mmoja wa upinzani (Lissu kwa kumbukumbu zangu), alisema sababu kuu iliyopelekea kura ya maoni kutofanyika kupitisha katiba mpya ilikuwa ni hofu ya watawala kuwa katiba pendekezwa ingekataliwa na Wazanzibar hivyo...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wapinzani hasa CHADEMA kusifia wastaafu wa CCM inatukanisha upinzani

    Kumekuwa na kautamaduni ka viongozi na mashabiki wa upinzani kuwasifia viongozi wa CCM pindi wanpokuwa wamestaafu toka kwenye majukumu yao ya kiserikali/chama. Utamaduni huu unawachanganya wananchi hasa wale wenye uwezo mzuri wa kutunza kumbukumbu, kwani mara nyingi unakuta huyu mstaafu wanae...
  13. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Je, Mbowe kausaliti Upinzani Tanzania ?

    Jukwaa Huru ! Binafsi siamini kabisa kwamba Mbowe ana kesi yoyote ile, hii yote kwa maoni yangu ni geresha tu na siajabu hata Mbowe analala kwake na siyo Mahabusu. Kwa nini nasema hivi ? Iweje Mbowe awe na kesi na yuko Mahabusu kwa miezi sasa halafu kila mtu yuko kimya? I mean Askofu Shoo...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Upinzani si Uadui: Julius Malema, Raha siyo Raha?

    Kwenye turntable DJ ni Julius Malema akiwarusha wafuasi wake wa EFF: Kwetu Sirro akisikia Chadema wana shughuli, tegemea kuwaona Kingai na Msemwa wakiwa na DR mkononi kutokea kusikojulikana. Mvua ipi inyeshe kwetu kwenye mazingira haya? Jifunzeni ustaarabu. Upinzani si uadui. Siyo siri...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani tusaidieni Watanzania kujibu maswali haya tafadhali

    Kwa heshima na taadhima mimi binafsi naheshimu mawazo mbadala ya kuliendea jambo kulitatua ili kuliondosha, kuliboresha au kupata ahueni. Tangu wimbi la demokrasia ya vyama vingi litue Afrika ikiwemo Tanzania tumeshuhudia uanzishwaji wa vyama vingi ambavyo vinasema kuwa kuna njia rahisi sana ya...
  16. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe; Mgao wa Umeme na Maji: Pengo la Upinzani bungeni laonekana

    Nchi iko gizani, hakuna maji na mbaya zaidi hata mikoa ambayo inazalisha umeme jenereta na wenyewe kuna mgao! Mafuta tuliambiwa last week kuwa reserve iliyopo ni ya kutufikisha siku 14 tu. Raha sana. Leo huenda zimebaki siku nane tuingie kwenye mgao wa mafuta. Nionavyo, Wabunge wa Upinzani...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zipo kwa ajili ya upinzani wa vyama kuliko mambo mengine

    Hili suala kiukweli nchi za Afrika zimejikita kutokomeza upinzani wa vyama kuliko vitu vingine. Poleni Uganda kwa matukio ya kigaidi. Nchi ya Uganda ni bora kupoteza pesa kwa ajili ya upinzani hata kutumia jeshi lakini kuliko kutafuta usalama wa yale yaliyotokea Jambo moja la Afrika ni kama...
  18. MSHINO

    JamiiForums Tanzania Kama siyo Magufuli kuwaokoa 2015 na agenda ya mabadiliko CCM, leo ingekuwa chama cha upinzani

    Katika binadamu aliowaumba hapa duniani watanzania aliwapa sifa na vipawa tofauti kama ifuatavyo Wakati MUNGU amewaumba wanadamu kusahau lakini wamepewa uwezo wa kukumbuka lakini Watanzania MUNGU ametuumba kusahau milele bila kukumbuka. Mungu aliwaumba Watanzania kuwa wapole na wavumilivu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji mkubwa sana unaoenezwa Mbowe amebambikiziwa kesi kwasababu ya mambo ya kisiasa

    Nauona upotoshaji mkubwa sana unaoenezwa mitandaoni na mitaani kuwa ndugu Mbowe amebambikiziwa kesi kwa sababu ya mambo ya kisiasa. Mi nadhani kama kweli ingekuwa hivyo basi alikuwa tishio awamu za nyuma kwani nakumbuka huko nyuma Chadema pekee kiliwai kuwa na wabunge 70 na ushee ambapo kisiasa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tuachane na soka la upinzani tubakie na free style

    Tanzania kama nchi hatupigi hatua yoyote kwenye soka la upinzani. Si kwa Afrika Mashariki(CECAFA), sio Afrika(CAF), wala dunia(FIFA) Tunazidi kujidanganya kua pengine kesho mambo yatakua mazuri, sijui tupeane muda hususan kuwapa muda makocha na blahblah kibao Mwaka hadi mwaka viwango(quality)...
Back
Top Bottom