upendo

Upendo Ni Pamoja is an album by pianist Ramsey Lewis which was recorded in 1972. It was his first release for the Columbia label, after a decade with Chess Records in Chicago.

View More On Wikipedia.org
  1. Mr. MTUI

    JamiiForums Tanzania Huyu aliyebandika mabango ya Imani Upendo Miujiza ya mkutano wa dini Dar, achukuliwe hatua

    Matangazo yametapakaa Dar kuanzia kwenye nguzo za umeme, madaraja..mitaro n.k Anapaswa kushughulikiwa na kuamriwa kusafisha miundombinu aliyoichafua. ========= Uzio wa Yapi Merkez, eneo la Raha Leo-Dar Baadhi ya mabango yakiwa yameondolewa eneo la ujezi wa flyover-Chang'ombe
  2. Dead Man

    JamiiForums Tanzania Sayansi ya upendo, jinsi mtu anavyoweza fall in love na wewe

    Watu wengi wamekuwa wanatamani kupata nafasi ya kupendwa na watu wanaowapenda, wahitaji, lakini wamekuwa hawajui njia za kufanikisha hayo yote. Leo nataka nikupe siri moja. Ili umvutie mwanadamu yeyote yule basi sharti ujue udhaifu wake uko wapi. Udhaifu mkubwa wa mwanadamu uko katika mwili...
  3. Genius jack

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nitaishije Maisha Yenye Faida

    Hivi ulishajiuliza kwanini upo hai mpaka leo? Hili ni swali gumu sana lakini sio kila mmoja anaweza kutoa majibu sahihi, kwa ufasaha wa swali hili ni lazima mtu awe alishajiuliza ni kwanini kwanza anaishi. Ndipo aje ajiulize juu ya ukomo wa maisha. Lazima tukubali hakuna kitu kinaweza kutokea...
  4. BAK

    JamiiForums Tanzania Haki huinua Taifa na kuleta upendo

    Usiku huu nimeshindwa kuomba! Nimejikuta nikitokwa na machozi! Si machozi ya huzuni wala si machozi ya furaha! Ni machozi ya mshangao nikimshangaa Mungu! Nilikuwa nikitaka kuwaombea baadhi ya viongozi akiwemo Rais mpya wa Zambia! Ilipofika zamu yake nihimizwa moyoni kuwa niangalie kwanza taarifa...
  5. Lover boi

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kusamehe

    Nini maana halisi ya kusamehe? Kusamehe ni kuamua kutomchukulia mtu hatua na kuondoa kinyongo moyoni mwako kutokana na jambo baya ulilofanyiwa na mtu huyo. Kusamehe kunasema hutakiwi kusikia neno “nisamehe” ndipo uendelee na maisha yako. Kusamehe kumewekwa na ni kwa manufaa zaidi kwa yule...
  6. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Bro ametuachia Janga kubwa sana, sababu tu ni Upendo wake kwetu

    Ametuachia toto Jinga sana. Tumelikuza limefika miaka 30 linataka oa. Tunaliuza umejipanga una Tsh ngapi. Linasema halina hata shillingi. Bwege kabisa fala, zumbukuku, topolo kabisa. Tunaliambia sasa wewe unatakaje kuoa huna kitu. Nenda kajipange linalia kuwa angekuwepo baba yake angeliozesha...
  7. Richard

    JamiiForums Tanzania Afghanstani viongozi wengi wana uraia pacha na wanaiharibu nchi hiyo. Diaspora wengi wenye pasi mbili hawana upendo wa dhati/ uzalendo na nchi zao

    Marekani na Uingereza na nchi zingine washiriki wametuma vikosi vya jeshi kurudi tena nchini Afghanistan ili kufanya operesheni ya kuwaokoa raia wa nchi hizo pamoja na raia wa Afghanistan wenye pasi mbili za kisafiria. Marekani inatuma vikosi vya wanajeshi wapatao 3000 huku Uingereza ikituma...
  8. Mohamed Ismail

    JamiiForums Tanzania Penzi la zamani

    Dunia inaenda kasi na maisha yanaenda kasi. Zamani upendo ulikuwa una thamani zaidi hata gharama iliyotumika ilikuwa ni ya thamani zaidi. Mahusiano yalighubikwa na maneno mazuri yenye kuvutia yakiwa yamejazwa na vionjo vyenye kusisimua nafsi. Acha masikhara yale ndio yalikuwa mapenzi. Hakukua...
  9. joshydama

    JamiiForums Tanzania Sudden loss of interest & feelings for someone you love

    Hello Ladies & gentlemen, hope all is well with you. Bila kupoteza muda naombeni kujua ni kwa nini mtu hupoteza upendo na hisia kwa haraka sana mara tu baada ya kufanya mapenzi. Nimekuwa nikisumbuliwa na hili tatizo kwa muda mrefu sana kwamba huwa napenda sana kwa muda mfupi na kabla ya...
  10. ngungwangungwa

    JamiiForums Tanzania Upendo kwenye Mahusiano unaupimaje?

    Wanajamvi, Umofia kwenu! Mimi ni mwanaume mtu mzima kidogo, yaani miaka 44 hv.nimeoa na nna watoto. Mwaka 2015 hapa nyumbani kwangu nilipata shida ya msichana wa kazi za nyumbani, yule aliyekuwepo alipata mchumba akaolewa. Kutokana na majukumu tuliyonayo me na mke wangu, ilitulazimu kufanya...
  11. J

    JamiiForums Tanzania CCM yatangaza kuachana na siasa za kibabe na kurudi kwenye siasa zake za asili za Upendo na Urafiki mwema!

    Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongollo amesema CCM haitajiingiza katika siasa za kibabe na visasi bali itajikita kwenye siasa zake za asili zilizosheheni Upendo na Urafiki. Huu ni mwanzo mzuri sana kwa sekretarieti mpya ya CCM na vyama makini vya upinzani ikiwemo ACT wazalendo wamepongeza. Kazi...
  12. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Mama Maria Nyerere

  13. Influenza

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kununua Umeme wa LUKU: Waziri Kalemani amsimamisha kazi kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA wa TANESCO

    Waziri wa Nishati, Medard Kalemani amewasimamisha kazi kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA na Huduma za Biashara wa TANESCO, Lonus Feruzi na wasaidizi wake Frank Mushi na Idda Nja. Ametaka watoe maelezo ya tatizo la mifumo ya LUKU, na kuagiza maelezo yao yasipojitosheleza waondolewe kazini. == Waziri...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume huwa mnahitaji nini?

    Habarini zenu ndugu zangu? Kwa kweli inafikia kipindi nakuwa sielewi hizi ishu za mahusiano. Mwenzenu nimekuwa kwenye mahusiano na mkaka wa miaka 33. Amenizidi miaka 4. Na tumekuwa naye kwa muda mrefu sana. Katika mahusiano yetu hayo, kiukweli sijisifii lakini nimejitahidi kuwa mwema sana...
  15. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mume na mke wa ndoa kuishi makazi tofauti ila hukutana kwa ajili ya sex

    Kama kichwa cha maada tajwa hapo juu je kwa mustakabali wa ndoa na familia je maisha hayo yanafaa au yana athari kwenye saikolojia na hisia? Binafsi nimewaza Hilo Jambo nikavutiwa nalo natamani niwe na mke hata kama tunaishi naye tarafa moja ila kila mmoja akae kwake ila kila mkijiskia kukutana...
  16. Mbu

    JamiiForums Tanzania Maishani...

    There was a blind girl who hated herself just because she was blind. She hated everyone, except her loving boyfriend. He was always there for her. She said that if she could only see the world, she would marry her boyfriend. One day, someone donated a pair of eyes to her and then she could...
  17. X-PASTER

    JamiiForums Tanzania If your parents attain old age, do not repulse them or look at them as a burden, but speak to them a gracious word, be cool, obedient, humble and kind

    An 80 year old man was sitting on the sofa in his house along with his 45 years old highly educated son. Suddenly a crow perched on their window. The Father asked his Son, 'What is this?' The Son replied, 'It is a crow'. After a few minutes, the Father asked his Son the 2nd time, 'What is...
  18. Ladslaus Modest

    JamiiForums Tanzania Simple Friends and Real Friends

    Simple Friends and Real Friends Anyone can stand by you when you are right, but a Friend will stand by you even when you are wrong. A simple friend identifies himself when he calls. A real friend doesn't have to. A simple friend opens a conversation with a full news bulletin on his life...
Back
Top Bottom