Sudden loss of interest & feelings for someone you love

joshydama

JF-Expert Member
May 10, 2016
4,623
5,037
Hello Ladies & gentlemen, hope all is well with you.

Bila kupoteza muda naombeni kujua ni kwa nini mtu hupoteza upendo na hisia kwa haraka sana mara tu baada ya kufanya mapenzi.

Nimekuwa nikisumbuliwa na hili tatizo kwa muda mrefu sana kwamba huwa napenda sana kwa muda mfupi na kabla ya kufanya mapenzi na nimpendaye unakuta naonesha mapenzi yote ila baada ya muingiliano wa kimwili unakuta napoteza upendo, hisia na kila kitu juu yake physically, emotionally & spiritually.

Karibuni kwa michango.

Ahsanteni.

1624946102979.png

That’s is last and not love.

Kutamani huisha ukishapata/ukishakula

Upendo hudumu hata usipomiliki.
Not lust Kassie. Hata suala la kupata mwenza imekuwa changamoto kutokana na hiyo hali.

Naweza mpata nikasema the woman will be my baby mama but baada ya kushiriki tendo tu. Unakuta napoteza hisia kabisa.
 
Rudia kusoma nilichoandika kwa taratibu...!

Ukipenda, hutataka kukipoteza, hutataka kukiumiza, hutataka kukitumia kama brashi ya vyombo......

Lust and Love if one fails to differentiate that, is same way as differentiate milk and coconut milk.
 
Hisia zako zimejengeka katika matamanio ya kimwili kuliko upendo.

Sawa sex ni kichocheo muhimu sana katika mapenzi lakini si kila kiti katika mapenzi.

Kwamba unampenda mtu kwa sababu ya kuhitaji uchi wake tu na punde baada ya kumlala unakosa hamu naye.

Ni swala la kisaikolojia zaidi Mkuu!.
 
Sawa mkuu nimekuelewa sana. Najitahidi kupambana na hii hali sana. I know everything will be okay.
 
Back
Top Bottom