Ndugu yangu anamwambia mke wangu kuwa sisi tunalala tu hatufanyi mapenzi

ze jj

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
485
571
Huyu ndugu yangu amekuja kwangu kunitembelea, lakini kutwa ni kumzonga mke wangu. Hata mimi hana story zaidi ya kumuongelea mke wangu.

Leo mke wangu ameniambia nikiwa sipo anamwambia eti muda wote sisi ni kula hatufanyi mapenzi. Anajaribu kumweleza yeye anavyomshughulikia mke wake muda wote.

Wadau huyu ana nidhamu gani au nyie mmeelewa nini?
 
Inawezekana ameambiwa na mkeo. Je ni kweli hamufanyi nakama mnafanya ni mara ngapi kwa wiki?
 
Kama udugu utakufa poa tu ila nakutimua aseeee...... yaani Nyumbani kuna amani alafu kijinga jinga uje uitoeshe amani Mimi na Mama Tombombo ah!!! weee nakutimua
 
Huyo sio shemeji yako,Ni mume wenu huyo(wewe na mkeo).

Angekua sio mume wenu mngekua mmeshamfukuza kitambo Wala kusingekua na haja ya kuja hapa JF kueleza Jambo hilo.
 
Kama hayo unayo ambiwa ni ya kweli, fukuza huyo mtu. Hivi nyinyi mnaishije aisee ? Unamuachaje ndugu yako wa kiume na mke wako ?

Ushemeji ni KIFO.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom