upande

Boma Upande is a settlement in Kenya's Kilifi County.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kumvua uanachama Mbatia ni batili sababu kuna zuio la mahakama kwa upande wa wanaompinga

  2. M

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Upande mwingine wa online dating platform

    Brethren, NB: Msiniombe reference kwa vile huu ni uchambuzi na maoni binafsi mimi babu yenu kwa kushirikiana na marafiki zangu wa karibu (Hawapo JF), kwa lengo la kupeana tahadhari. Ni hivi; Utafiti ulioufanywa kwa miaka miwili mfululizo imegundulika huko mtandaoni ni mizaha mingi bila nia...
  3. JamiiForums Tanzania ⛽Hivi Ushawahi kuazima gari au umenunua gari halafu hujui pa kuwekea mafuta [fuel tank cap] ni upande gani?

    Yani unaingia kituoni unapark gari uwekewe mafuta unajikuta umegeuza pump iko kulia wewe umeweka gari kushoto, Fuel attendant anakuona kama dish lako linayumba hivi hafu hakuelewi elewi. . Kuna wale wasee huwa hawataki aibu ndogo ndogo huwa wanashuka wanachungulia kwanza, Yani kabla hajafika...
  4. JamiiForums Tanzania Airtel rekebisheni haraka hii changamoto ya vifurushi vya SMS

    Nianze na hili, Kwa shilingi elfu Moja unapata SMS za Wiki zipatazo 5000 na Kwa elfu 2 unapata SMS za mwezi 9000. Maajabu, Mmeweka Ukomo wa Kutumia SMS hizo, yaan Kwa siku Mteja wenu atumie SMS 300 tu, kiwe ni kifurushi cha wiki au mwezi. Tafasiri yake Kwa Mteja wa Kifurushi Cha wiki Sms...
  5. JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ni mwanga ila kwa upande huu ni giza

    UTANGULIZI Elimu ni nini ? Ni ujuzi wa utambuzi wa jambo na uwezo wa kuwa na maarifa juu ya jambo fulani na kuwa na mbinu stahiki ya kuhamisha maarifa hayo katika utendaji yakaleta matokeo chanya kwa jamii. Sera ya elimu ya mwaka 2014 inaeleza katika Dira yake ni pamoja na kuwa na Mtanzania...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Je, wajua mtembea kwa miguu anatakiwa atembee upande upi ili aweze kuepuka ajali?

    Tembea upande wa kulia wa barabara, ili uweze kuyaona vizuri na kupishana na magari yanayotoka unakoelekea na iwe pembeni sana iwezekanavyo. Upande utakaotembea itakusaidia wewe kuliona gari vizuri au vyombo vingine vya usafirikama vile pikipiki, bajaji na kuweza kukuepushia na madhara...
  7. JamiiForums Tanzania Upande wa LB Zimbwe na CB Ouatarra unaenda kuwa UCHOCHORO wana SIMBA kupigwa nyingi

    Ndugu zangu ukweli usemwe huyu Ouatarra mzito na hana speed bora babu Onyango.. Mohamed Hussein ana makosa mengi sana na huwa anachelewa kurudi tunaposhambuliwa.. Sasa yule wa kurekebisha makosa ndio mzito, mzembe na hana speed Hata utopolo walitufunga tokana na hawa viazi wawili
  8. JamiiForums Tanzania Sakata la Tozo: Watawala wakisisitiza lazima zilipwe, wasikilize wananchi pia wanataka nini

    Naweza kuliita hili sakata la tozo kama kaa la moto! Wakati watawala wakijaribu kwa kila namna kutetea tozo hizo zilizoidhinishwa na waheshimiwa wabunge wetu, upande wa pili wa wananchi wanazipinga vikali tozo hizo na hata kudiriki kuziita kuwa ni "day robbery". Wakati huo huo wale...
  9. JamiiForums Tanzania Wamama wengi wa Afrika huwafundisha watoto kuwachukia ndugu wa upande wa baba. Mashangazi ni wachawi, bibi mzaa baba anaturoga ila MJOMBA NI MAMA

    Familia nyingi sana za ki Afrika zina mpasuko mkubwa. Ndugu wa mume wakitembelea familia hufanyiwa vitimbi na vibweka vya kila aina. Wakija dada wa baba wa mwenye nyumba watasimangwa kwa maneno mbalimbali kwamba wamekuja kuvunja ndoa, wameleta uchawi na mbaya zaidi inafikia wanakataliwa hata...
  10. JamiiForums Tanzania Nchi ya ujerumani ilipaswa kutofungamana na upande wowote kwenye kitu chochote

    Kihistoria naliona taifa la ujerumani kama victim wa mahusiano na mashirikiano kwenye Jumuiya za kimataifa. Vita zote matokeo yake yameidhabu ujerumani. Naona vita ya Ukraine vile vile amebebwa tu. Vita ya pili na kunyang'anywa kwake makoloni kama sehemu ya adhabu sioni koloni la mjerumani...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume tujadiliane; nini faida za kulala upande wa kulia wa mwanamke?

    Watu makini, karibuni sana kwa mjadala.
  12. JamiiForums Tanzania Vita Vya Russia-Ukraine: Je, ni muhimu kuchagua upande?

    Hili ni swali kwa wabobezi wote wa siasa za kimataifa. Vita vya Russia-Ukraine: Je, ni muhimu kuchagua upande kama nchi? Kwa sisi wananchi, tunaona ni rahisi kuchagua upande. Kwa mfano kuna wananchi mitaani wanasema ndio ni bora Urusi awabe adhabu watu wa Ukraine na washirika wake, na wengine...
  13. JamiiForums Tanzania Albert Msando: Wanahabari kuweni watetezi wa Haki za Binadamu, msiegemee upande mmoja

    Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando amewataka wanahabari kuendelea kufanya kazi kwa bidii na ueledi zikiwemo za utetezi wa Haki za binadamu ili kuongeza tija katika kuwahabarisha wananchi taarifa zilizojitokeza na zitakazojitokeza. Msando amesema hayo Mkoani Morogoro wakati akifungua...
  14. JamiiForums Tanzania Nahitaji simu nzuri upande wa camera, Processor na storage(ROM) kuanzia 64GB Ila isiyo Apple

    Jamaan wadau wa humu JF jukwaa la matangazo madogo madogo habari za muda huu Kiufupi ni kwamba nahitaji simu nzuri upande wa camera, processor na storage kuanzia 64GB na pia iwe ina betri lenye uwezo wa kukaa na chaji muda mrefu yaani haiishi chaji kwa haraka angalau kuanzia...
  15. JamiiForums Tanzania Acheni Kutudanganya ukweli ni kwamba Beki Inonga kasema mkimuacha Mkongo Mwenzake huyo nae anasepa zake upande wa Pili

    SIMBA SC KUMBAKIZA MUGALU Habari kutoka ndani ya Simba zinasema Majeraha aliyoyapata msimu huu Chris Mugaluni moja ya sababu inayopelekea uongozi wa klabu hiyo kutomuacha. Msimu huu hakuonyesha makali tofauti msimu uliopita Mugalu alimaliza na mabao 15 katika mechi 19 Chanzo: SportsArenaTz...
  16. JamiiForums Tanzania Mataifa ya Afrika ambayo yatakuwa na uwakilishi wa vilabu vinne kwa msimu wa 2022/23 michuano ya CAF

    Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza nchi 12 ambazo zitatoa timu nne kuwakilisha katika mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho. • Algeria 🇩🇿 • Angola 🇦🇴 • Congo DR 🇨🇩 • Egypt 🇪🇬 • Guinea 🇬🇳 • Libya 🇱🇾 • Morocco 🇲🇦 • Nigeria 🇳🇬 • South Africa 🇿🇦 • Sudan 🇸🇩 • Tanzania 🇹🇿 • Tunisia 🇹🇳
  17. JamiiForums Tanzania Mafundi simu upande wa Software naomba kusaidiwa

    Kwema Wakuu? Mafundi simu upande wa software na wadau wote mnaofahamu matatizo ya software za simu,nisaidieni utatuzi. 1:Vida k242(voda kitochi) APP ya contact inafunguka lakini haiwezekani kuchagua majina(bar ya kijani inayozunguka eneo la search pichani inagoma ku move kushuka chini). 2:APP ya...
  18. JamiiForums Tanzania Wapenzi wa game za ANDROID hili hapa game bora kabisa kwa upande wa android games

    TYCOON BUSINESS 2022 Wale wapenzi wa games basi hii ni fursa kwenu game hili linahusika na masuala ya kiuchumi, teknolojia, utachagua nchi yako ambayo utaunda kampuni yako kisha utaanza kujenga uchumi wako kama tunavojua ili uwe na uchumi bora ni lazima uwe na jeshi bora teknolojia bora kwa...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu anamwambia mke wangu kuwa sisi tunalala tu hatufanyi mapenzi

    Huyu ndugu yangu amekuja kwangu kunitembelea, lakini kutwa ni kumzonga mke wangu. Hata mimi hana story zaidi ya kumuongelea mke wangu. Leo mke wangu ameniambia nikiwa sipo anamwambia eti muda wote sisi ni kula hatufanyi mapenzi. Anajaribu kumweleza yeye anavyomshughulikia mke wake muda wote...
  20. JamiiForums Tanzania Kati ya watanganyika na wazanzibari, Nani wananufaika zaidi na fursa za upande mwingine?

    Je wazanzibari wananufaika na fursa za bara Au wabara wananufaika na fursa za Wazanzibari? Kipindi hiki nimeona wabara wakilalamikia sana Wazanzibari mpaka kufikia hatua wanatamani katiba ya Zanzibar ibadilishwe ambayo imekuweko miaka na miaka. Kwa mfano suala la umiliki wa Ardhi watanganyika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…