upinzani

  1. I

    JamiiForums Tanzania Upinzani umezikwa rasmi Tanzania

    Ukishaona Serikali inakwambia eti kosoa kwa staha basi upinzani kwishney. Kukosoa siku siku zote hakuwezi kuwa kwa staha huo siyo ukosoaji. Ukosoaji lazimi uwe madhubuti na strong. Msitegemee tena madai ya katiba mpya maana huko ni kukosoa na kuleta vurugu ambapo Serikali imesema kosoa kwa staha!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Sweden akataa wito wa upinzani wa kutaka Sweden ijiunge NATO, asema hilo litaleta machafuko na kuharibu amani

    Waziri Mkuu wa Sweden Magdalena Andersson amekataa wito wa upinzani wa kuitaka Sweden kufikiria jambo la kujiunga NATO. Waziri Mkuu huyo amesema kufanya maombi ya kujiunga NATO kwa sasa kutaleta taharuki zaidi ktk eneo la Europe na kuhatarisha amani zaidi. Sweden kwa mara ya mwisho ilikuwa...
  3. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kama bado tuna ushirikiano thabiti wa kidiplomasia na China na Urusi Basi kuwa mpinzani ni uhaini na upinzani hautakuwa huru kamwe

    Demokrasia ya kupokezana madaraka kwa wajamaa ni kitu kisichoeleweka kabisa. Ingawa kwa shinikizo za kimataifa angalau China mwaka 1980 waliweka ukomo wa urais kuwa vipindi viwili. Na Russia 1992 vilevile. Lakini anayeyapokea lazima atokee chama tawala na mtiifu kwa Rais aliyepita. Angalau...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo natangaza rasmi Kuwachukia na Kuwalaani Wanasiasa Wote wa Upinzani nchini kwa sababu zangu zifuatazo

    1. Ni Majuha 2. Ni Wanafiki 3. Ni Waongo 4. Ni Waoga 5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi 6. Wana Uwendawazimu wasioujua 7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

    Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Freeman Mbowe Ikulu Mkoani Dar Es Salaam. Rais Samia amesisitiza kuwa kuna umuhimu wa kushirikiana ili kuijenga Tanzania kwa kuaminiana na kuheshimiana kwa misingi ya haki. Mhe...
  6. econonist

    JamiiForums Tanzania Upinzani tusigeukane kwenye critical times baada ya Uchaguzi Mkuu

    Udhaifu wa vyama vya upinzani ni kugeukana kwenye critical times baada ya uchaguzi mkuu kupita. 1. Critical time ya kwanza ni 2015 baada ya kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu Zanzibar. Baada ya Tume ya uchaguzi Zanzibar kufuta matokeo ya uchaguzi chama Cha CUF kupitia Maalim Seif walipinga na...
  7. econonist

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa upinzani baada ya Uchaguzi Mkuu

    Upinzani wa Tanzania huwa una udhaifu mmoja mkubwa hasa baada ya uchaguzi mkuu. Kugeukana na kumpa credit CCM kipindi ambacho mshikamano unahitaji. Tuchukue mifano mitatu mikubwa. 1. Mwaka 2015, baada ya uchaguzi mkuu Zanzibar matokeo ya urais na baraza la mawakilishi yalifutwa na tarehe ya...
  8. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania CCM ina vyuo vya uongozi lakini viongozi wanatoka upinzani

    Wadau wote ni mashahidi CCM ina vyuo vya uongozi toka enzi ya hayati baba wa taifa. Vyuo hivyo ilikuwa ni kuandaa viongozi wa kushika nyadhifa mbalimbali kama vile u-DC n.K Siku hizi utaratibu huo haupo licha ya vyuo kuendelea kutoa wahitimu lakini hawapewi nyadhifa badala yake wanapewa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Alichofanya Hayati Magufuli kwenye chaguzi za 2019 na 2020 ni udhihirisho kuwa kwenye Uchaguzi huru Upinzani wanaweza kushinda

    Nazungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020 mbinu alizotumia Mwenyekiti pekee mwanasayansi kukipa chama chake ushindi kama asingezitumia CCM wangepoteana. Hivyo CCM isibweteke na kujiamini kwamba inapendwa na wananchi kwa 84% ni kweli katika uchaguzi wa kisayansi...
  10. kunta93

    JamiiForums Tanzania Leo nimeyakumbuka maneno ya kiongozi wa Upinzani Uganda, Bobi Wine

    Mwaka 2016 Y.K Museveni alitanganzwa mshindi kwenye uchaguzi wa Raisi huku mpinzani wake Col Dkt kizza Besigye akiwa gerezani katika kipindi chote cha kuhesabu kura na utangazaji matokeo Baada Raisi Museveni kuapishwa kua raisi wa nchi hiyo na kuanza majukumu yake ndipo Col Dkt kizza besigye...
  11. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Kuanzia sasa matibabu ya Joseph Haule(Prof. Jay) yatagharamiwa na Serikali

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule Profesa J anayetibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hadi hapo atakaporuhusiwa kurudi nyumbani. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipofika Muhimbili leo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akiri miaka 45 ya CCM ndani ya 30 ya Upinzani haijawa rahisi

    === Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) Tanzania na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan katika hotuba yake Mkoani Mara yalikofanyika maazimisho ya miaka 45 ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) kitaifa, Pamoja na mambo mengine Rais Samia Suluhu Hassan amekiri CCM...
  13. Mwananchi wa chini

    JamiiForums Tanzania Huyu Askofu Mwamakula ni mfuasi wa vyama vya upinzani tu.? Kanisa lake liko wapi hapa Dar.?

    Hivi huu Mwamba Mwamakula kanisa lake kwa hapa Dar lipogo wapi na ibada ni saa ngapi?Maana anaonekana zaidi kwenye matukio na mihadhara ya siasa ya vyama upinzani kuliko Kanisani. Yaani kuna watu Mwamakula wakimuona tu,kinachowajia kichwani ni Siasa za upinzani,wala si neno la Mungu. Kwa mfano...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Intelejensia ya polisi kwenye uunguaji wa masoko ni zero ila kwa vyama vya Upinzani ni 100%

    Police wana uwezo wa kudetect uvunjifu wa amani iwapo vyama vya Upinzani wanataka kuitisha mikutano lakini mikusanyiko ya CCM na kwenye masoko hawawezi. Miaka ya hivi karibuni masoko yamekuwa yakiungua mara kwa mara mfano Mwanjelwa Mbeya, Kariakoo, Karume n.k, lakini hutakuta wakitoa...
  15. kamjabari

    JamiiForums Tanzania Upinzani kwa Tanzania ni kazi ngumu na ya hatari

    Ukisha kuwa na fikra mbadala nchini mwetu basi utachukiwa sana na wakalia kiti cha enzi na vibaraka wao. Utafanyiwa fitina, manyanyaso, dhihaka na ubaya wa kila aina ndiyo maana kila mtawala wa CCM akingia madalakani chakwanza huanza ku-dill na Wapinzani. Ona sasa Hoja ya KATIBA MPYA iliyo...
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Upinzani tuitishe maandamano nchi nzima kupinga Ufisadi aliohamasisha Rais Samia. Wanaokwenda kuibiwa ni watanzania wote

    Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani. Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Ethiopia yatoa msamaha kwa wafungwa wa upinzani

    Serikali ya Ethiopia imesema itawaachia Viongozi kadhaa wa Upinzani, ikiwa ni jitihada za kuleta maridhiano ya kitaifa na kuhamasisha amani. Imeelezwa, Viongozi wa Tigrayan People's Liberation Front (TPLF) watakuwa miongoni mwa waliopata Msamaha huo. Vikosi vya Serikali vimekuwa vikipigana na...
  18. chazachaza

    JamiiForums Tanzania 2025 ni mwaka wa historia, upinzani wanakwenda kuchukua madaraka ya utawala. Kwa Mara ya kwanza tangu kuasisiwa kwa taifa hili

    Kwanza nianze na chama tawala CCM, kwa hali ilivyo hadi sasa si shwari ndani ya chama cha CCM, kuna mpasuko mkubwa ,mpasuko huu umesababishwa na kutofautiana kiitikadi na misimamo. Kundi la kwanza ni lile lililokuwa kinyume na JPM, hili kundi lilikuwa halikubaliani na sera ya kujitegemea ya JPM...
  19. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Kutoka 'kuua' upinzani Bungeni hadi kuwa 'mpinzani' Bungeni

    Maisha hayatabiriki. Maisha yana mambo mengi ya ajabu na yenye kutoa majibu. Maisha yanakwenda kasi sana. Job Yustino Ndugai, Mbunge wa Kongwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yamemfika. Yamemkuta na amefikishwa kwenye ukuta. 'Ameropoka'; akajitetea, akaomba radhi lakini...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Ndugai kujiunga na Chama kikuu cha Upinzani Itapendeza

    Wadau vipi ? Ndugai akitangaza kujiunga na Chama kikuu cha upinzani mtampa tiketi ya kugombea Uraisi hapo kama ikifika 2025,katika uchaguzi Mkuu? Bora ajiunge na Chadema, kwani kwa 2025 watakuwa hawana mgombea mazubuti atakae weza kupambana na Samia kama CCM watampitisha Samia kugombea...
Back
Top Bottom