upande

Boma Upande is a settlement in Kenya's Kilifi County.

View More On Wikipedia.org
  1. comte

    JamiiForums Tanzania Wapinga chanjo waliwahi kwenda mahakamani na kushindwa na upande wa serikali na wapenda chanjo

    In the United States, the anti-vaccinationist movement, using pamphlets, court battles, and fights in state legislatures, succeeded in repealing compulsory vaccination laws in California, Illinois, Indiana, Minnesota, Utah, West Virginia, and Wisconsin. However, in the landmark Jacobson v...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Majibu ya John Mnyika kwa Rais Samia, Mwendelezo wa IQ ndogo ndani ya CHADEMA

    MAJIBU YA MNYIKA KWA RAIS, MWENDELEZO WA LOW IQ NDANI YA CHADEMA Siku zote nimekuwa nikisema Chadema ni genge la wahuni na basi kama kuna wakati hilo limethibitika basi ni majibu ya Chadema leo kwa mahojiano ambayo Mhe Rais Samia Suluhu Hassan ameyafanya na BBC akiwa mtulivu na akijenga hoja...
  3. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Nipo upande wa Manara 100% wenye akili watamuunga mkono

    Nawasalimuni nyote wanamichezo. Kwanza kabisa mimi ni shabiki wa Simba kabisa ila kuna kitu hakiko sawa. Sitaki kuongelea mambo yooote sababu hayataisha ila nalenga chanzo tu. Kumekuwa na hoja nyingi sana kuhusu Manara kuwa anafanyaje kazi simba huku akitangaza bidhaa za Azam, hilo lipo sahihi...
  4. XII Tz

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kumlaza mtoto upande mmoja huathiri shape ya kichwa?

    Habari wakuu, Husika na kichwa hapo juu, kuna mwana upande mmoja wa kichwa chake slightly umebonyea kuanzia katikati ya kichwa mpaka kwenye komwe. Je, ni kweli hii husababishwa na kulazwa upande mmoja pindi unapokua bado kichanga? Na je, kuna njia yoyote inayoweza kutumika kurudisha shape ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dunia yashangazwa na kubadilika ghafla kwa Rais Samia kutoka kuwa mtenda haki na kuanza uonevu

    Hao ni CNN Na hao ni Aljazeera
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya upande wa kushoto wakati wa kula

    Habari Siku mbili hizi nimejihisi ninapata maumivu chini ya kabla ya kumalizika kwa mbavu upande wa kushoto wakati wa kula tuu maumivu sio makali kawaida tuu. Kabla ya kwenda kufanya vipimo naomba kujua kama kuna mtu anafahamu tazizo hili. Asanteni sana
  7. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana mwenzangu tuchangie kodi ya pango wakati tuna-hustle kutafuta maisha

    Habari Wakuu, Kabla ya yote naomba Nikiri kwamba Hali ya maisha imekuwa tough Sana especially kwa sisi vijana tunaohustle kuanza maisha Bila ya kuwa na blueprint ( ramani) ya kueleweka ya kutupatia regular income hapa mjini. Binafsi ni kijana ambaye nimeamua kung'atuka nyumbani na kuja apa...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Upande wa Pili wa Hotuba ya kuaga ya Baba wa Taifa ukumbi wa Diamond 1985

    UPANDE WA PILI WA HOTUBA YA MWALIMU YA KUAGA Kiasi naogopa kufanya uchambuzi wa hii hotuba kwani kuna mambo nadhani Mwalimu Nyerere kasahau au hakupenda watu wayasikie. Mwalimu hakupokelewa na wazee alipokelewa na Abdul Sykes 1952 tena si New Street kwenye ofisi ya TAA bali nyumbani kwake Mtaa...
  9. JERUSALEM 2006

    JamiiForums Tanzania Rais Samia chagua upande wa Haki au Dhuluma, huwezi kwenda na vyote

    Haujambo mwana JF mwenzangu wa jukwaa letu pendwa la siasa. Ni matumaini yangu unaendelea kupigana vizuri na changamoto za maisha hasa kwenye uchumi huu ulio dorora kutokana na changamoto za UVIKO. Pambana mwana jamvi, usikate tamaa, maisha ni kuishi kwa matumaini kila iitwayo leo mpaka pale...
  10. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Upande wa pili wa Matumizi ya Meter Box

    Habari wakuu leo katika utundu wangu nimegundua kwamba meter box ina matumizi mengi sana zaidi ya kutumika katika ulipaji wa umeme. Naam, Nitawadokeza jinsi ya kutumia meter box kuangalia vitu vingine Moja ya matumizi ya Meter ni kuangalia tarehe na saa/Mda Nisiwachoshe ni kama ifuatavyo Jinsi...
  11. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbezi Beach - Africana (upande wa bahari)

    Kiwanja kipo Mbezi Beach Africana upande wa chini. Kina ukubwa wa sqm 800, HATI IPO Bei ni milioni 130 tu. WAHI SASAA. MAWASILIANO 0677 818283
  12. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila omba wasaa ukutane na Mheshimiwa Rais uombe umueleze upande wako wa stori

    Mimi naamini kabisa ndani ya moyo wako wewe ni mtu mzuri. Una sense of humor ambayo bahati mbaya wengine hawaielewi. Naamini kilichokukuta safari hii ni watu wamekupiga fitna hasa wale Waliochukua clip ya sauti yako na kuikatakata kisha kuunganisha vipande. Naamini kabisa kwenye ile clip...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Digital upande wa pili wameng’ang’ania ngazi

  14. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Tasac nao haupatikani wiki ya pili sasa. Kuna kipi kinaendelea?

    Tasac mfumo wao nao haupatikani hewani itakikanavyo. Kwa nini mifumo mingi inasumbua sana jamani kwa sasa?! Mfumo wa mikopo benki mbovu mwezi unaenda wa pili sasa. Inakwaza sana!
  15. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania IKULU, inakuwaje Rais anasimama upande wa kushoto halafu Dangote kulia? Hamna watu wa Protocol?

    Kwa kweli ni Jambo la Aibu kusahau mambo muhim hivi! ina maana Dangote kicheo ni mkubwa kuliko mama yetu? Hizi aibu zisijirudie! hata mpiga picha hajui protokali? daah noma kweli
  16. Gamlemilwe

    JamiiForums Tanzania Kujisajili kwenye Mfumo wa Ajira za TAMISEMI upande wa AFYA inasumbua

    Ninapata changamoto wakati wa kujisajili kwenye mfumo wa Ajira TAMISEMI ambapo nikifika hatua ya kuhakiki taarifa unatoka ujumbe wa kwamba Taarifa zangu haziendani na Taarifa za NECTA. Nimehakiki kila Taarifa ziko sahihi
  17. Richmoto Kushmoto

    JamiiForums Tanzania Nezha Reborn: Animation bora kabisa kwa upande wangu

    Nezha Reborn ni animation hiii imetulia sana ina mkono sijapata ona kama uliona nezha part 1 basi hii si yakukosa
  18. herman joshua

    JamiiForums Tanzania Kwani namba za Harmonize zimekaaje kwa upande huu?

    Tuachane na mambo ya tuzo, tumpe muda kwanza ila vp katka hz namba Au WASAFI nako huku wanahusika kwa namna flan kumshusha Mmakonde? Tusishau wimbo wa mwisho wa Diamond ni waah ila bado list zinakimbizwa na vijana wake. Swala la kumfananisha Harmo na Mond lipigwe marufuku
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ili uchumi wetu upande tuwekeze kwenye bidhaa mpya

    Ili uchumi wetu upande tuwekeze kwenye bidhaa mpya. Gross Domestic Product (GDP) yetu per capital ni ndogo mnoo na hii ni kwasababu hatuzalishi bidhaa mpya bado tupo na bidhaa za zamani zilezile. Hebu Tujiongeze tuanze kuzalisha bidhaa mpya ambazo zinahitajika na mataifa mbalimbali. Tuzalishe...
Back
Top Bottom