Taifa letu lingekuwa upinzani wa kweli CCM ingeg'olewa madarakani kiurahisi sana

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,168
Vyama vya upinzani vilivyopo ni maswahiba wa CCM na hawana nia thabiti ya kuiondoa CCM madarakani.

Wananchi wameichoka CCM na wanataka mabadiliko.

CCM ilishawadharau wananchi na kuwaona wajinga. Lakini wananchi walishabumburuka.

Hakuna seriousness wa kupata Katiba Mpya itayozaa Tume Huru ya Uchaguzi. Kuna ngonjera na maigizo tu.
 
Upinzani wanasuppport serikali ya sasa.

Ndio wananchi tujue kuwa kinachowasukuma wapinzani kufanya siasa ni mambo binafsi na wala sio kwa manufaa ya wananchi.

Hizo kelele za katiba mpya ni kujitengenezea tu mazingira ya kushika dola ili nao wajibinafsishie mali za uma.

Wananchi tusipokuwa makini hawa wanasiasa watatupindua pindua kama chapati.
 
Wapinzani ni binadamu kama mimi na wewe, wanapopaza sauti wakasweka ndani na kufunguliwa kesi za kubumba, wewe cha ziada ni comments tu kwenye vijarida vyetu ,na huko nyumbani salama.

Labda useme tu, tusitegemee vyama vya upinzani tu kuleta mabadiriko au mageuzi mapana kwa nchi yetu. Kazi ya kujenga nchi ni ya sisi sote.
 
Vyama vya upinzani vilivyopo ni maswahiba wa CCM na hawana nia thabiti ya kuiondoa CCM madarakani.

Wananchi wameichoka CcM na wanataka mabadiliko.

CCM ilishawadharau wananchi na kuwaona wajinga . Lakini wananchi walishabumburuka.

Hakuna useriousness wa kupata katiba mpya itayozaa tume huru ya uchaguzi. Kuna ngonjera na maigizo tu.
Vaa jezi ww mwenye nia thabiti ili tukupe uongozi utuongoze
 
Vyama vya upinzani vilivyopo ni maswahiba wa CCM na hawana nia thabiti ya kuiondoa CCM madarakani.

Wananchi wameichoka CcM na wanataka mabadiliko.

CCM ilishawadharau wananchi na kuwaona wajinga . Lakini wananchi walishabumburuka.

Hakuna useriousness wa kupata katiba mpya itayozaa tume huru ya uchaguzi. Kuna ngonjera na maigizo tu.
Kulalamika tu kwamba nchi haina vyama vya upinzani nao ni ujinga tu.Kama unaona viongozi hawakufurahishi,nawe ni muda wako kuplay part kutafuta wanachama mbadala ili ukifika wakati wa kampeni hadi uchaguzi tuone mabadiliko.
 
Vyama vya upinzani vilivyopo ni maswahiba wa CCM na hawana nia thabiti ya kuiondoa CCM madarakani.

Wananchi wameichoka CcM na wanataka mabadiliko.

CCM ilishawadharau wananchi na kuwaona wajinga . Lakini wananchi walishabumburuka.

Hakuna useriousness wa kupata katiba mpya itayozaa tume huru ya uchaguzi. Kuna ngonjera na maigizo tu.
Unda cha kwako.
 
Upinzani wanasuppport serikali ya sasa.

Ndio wananchi tujue kuwa kinachowasukuma wapinzani kufanya siasa ni mambo binafsi na wala sio kwa manufaa ya wananchi.

Hizo kelele za katiba mpya ni kujitengenezea tu mazingira ya kushika dola ili nao wajibinafsishie mali za uma.

Wananchi tusipokuwa makini hawa wanasiasa watatupindua pindua kama chapati.
Sajili cha kwako tukione.
 
Vyama vya upinzani vilivyopo ni maswahiba wa CCM na hawana nia thabiti ya kuiondoa CCM madarakani.

Wananchi wameichoka CcM na wanataka mabadiliko.

CCM ilishawadharau wananchi na kuwaona wajinga . Lakini wananchi walishabumburuka.

Hakuna useriousness wa kupata katiba mpya itayozaa tume huru ya uchaguzi. Kuna ngonjera na maigizo tu.

Wasaidie kuanzisha useriousness.
 
Upinzani wanasuppport serikali ya sasa.

Ndio wananchi tujue kuwa kinachowasukuma wapinzani kufanya siasa ni mambo binafsi na wala sio kwa manufaa ya wananchi.

Hizo kelele za katiba mpya ni kujitengenezea tu mazingira ya kushika dola ili nao wajibinafsishie mali za uma.

Wananchi tusipokuwa makini hawa wanasiasa watatupindua pindua kama chapati.
Kweli wapo wachache wasiojielewa wanashangilia wasichokijua kama ndege.

Lakini suala la Katiba Mpya haliwahusu wachache, linawahusu wote, mimi, wewe, na hata hao wasiojielewa.

Mimi naitaka Kativa Mpya ije kuleta usawa miongoni mwetu na kuondoa uminywaji haki.

Wewe unaitaka Katiba Mpya ije kuwaondolea usumbufu wa kuitwa majina ya ajabu [Sukuma Gang] kwasababu Katiba Mpya itatufanya wote tuifurahie nchi yetu na sio kikundi kidogo cha watu.

- Wapinzani wachache wasiojielewa nao wanaihitaji Katiba Mpya ije kuwatoa kwenye utumwa wa fikra, wajijue wao ni wakina nani na wana haki zipi kama watanzania, badala ya kushangilia kila kitu hata yale yasiyowahusu kama midoli.
 
Upinzani wanasuppport serikali ya sasa.

Ndio wananchi tujue kuwa kinachowasukuma wapinzani kufanya siasa ni mambo binafsi na wala sio kwa manufaa ya wananchi.

Hizo kelele za katiba mpya ni kujitengenezea tu mazingira ya kushika dola ili nao wajibinafsishie mali za uma.

Wananchi tusipokuwa makini hawa wanasiasa watatupindua pindua kama chapati.

Kwa maana nyingine unasema tuiache CCM iendelee kutawala.
 
Jifunze kufikiria nje ya box na uache papara kama mwendawazimu.
Hakuna cha nje ya box wala nini. Watu kama wewe mnatabia mbovu. Kazi kurusha tu lawama kama vile umezuiwa kuanzisha chama chako. Kwani kuna aliyezaliwa kwa ajili ya kukuanzishia chama ili wewe uje ubwabwaje na vicomment vyako uchwara?
 
Kwako upinzani wa kweli ni upi?
Nahisi anazungumzia upinzani huu

images (1).jpeg

download.jpeg

images (42).jpeg

CLJbjIxXAAAHOcG.jpg
 
Back
Top Bottom