upendo

Upendo Ni Pamoja is an album by pianist Ramsey Lewis which was recorded in 1972. It was his first release for the Columbia label, after a decade with Chess Records in Chicago.

View More On Wikipedia.org
  1. Razmax

    JamiiForums Tanzania SoC02 Amani na Upendo

    Kuna migogoro mingi duniani na inaweza kuwa vigumu kuiona kutoka nje. Jambo muhimu unaloweza kufanya ni kufikiria kile unachoweza kufanya ili kuifanya dunia kuwa mahali pazuri zaidi. Unaweza kuanza kwa kufanya mabadiliko madogo katika maisha yako, kama vile kufanya usafi na kutokuwa na takataka...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Upendo ni lugha ya vitendo sio ya maneno matupu, kama huamini mwambie mbwa I LOVE YOU kama atakuelewa

    Upendo ni jambo adhimu sana ambalo sisi wanadamu ni lazima tulifanye, sio tuliongelee tu. Mbwa ukimwambia I LOVE YOU hawezi kukuelewa. Ila ukimuonyesha upendo atakuelewa sana, na atakupenda pia. Je, huyo unayemwambia unampenda, je unamuoneshaje huo upendo? 1 KOR 13 Karama ya Upendo...
  3. Apollo one spaceship

    JamiiForums Tanzania Kama una ushamba na wanawake fahamu haya

    Asilimia kubwa (zaidi ya 95%) ya wanawake wa leo wana wanaume zaidi ya mmoja. Usidanganywe na uzuri, dini, kabila, upole nk. Hivyo fahamu kuwa, kila demu anayelika unayekutana naye; ✍️Kuna wanaume wapya anakutana nao wanaomuwazia mipango ya kumfunua sketi, ✍️Kuna wanaume wengine anajuana nao...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sura ya mtu huakisi hali ya moyo: Hii sura unaionaje? Ni katili iliyojaa chuki au ni ya upole iliyojaa upendo?

    Ni waziri wa mambo ya nje wa Ukraine-Kuleba.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Video: Upendo wa Senzo akimtuliza Manara akiipigania timu yake

    Haya mambo ya watu kuheshimiana na kupendana hivi huwezi kuyakuta kwa makolo, manara wakati anayapigania makolo na kupiga marufuku washabiki wa yanga kuingia uwanjani mechi ya CAF Barbra alitoa statement ya klabu kupinga maamuzi yake, hawakumuunga hata mkono kwenye vita dhidi ya kitenge, Shafih...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Ubungo unayajua ya Shule ya Upendo

    Mk
  7. D

    JamiiForums Tanzania Changua RICH but craziee au Normal but respectful

    Ipo hivi na pisi mbili. Mmoja ni mzuri tako lipo and very respectful. Huyu mwingine sio mzuri anatako ila sasa ni mtu wa viwanja na expensive things. Na worse ni wa show off kujipost kila mda ila home kwao zipo za kutosha, macho matatu usual things ila sio chochote sio lolote kwa View ...
  8. Darcyy

    JamiiForums Tanzania Vipimo 3 vibovu wadada tunavyotumia kupima upendo na usiriasi wa mwanaume

    (1) Kuomba pesa; Hiki ndiyo kipimo cha kwanza ambacho mabinti wengi wanakitumia, wanaamini mwanaume akikupa pesa basi anakupenda. Utasikia “Muombe pesa ujue kama yuko siriasi na wewe au la?” Anaweza kukupa pesa kila siku na bado asiwe na mpango na wewe . Najua mwanaume mbahili anaboa, ila...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanaume

    Wapendwa habari zenu. Mimi ni mwanamke mwenye miaka 33, ni mwajiriwa wa sekta binafsi mkoani Rukwa. Mimi ni mkristo na Nina mtoto mmoja. Ninajitokeza kwenu nikiwa nahitaji mwanaume mwenye hitaji kama langu. Awe mkristo mwenye umri kuanzia miaka 33-49, mwenye kipato halali, awe na utayari wa...
  10. Frustration

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Kain kumuua Abel ni upendo

    Habari wana jukwaa na poleni kwa mahangaiko ya kusaka ridhiki NB: Mungu alimwambia Adam utakula kwa jasho lako na ww Hawa utazaa kwa uchungu (No mercy). Pamoja na adhabu hii tunayoipitia ila hatukati tamaa na dunia yetu kwani tunaipenda. Wengi wamekuwa wakiupotosha uma kwa kusema sababu ya...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kutolelewa Na Baba na Mama humfanya mtoto asiwe na Upendo, hii ni sababu upendo wa ndani ya jamii Zama hizi kupungua

    Kwema Wakuu! Ni ngumu Sana kukuta upendo Kwa watoto ambao hawajalelewa na Baba na Mama, hiyo ndio sababu siku hizi kwenye jamii upendo wa wengi umepoa. Mtoto asipolelewa na wazazi wawili, Baba na Mama yake hisia na vyanzo vya upendo hufa POLEPOLE Kwa uhakika. Kuachana Kwa wenza, Baba na Mama...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Rais Samia kuwalipa waliofukuzwa kwa vyeti feki ni ishara ya huruma, upole na upendo kwa Watanzania

    Baada ya kusikiliza hii sasa Pitia hizi nondo kwa makini,Viva Tanzania, POINT TO NOTE, 1. Hawa watu wanawatoto wanaowategemea sijui hao watoto wanahali gani hata leo!!? 2. Hawa watu wanawazazi wanaowategemea sijui wazazi wao kama leo wako hai au walikufa kwa Presha!!? 3. Hawa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mtangazaji wa Redio ya Upendo

    Mtangazaji mmoja wa redio Upendo Radio anpenda kusema tupo "Town Centre, City Centre eneo la posta" hebu jirekebishe Dar ni City sio Town
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Upendo uliotukuka wa wanaume juu ya watoto, mke wazazi na ndugu zao ndio huwafanya wawe wezi, mafisadi, matapeli na hata majambazi

    Habari! Lengo la Uzi huu si kuhamasisha matendo maovu ya kijambazi, wizi, uporaji, utapeli au ufisadi. Lengo langu ni kuonyesha sababu kuu kwanini matendo haya maovu hufanywa hasa na wanaume zaidi kuliko wanawake. Ni upendo tu uliotukuka kwa ndugu zao na familia zao ndiyo hupelekea wanaume...
  15. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Vita ya UKRAINE ukilinganisha na IRAQ inaonyesha Ukatili wa US/NATO na upendo wa Urusi

    Kipigo cha Iraq wakuu kilikuwa ni cha kikatili sana. Ziliruka ndege mamia juu ya Anga Siku ya kwanza zikadondosha mabomu kama mvua Baghdad. Hata sisimizi wa Iraq walijua kuna wanadamu katili. Uchunguzi wa UN ulipuuzwa. Anapigwa MTU bila kuonyesha uhalali wa upigwa. Na dunia nzima...
  16. Ikaria

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii isikufanye uwachukie wanaohitaji upendo wako wa kweli

    Usipokuwa makini na mitandao ya kijamii, unaweza muonea wivu mtu unaepaswa kumuonea huruma.
  17. katoto kazuri

    JamiiForums Tanzania Mume wangu kaniambia kwa kuwa nina bima niende hospitali mwenyewe

    Eti nauliza mtu akitaka kujua kuwa huyu mume nilie naye ananipenda first of all nini kinamfanya mtu adhibitishe kuwa anapendwa. Kwa maana leo badala ya mume wangu kunipeleka hospitalini ananipa hela yakwenda hospitalini. Naharaka hela hiyo hapo nenda hospitali siuna BIMA. Basi kaishia...
  18. Stroke

    JamiiForums Tanzania Huu ni upendo, utu wema au mtego?

    Nilikwenda mahali kupata huduma. Aliyenipokea ambaye baadae nikaja jua kua ni mmiliki ni dada mmoja mrembo tu. Wakati naweka oda yangu tulipata wasaa wa kuzungumza kidogo. Nikapewa muda wa kwenda kuchukua bidhaa yangu. Sasa wakati wa kuichukua nikaona movements ambazo sizielewi na pia sura yake...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kuna Watanzania ni makatili sana na hawana upendo kabisa. Wanafurahia nini kuona dunia ikikosa amani?

    Nchi ina mijitu ina roho mbaya hii sijapata kuona. Watu wanauana huko Ukraine 🇺🇦, watu wanashangilia utadhani mechi ya mpira wa Mrs Simba na @mr Yanga. Hawa wanajiita team Ukraine 🇺🇦 wakiongozwa na Mkenya anayetamani sana kuwa Mtanzania MK254 , na pia kuna team Russia 🇷🇺 inayoongozwa na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja wa Uongozi wa Rais Samia; Asante kwa upendo wako kwa watumishi wa umma

    Na Mwl Udadis Ipo haja kwa vyama mbalimbali vya wafanyakazi kutoa kauli ya kumpongeza Rais Samia kwa hatua alizozichukua ndani ya muda mfupi katika sekta ya utumishi wa umma, Rais ameonyesha ishara ya kujali na kuwapa watumishi wa umma kipaumbele kinachotakiwa. Baadhi ya mambo yaliyofanywa na...
Back
Top Bottom