Mume na mke wa ndoa kuishi makazi tofauti ila hukutana kwa ajili ya sex

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,568
44,786
Kama kichwa cha maada tajwa hapo juu je kwa mustakabali wa ndoa na familia je maisha hayo yanafaa au yana athari kwenye saikolojia na hisia?

Binafsi nimewaza Hilo Jambo nikavutiwa nalo natamani niwe na mke hata kama tunaishi naye tarafa moja ila kila mmoja akae kwake ila kila mkijiskia kukutana kwa ajili ya tendo. Mmoja anamfuata mwenzake na sababu ya mimi kutaka utengano huo wa ratiba za kimaisha, ni kwasababu najihisi nina tabia flani ya ubinafsi nikikaa na mtu nahisi nitamchoka tutakerana yaani means natamani niwe najipikia mwenyewe chakula changu naweza kufanya kazi zangu peke yangu niwe huru kiasi flani tu naishi kama kibachelor ndani mwangu ila upendo kwa mke wangu ubaki palepale

Kama Kuna shida kubwa ndo tunasaidiana ila hizihizi ndogo ndogo kila mtu anapambana kivyake.Mke ninayemuoa akitoka kazini anaenda chumbani kwake anakaa kwa kutulia na Mimi nikitoka mishe mishe naenda kwangu nafanya yangu najipikia zangu mabalance diet, nacheki movies, naperuzi JF sitaki bughudha chumbani kugombana gombana na mtu sitaki makelele.

Ina maana ukienda kumsalimia mwenzako unaenda kwa ajili ya mapenzi tu.Ndo maisha nayoyataka kuishi ila kumpata mtu wa hivyo najua Kuna ugumu Sana maana jamii itastaajabu hio style yenu ya maisha ila je kwa maoni yenu wadau mnaonaje huo mchongo si umekaa vizuri tu.

NB: Mtoa maada nina miaka 26, mfanyabiashara mdogo mdogo na mtumishi mtarajiwa na sijawahi kukaa na mwanamke nikaishi naye geto even for 2 weeks

KikulachoChako
Mshana Jr
The Boss
Sky Eclat
 
Kwa staili hiyo sasa unaoa kwa ajili ya nini?. Huduma ya kugegeda na kurudi kwako mbona zipo za kutosha tu, kama unajijua ni mbinafsi ni heri usioe, utaongeza idadi ya Singo Mother halafu uje kuwasemanga humu siku zijazo.
 
Ndoa ni muunganiko wa watu wawili waliopendana hadi Kuamua kuishi pamoja kihalali kwa taratibu za imani za wahusika.........

Muunganiko huo unajengwa katika msingi mkuu wa UPENDO ambapo ndani ya upendo kuna mambo kama vile......1) Kuvumiliana
2) Kuheshimiana
3) kuthaminiana
4) Kusameheana
Katika muktadha huo wa muunganiko wa UPENDO ni vigumu nafsi kukubaliana kuishi mbali na umpendaye........kufanya mapenzi ni sehemu ndogo ya maisha ya wapendanao kunakohitimisha thamani ya penzi lao......

Kama kitu pekee kinachounganisha PENZI lenu ni ngono maana yake nyie sio wapendanao bali ni watu waliokubaliana kuwa Karibu kwa ajili ya kupunguziana matamanio ya kimwili........

Hivyo basi wanandoa waliounganishwa na maana halisi ya ndoa hawawezi kuishi maisha hayo......
 
Daah hii style hata me napenda sema ndo hvyo huwez pata mke atakayekubali hii hali!! Yani hata mimi napenda sana uhuru uliopitiliza siez kaa na mwanamke zaid ya siku 2 namchoka kabisa! Ila watu waliopo kwenye ndoa big up kwenu aisee🙌🏻
 
Ukiitaji uhuru usioe
 
Hakuna ndoa hapo!!!

Back
Top Bottom