Balozi wa Marekani akutana na Mbowe, asema upinzani imara ni afya ya demokrasia

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Balozi.jpg

Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Donald J. Wright, leo Aprili 11, 2022 amepost picha akiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe kisha akaandika:

“Ni jambo zuri kukutana na Freeman Mbowe asubuhi ya leo. Upinzani mahiri wa kisiasa ni jambo jema kwa afya ya demokrasia, na demokrasia yenye afya inaruhusu maoni tofautitofauti. Ninaendelea kufanya kazi na wadau wote ili kupanua ushiriki wa kisiasa.”

==============

“Great to meet with @freemanmbowet this morning. A vibrant political opposition is critical to a healthy democracy, and a healthy democracy allows for many differing views. I remain committed to working with all stakeholders to expand the space for political participation.”
 
Hiyo ni uthibitisho wa dhahiri kabisa kuwa Mbowe haukuwa gaidi. Wamarekani na magaidi hawachangamani.

Kwa kauli nyingine ni kuwa, taarifa ya fulani ni gaidi, inaaza kwao halafu wanawaambie nyie kuhusu raia wenu.

Mama Samia alianza kuthibitisha hill kwa kumwita ikulu.
 
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa dunia kote asubuhi hii .

View attachment 2183550
😳🤣🤣
Sawa.....

Balozi Dr Wright ni daktari wa binadamu aliyepata kuishi hapa Tanzania akiwa kijana na akiwatibu watanzania kwa muda mrefu.....

Ameshatibu familia nyingi sana....wakiwemo watu WAKUBWA na WENYE KUTOKA KOO za matajiri.....🤣🤣

Dunia iko bize na KUVULIWA uwaziri Mkuu Imran Khan na ya huko Ukraine 🤣
 
Hiyo ni uthibitisho wa dhahiri kabisa kuwa Mbowe haukuwa gaidi. Wamarekani na magaidi hawachangamani.

Kwa kauli nyingine ni kuwa, taarifa ya fulani ni gaidi, inaaza kwao halafu wanawaambie nyie kuhusu raia wenu.

Mama Samia alianza kuthibitisha hill kwa kumwita ikulu.
Ikiwa walimuita hayati Mandela gaidi na wakachangamana naye baadae....itashindikana kwa yeyote mwingine?!!!!

Jifunze THESIS +ANTI-THESIS = SYNTHESIS

#Siempre JMT🙏
 
Unaota? Ni lini US ilimwita Mandela gaidi? Au kwako wewe kila aliye na ngozi nyeue ni Mmarekani?
😳😳🤣🤣🤣

Mkuu kumbe umeweka AVATAR yake Kama pambo tu....hujamsoma vyema maisha yake akiwa hai eee?!!! Ha ha ha ha

"US government considered Nelson Mandela a terrorist until 2008"...www.nbcnews.com

#Siempre JMT🙏
 
USA na UK walimwita Mandela na chama chake cha ANC terrorist organisation. Walirekebisha baada ya Mandela kuwa Rais na wakati alipopanga kutembelea nchi hizo. Check history.

Serikali ya kikaburu ndio ilimuita Mandela gaidi kisha baadaye wakachangamana nae, CCM ni sawa na serikali ya kikaburu?
 
USA na UK walimwita Mandela na chama chake cha ANC terrorist organisation. Walirekebisha miezi michache baada ya kuwa Rais na wakati alipopanga kutembelea nchi hizo. Check history.
Acha kuongopa....mwaka 2008 ni miezi michache toka hayati Mandela awe Rais ?!!!!😳😳
 
CDM wataona mwenyekiti wao kama kakutana na Yesu vile kwa ujinga walionao. If Div 0 leads others, what do you expect from his followers?
 
Back
Top Bottom