Tetesi: Luhanga Mpina kuhamia upinzani 2025. Lipo lengo maalumu linapangwa

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,230
6,469
Habari zenu wadau wa JF siasa.

Hali ni tete nchini, ndivyo unavyoweza kusema. Amini usiamini, Mbunge wa Kisesa Mh Luhanga Mpina atagombea Urais kupitia chama Kikongwe Cha upinzani 2025

Mpango na mikakati inasukwa kwa ustadi wa Hali ya juu na huenda mwezi June 2025 uanachama wake ndani ya CCM ukakoma. Yeye na watu wake wakubwa wapatao 40 wamejipanga kukiteka chama hicho Cha upinzani. Itakumbukwa kuwa Mheshimiwa Luhanga Mpina amekuwa mkosoaji mkubwa wa serikali akimkosoa Bosi wake wa zamani January Makamba.

Hii sio desturi ya CCM, ni sehemu ya mikakati inayosukwa kumjenga kishawishi na kisisa. Hatma ya CCM ya kipindi hicho itaamuliwa na maombi na kudra za Mwenyezi Mungu.

Kabla ya hiyo June 2025, kundi hili litaibua Mambo mengi serikalini na chamani na itabidi wazee wa chama wasimame haswa kuhakikisha hakutokei vurumai za kisisa nchini.

Huu uzi utafufuliwa mwezi June 2025.
 
Mpango na mikakati inasukwa kwa ustadi wa Hali ya juu na huenda mwezi June 2025
Hana mvuto wowote ule asubutu atatukuta wavuvi wamaziwa yote navichinjio vyetu tutamtoa machozi nayeye
 
Huyu aliwafilisi wafugaji na wavuvi kwa kukamata na kuwapiga faini zilizozidi uwezo wao kwa lengo la kumfurahisha JPm katika kukusanya mapato.

Ajabu hakumrudisha kwenye uwaziri. Na sasa anatumia jina la Mwendazake na kabila lake ili apate umaarufu kisiasa.
 
Hana mvuto wowote ule asubutu atatukuta wavuvi wamaziwa yote navichinjio vyetu tutamtoa machozi nayeye
Unaambiwa ni tegemeo lao na anaandaliwa kwa nguvu zote. Hata uongozi wa chama tarajiwa Bado hawajui kinachoendelea na watajuzwa tu baadae wampokee kijana.
 
Sehemu zote zenye wavuvi, hasa Kanda ya ziwa, asikanyage kabisa, yaani asijaribu, wavuvi wanamchukia sana.

Hata huko Chadema, tunajua ni dampo, lakini sidhani kama watambeba
Ngoja tuone ikiwa watazidi kumjenga au watakata tamaa. Wao wanamuamini mno.
 
Habari zenu wadau wa JF siasa.

Hali ni tete nchini, ndivyo unavyoweza kusema. Amini usiamini, Mbunge wa Kisesa Mh Luhanga Mpina atagombea Urais kupitia chama Kikongwe Cha upinzani 2025

Mpango na mikakati inasukwa kwa ustadi wa Hali ya juu na huenda mwezi June 2025 uanachama wake ndani ya CCM ukakoma. Yeye na watu wake wakubwa wapatao 40 wamejipanga kukiteka chama hicho Cha upinzani. Itakumbukwa kuwa Mheshimiwa Luhanga Mpina amekuwa mkosoaji mkubwa wa serikali akimkosoa Bosi wake wa zamani January Makamba.

Hii sio desturi ya CCM, ni sehemu ya mikakati inayosukwa kumjenga kishawishi na kisisa. Hatma ya CCM ya kipindi hicho itaamuliwa na maombi na kudra za Mwenyezi Mungu.

Kabla ya hiyo June 2025, kundi hili litaibua Mambo mengi serikalini na chamani na itabidi wazee wa chama wasimame haswa kuhakikisha hakutokei vurumai za kisisa nchini.

Huu uzi utafufuliwa mwezi June 2025.
kama katika katiba hakuna kifungu kitakacho mshitaki mtawala yeyote atawalae nchi hii. hii ndoto YA MSHIKAJI KUHAMIA UPINZANI itakuwa ni sawa na usemi wa kariakoo usemao: NI KANZU MPYA TUU LAKINI SHEHE NI YULEYULE.
 
Habari zenu wadau wa JF siasa.

Hali ni tete nchini, ndivyo unavyoweza kusema. Amini usiamini, Mbunge wa Kisesa Mh Luhanga Mpina atagombea Urais kupitia chama Kikongwe Cha upinzani 2025

Mpango na mikakati inasukwa kwa ustadi wa Hali ya juu na huenda mwezi June 2025 uanachama wake ndani ya CCM ukakoma. Yeye na watu wake wakubwa wapatao 40 wamejipanga kukiteka chama hicho Cha upinzani. Itakumbukwa kuwa Mheshimiwa Luhanga Mpina amekuwa mkosoaji mkubwa wa serikali akimkosoa Bosi wake wa zamani January Makamba.

Hii sio desturi ya CCM, ni sehemu ya mikakati inayosukwa kumjenga kishawishi na kisisa. Hatma ya CCM ya kipindi hicho itaamuliwa na maombi na kudra za Mwenyezi Mungu.

Kabla ya hiyo June 2025, kundi hili litaibua Mambo mengi serikalini na chamani na itabidi wazee wa chama wasimame haswa kuhakikisha hakutokei vurumai za kisisa nchini.

Huu uzi utafufuliwa mwezi June 2025.
Yaani wiki moja tu mnamkuza hivi? Hyu ana hasira kunyimwa uwaziri ila Hana uzalendo wowote. Akishapewa mkate kama pole pole ataanza kumsifia sifia tu.
 
Habari zenu wadau wa JF siasa.

Hali ni tete nchini, ndivyo unavyoweza kusema. Amini usiamini, Mbunge wa Kisesa Mh Luhanga Mpina atagombea Urais kupitia chama Kikongwe Cha upinzani 2025

Mpango na mikakati inasukwa kwa ustadi wa Hali ya juu na huenda mwezi June 2025 uanachama wake ndani ya CCM ukakoma. Yeye na watu wake wakubwa wapatao 40 wamejipanga kukiteka chama hicho Cha upinzani. Itakumbukwa kuwa Mheshimiwa Luhanga Mpina amekuwa mkosoaji mkubwa wa serikali akimkosoa Bosi wake wa zamani January Makamba.

Hii sio desturi ya CCM, ni sehemu ya mikakati inayosukwa kumjenga kishawishi na kisisa. Hatma ya CCM ya kipindi hicho itaamuliwa na maombi na kudra za Mwenyezi Mungu.

Kabla ya hiyo June 2025, kundi hili litaibua Mambo mengi serikalini na chamani na itabidi wazee wa chama wasimame haswa kuhakikisha hakutokei vurumai za kisisa nchini.

Huu uzi utafufuliwa mwezi June 2025.
Kwa influence ipi??
 
Huyu mbona mwepesi tu, labda akaamie ACT, unasimamishaje mtu ambae hauziki
 
Ni haki yake kidemokrasia kugombea
 
Hana mvuto wowote ule asubutu atatukuta wavuvi wamaziwa yote navichinjio vyetu tutamtoa machozi nayeye
Mvuto wa Kikwete uliwasaidia nini watanzania zaidiya kuvutia ufisadi?

Kanda ya ziwa ina wavuvi wangapi?

CCM huwa inabebwa na kanda gani?

Je watanzania wana shida gani na mvuto wa Rais badala ya utendaji, Sera na Uzalendo?

Mnaotaka mvuto endeleeni kuvutika ila muelewe nchi hii sio ya mama yenu, bali ya watanzania.

Wale watanzania waliokuwa wakilia mabarabarani unadhani walilia bure?
 
..wale walikuwa wamepandwa mzuka tu.

..hawana nidhamu ya kujiandikisha na kupiga kura.
 
Habari zenu wadau wa JF siasa.

Hali ni tete nchini, ndivyo unavyoweza kusema. Amini usiamini, Mbunge wa Kisesa Mh Luhanga Mpina atagombea Urais kupitia chama Kikongwe Cha upinzani 2025

Mpango na mikakati inasukwa kwa ustadi wa Hali ya juu na huenda mwezi June 2025 uanachama wake ndani ya CCM ukakoma. Yeye na watu wake wakubwa wapatao 40 wamejipanga kukiteka chama hicho Cha upinzani. Itakumbukwa kuwa Mheshimiwa Luhanga Mpina amekuwa mkosoaji mkubwa wa serikali akimkosoa Bosi wake wa zamani January Makamba.

Hii sio desturi ya CCM, ni sehemu ya mikakati inayosukwa kumjenga kishawishi na kisisa. Hatma ya CCM ya kipindi hicho itaamuliwa na maombi na kudra za Mwenyezi Mungu.

Kabla ya hiyo June 2025, kundi hili litaibua Mambo mengi serikalini na chamani na itabidi wazee wa chama wasimame haswa kuhakikisha hakutokei vurumai za kisisa nchini.

Huu uzi utafufuliwa mwezi June 2025.
Huo mpango aache mara moja hautamsaidia.Kwanza hajui hata kiswahili halafu Sukuma gang,hawezi toboa labda akatoboe mitumbwi kama alivyowahi kufanya huko nyuma enzi za Mwenda zake
 
Habari zenu wadau wa JF siasa.

Hali ni tete nchini, ndivyo unavyoweza kusema. Amini usiamini, Mbunge wa Kisesa Mh Luhanga Mpina atagombea Urais kupitia chama Kikongwe Cha upinzani 2025

Mpango na mikakati inasukwa kwa ustadi wa Hali ya juu na huenda mwezi June 2025 uanachama wake ndani ya CCM ukakoma. Yeye na watu wake wakubwa wapatao 40 wamejipanga kukiteka chama hicho Cha upinzani. Itakumbukwa kuwa Mheshimiwa Luhanga Mpina amekuwa mkosoaji mkubwa wa serikali akimkosoa Bosi wake wa zamani January Makamba.

Hii sio desturi ya CCM, ni sehemu ya mikakati inayosukwa kumjenga kishawishi na kisisa. Hatma ya CCM ya kipindi hicho itaamuliwa na maombi na kudra za Mwenyezi Mungu.

Kabla ya hiyo June 2025, kundi hili litaibua Mambo mengi serikalini na chamani na itabidi wazee wa chama wasimame haswa kuhakikisha hakutokei vurumai za kisisa nchini.

Huu uzi utafufuliwa mwezi June 2025.
Tumekuelewa

Chadema sijui kama wamejifunza
Ukiona wanamsifia Ellia basi ujue Huyu ndiye wataona anafaa
 
Habari zenu wadau wa JF siasa.

Hali ni tete nchini, ndivyo unavyoweza kusema. Amini usiamini, Mbunge wa Kisesa Mh Luhanga Mpina atagombea Urais kupitia chama Kikongwe Cha upinzani 2025

Mpango na mikakati inasukwa kwa ustadi wa Hali ya juu na huenda mwezi June 2025 uanachama wake ndani ya CCM ukakoma. Yeye na watu wake wakubwa wapatao 40 wamejipanga kukiteka chama hicho Cha upinzani. Itakumbukwa kuwa Mheshimiwa Luhanga Mpina amekuwa mkosoaji mkubwa wa serikali akimkosoa Bosi wake wa zamani January Makamba.

Hii sio desturi ya CCM, ni sehemu ya mikakati inayosukwa kumjenga kishawishi na kisisa. Hatma ya CCM ya kipindi hicho itaamuliwa na maombi na kudra za Mwenyezi Mungu.

Kabla ya hiyo June 2025, kundi hili litaibua Mambo mengi serikalini na chamani na itabidi wazee wa chama wasimame haswa kuhakikisha hakutokei vurumai za kisisa nchini.

Huu uzi utafufuliwa mwezi June 2025.
Labda aende Chama shikizi huko! Ila upinzani hawezi kupokelewa
 
Back
Top Bottom