upinzani

  1. OffOnline

    JamiiForums Tanzania Je, tumfikirie Shaka kwenye nafasi ya juu? Huenda ndio kijana mwenye ushawishi zaidi Tanzania

    Wasalaam, Hebu pitia video hizo zote then njoo u-comment,Huyu kijana naona anastahili nafasi ya juu hapo baadae, Je, Wewe unaonaje? === Tazama, huu ni usiku ila vijana wanagoma kumruhusu kijana huyu aondoke
  2. M

    JamiiForums Tanzania Shaka: Rais Samia ametoa fursa za mikopo kwa Vijana, wanawake na walemavu wote hata kwa wale wa kambi za Upinzani

    Katibu wa Nec Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka akiwa katika mwendelezo wa ziara zake kanda ya Magharibi amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari akisema " Chama cha Mapinduzi hakitatazama Itikadi katika kuwanufaisha vijana, wanawake na wenye ulemavu kutoka katika fursa mbalimbali...
  3. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania Kama hauhitajiki na CCM ufutwe tu

    Wadau habari ya jioni. Mimi napata taabu sana jinsi wanavyosumbuliwa na serikali. Hakuna tume huru polisi wanasaidia kuhakikisha ccm inashinda. Haya Mambo Ni kupotezea muda na kuzeeshana bila sababu. Yaani Kwa sisi thinkers huu ni uhuni na uhalifu mkubwa. Haya Mambo siyo ya kufurahia kabisa...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Upinzani kuwasilisha ombi la kutokuwa na imani na Rais Ramaphosa

    Vyama vya Upinzani nchini humo vimesema kuwa vitawasilisha ombi la kutokuwa na imani na Rais Cyril Ramaphosa kutokana na tuhuma za Utekaji Nyara na Utakatishaji Fedha. Madai hayo yametolewa na Mkuu wa zamani wa Ujasusi Arthur Fraser, ambaye amedai kuwa Rais alificha takriban Tsh. Bilioni 9.3...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani hapa kwetu jifunzeni kitu: Ukishindwa usitafute sababu ya kususa ambayo haipo

    Wale makamishina wanne wa tume ya uchaguzi ya kenya wametoa sababu kwa nini hawakubaliani na matokeo yaliyotangazwa na mwenyekiti wa tume yao. Raila ametumia hoja ya makamishina hao kama msingi wa kutokuyatambua matokeo yaliyotangazwa. Tuangalie kwa karibu sababu za kususia matokeo hayo: 1...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Utendaji kazi uliotukuka wa Rais Samia umedhoofisha upinzani Tanzania

    Ndugu zangu Kuna kipindi fulani ilikuwa ukisikia kuwa kesho katibu mkuu wa Chadema Mh. Dr Slaa atakuwa na mazungumzo muda fulani, ni kama nchi ilikuwa inasimama. Vyombo vyote vya habari vilikuwa vinafika hata kabla ya muda husika, kila mtanzania alikuwa anatega sikio kusikia nini kitakacho...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ubunge EALA ni Vita kali CCM. Mpaka sasa ni makada 64 tayari wamevuta fomu

    Makada 64 CCM wapigana vikumbo ubunge Afrika Mashariki Wiki moja baada ya kufunguliwa kwa pazia la ubunge wa Afrika Mashariki (EALA), wanachama 64 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamejitokea hadi leo Alhamisi, Agosti 4, 2022 kuomba ridhaa ya kuwania nafasi hiyo. Idadi hiyo inaashiria mchuano...
  8. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka atamba CCM kuusambaratisha rasmi Upinzani mkoani Mbeya, asisitiza Kinana ni gwiji la Siasa za nje na ndani ya Tanzania

    SHAKA AMMWAGIA SIFA KINANA, ATAMBA KAZI ZA MAENDELEO KUUFUTA UPINZANI MBEYA Demokrasia ya vyama vingi nchini imekuwa na lengo la kuharakisha maendeleo kwa wananchi. Ikiwa chama kinachoongoza serikali kinaifanya kazi hiyo kwa weledi wananchi hawana haja ya kujaribu vyama vingine vya kisiasa...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Natafuta Watu 'Serious' niwape 'Strategies' na waunde Chama 'Strong' cha Upinzani Tanzania kwani vilivyopo sasa viko ICU vinasubiri Kufa na Kuzikwa tu

    Kwa Wanasiasa mlio na utayari jikusanyeni na mkikamilika mnitaarifu haraka ili tuanze Kazi na nitakuwa nawaelekezeni kutokea hapa hapa JamiiForums tu na sitohitaji Kuonana nanyi. Nakipenda sana Chama Cha CCM na Rais Samia ila GENTAMYCINE napenda kuona CCM na Rais Samia 'wakihenyeshwa' 24/7 na...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kama UVCCM tu wanaweza kukusanya maelfu haya kwenye ngome za Upinzani hali ni mbaya zaidi 2025

    Hebu angalia kwa makini video hizi kisha ufikirie Uchaguzi ujao wa 2025 katika angle ya Upinzani kupata hata jimbo moja tu, Huyu ndio Crde Kenani Kihongosi Mkt wa UVCCM taifa huko Mkoani Geita,
  11. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nauliza swali NEC na Polisi kuhusu utekwaji wa wagombea wa upinzani katika chaguzi

    Naomba kuuliza hili swali ambalo huwa silielewi linashuhulikiwa vipi na sheria zetu. UTEKWAJI wa WAGOMBEA wa UPINZANI wanaoonekana Wana nguvu kuliko WAGOMBEA wa chama tawala kwanini wanatekwa na kunyanganywa fomu au hata kupigwa hii inakuwaje? Na hizi kesi zinaishaje? Kwanini wanaotekwa au...
  12. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna upinzani, vyama vyote ni CCM

    Ukweli sio kama ni mbaya au mchungu kama wasemavyo wahenga, ila uchungu na ubaya wake huja kulingana na maandalizi ya kuupokea. Ukitayarisha akili yako kupokea ukweli wakati wowote wala haitokuwia ugumu kuukubali na kuendelea na maisha yako. Tatizo ni pale tu ukweli unapokuja kisha hukuandaa...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mwinyi alileta upinzani uliofutwa, Samia anaenda kuileta katiba mpya, Kwa hili inabidi niweke hisia zangu pembeni kwa wazanzibari

    Yes, mimi kiukweli ni mmoja wa watu ambae huu muungano sijawahi kuupenda hata kidogo hasa pale ninapoona uongozi wa bara tunachangiana na wazanzibar lakini huko kwao ni wao wenyewe wanajiongoza, huwa inaniuma mno. Ila kuna kitu nimetafakari hapa juu ya mchango wa hawa wenzetu wanaposhika...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ngorongoro?

    Kabla hatujaanza kuchagua upande wa kusemea kuna maswali ya kujiuliza kuhusiana na suala zima la Ngorongoro, Kuna maeneo mengi sana nchini Tanzania watu wanahamishwa kupisha shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Baadhi ya sehemu hizo wapo wnaaolipwa fidia na wapo ambao hawaambulii chochote. Katika...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa Act wazalendo wana nia thabiti ya kuimarisha upinzani? Au ndio wanatumika kudidimiza ? Kila siku purukushani zisizoeleweka.

    Mara hawagati kwanza katiba mpya. Mara wanataka tume kwanza mara wanataka vyote
  16. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Huenda huyu akawa ni mtu hatari Zaidi kwa Upinzani wa Tanzania

    Aina ya Siasa anayofanya Katibu wa NEC itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka ni kete muhimu sana kwa CCM na anguko la Upinzani Tanzania ==== HEBU ANGALIA SHAKA AKISHIRIKI NA WANAWAKE WA MTWARA WALIOMPA TUZO MAALUMU RAIS SAMIA SULUHU HASSAN Wanawake mkoani Mtwara wamemkabidhi tuzo...
  17. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Huenda huyu akawa ni mtu hatari Zaidi kwa Upinzani Wa Tanzania

    Aina ya Siasa anayofanya Katibu wa NEC itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka ni kete muhimu sana kwa CCM na anguko la Upinzani Tanzania, ==== HEBU ANGELIA SHAKA AKISHIRIKI NA WANAWAKE WA MTWARA WALIOMPA TUZO MAALUMU RAIS SAMIA. Wanawake mkoani Mtwara wamemkabidhi tuzo maalumu Rais...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Upinzani wakimtumia kada mwenye mvuto kutoka CCM, njia ya kuingia Ikulu itakuwa rahisi kwao

    Ukweli ni kwamba Watanzania wengi wamekichoka Chama cha Mapinduzi, lakini ni ukweli pia nje ya Chama cha Mapinduzi hakuna chama mbadala, kwa sasa upepo umebadilika, baada ya kifo cha Magufuli kuna kundi kubwa la wanyonge ambao kwa wingi wao walikuwa ni wafuasi wa mwenda zake, kwa sasa hili kundi...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani vimekufa, vimelala au vinasubiri Uchaguzi Mkuu?

    Vyama vya upinzani vimekufa au vimelala au vinasubiri uchaguzi mkuu utangazwe? Ndio wazuke na kudai tume huru na Katiba mpya, ile kasi imeenda wapi? Mwisho wa siku mtaambiwa siku hazitoshi kwani uchaguzi unakaribia. Tunahitaji muamko sio mgawanyiko katika madai husika ya Tume huru ya uchaguzi...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa vya upinzani jifunzeni njia tofauti za kuomba maji ya kunywa na kupewa

    Unaweza kupewa glasi iliyojaa maji ya kunywa kwa njia tofauti. Unaweza kuomba au kuagiza upewe maji, unaweza kubembeleza au kufoka upatiwe maji ya kunywa ukapewa, na unaweza kuyachukuwa mwenyewe bila kuomba ukayapata. Njia zote hizi zina lengo moja tu la kupata maji glasi moja tu ukate kiu bila...
Back
Top Bottom