upande

Boma Upande is a settlement in Kenya's Kilifi County.

View More On Wikipedia.org
  1. mtanzania in exile

    JamiiForums Tanzania Mnaosherehekea Hadhi Maalum kwa Diaspora hamjaangalia upande wa pili wa sarafu

    Wana Diaspora Nimeona ndugu zetu wengi sana hususan wale waliopo USA wanasherehekea sana juu ya ujio wa Hadhi maalum kwa diaspora, kiasi kwamba nahisi mnashindwa kuangalia upande wa pili wa sauli hili. Kwa sababu hiyo basi naomba kuweka point chache tu ambazo tunabidi sote tuzielewe. Kwanza...
  2. kali linux

    JamiiForums Tanzania Nimerepair trucks za DAF, Scania, MAN na Benz upande wa umeme lakini MAN tuwape mauwa yao, mpangilio wa mfumo wao wa umeme ni rafiki sana

    Hello bosses and roses... Humu watu baadhi wananijua kama computer programmer ila mie ni fundi magari pia. Kiukweli hizi gari za MAN wamejitahidi sana upande wa umeme, wiring iko organized vizuri mno, ukichukua MAN moja na trucks za makampuni mengine zenye range sawa ya bei basi utakuta MAN iko...
  3. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Tangu nchi imepata uhuru, Jenerali Abdallah Twalipo ndio CDF pekee kutokea upande ule, shida nini?

    Jenerali Abdallah Twalipo aliteuliwa kushika madaraka ya u- CDF february 13, 1974 mpaka Novemba 8, 1980. Chini ya uongozi wake alishuhudia na kushiriki vita ya Kagera bara baada ya uvamizi wa Nduli Idd Amin Dada. Jenerali Twalipo alipostaafu, kuna kambi moja Dar es Salaam inayotumika kuaga...
  4. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Tuitazame kauli ya Ally Kamwe kwa upande wa pili wa Shilingi

    Ni kijana tu kaghafilika ndiyo maana ameomba radhi. Yes alicho kifanya Ally Kamwe huenda kimeleta ukakasi lakini hebu tulitazame hili kwa jicho la pili. Wakati Mwingine Nchi hii usipojitoa ufahamu wanaweza kukuzoea wakakuchukuliwa poa kwahiyo wakati mwingine ni kuishi nao wanavyotaka wao. Juzi...
  5. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Huenda ukastaajabu. Lakini huu ulikuwa upande wa pili wa maisha yangu ndani ya JamiiForums

    Habari za wakati huu wakuu, Ni nusu mwaka sasa tokea kuwa "The Storyteller" aliyestahili tuzo humu jukwaani. Ni muda mrefu sana umepita tokea pale nilipoifahamu na kujiunga na jumuiya, japokuwa mlio wengi mtachungulia kwa profile ili kuona lile neno "joined Nov 2022", JF nimeifahamu kwa zaidi...
  6. ChatGPT

    JamiiForums Tanzania Tunapaswa kuendelea kuswali tukiangalia upande wa Qibla?

    Tunapaswa kuswali tukiangalia Qibla, Science ikithibitisha uwepo wa viumbe/binadamu kwenye nyota nyingine tutaswali tukiangalia wapi? Ni swali ambalo nilipata baada ya kuona uzi aliopost bwana mdukuzi alipofanya udukuzi ambao sijathibitisha ukweli wake kwamba "Waislam wa Bara Hawajui Qibla Iko...
  7. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Ni kujipendekeza? Ni kwanini wakristo wengi wanapenda ukaribu wa Israel wakati waisrael hawautaki ukristo?

    Huwa nashangaa sana baadhi ya wakristo kulazimisha ukaribu na taifa la Israel kujidanganya kwamba dini ya kikristo inawaunganisha, Wengine wamefika mahala kuweka bendera ya taifa la Israel makanisani, kwenye vyombo vya usafiri, wallpaper za simu, n.k. Wayahudi sio wakristo na wanampinga Yesu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu hamtembei kuona majiji ya wenzetu yalivyoendelea kwa upande wa barabara?

    Mm inaniumiza sana jiji kama la Dar es salaam Tanroads bado ina barabara za tope. Tunapoteza hela nyingi kuchonga na hata uchumi mwingi wa wananchi unapotelea kwenye barabara mbovu. Nimejiuliza swali, hivi viongozi wetu hawatembei kuona majiji ya wenzetu yalivyosheheni barabara nzuri?? Huwezi...
  9. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuomba Mahakama itengue hukumu ya upande mmoja (how to challenge ex parte judgement)

    Issue: Whether ex parte judgment can be appealed against without first attempting to set it aside?. By zakariamaseke@gmail.com Advocate Candidate - LST. Umeshtakiwa alafu hujatokea Mahakamani, kesi imesikilizwa upande mmoja (exparte) na hukumu imetolewa dhidi yako (umeshindwa kesi)...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji atakayewekeza kwenye gharama za uendeshaji wa kampuni

    Habari wakuu, Natafuta mwekezaji ambaye atawekeza kwenye gharama za uendeshaji wa Kampuni. Kampuni inadeals na Engineering works na supply of materials. Kwa sasa, Kampuni ina investor ambaye anawekeza hela kazi ikipatikana. Upatikanaji wa kazi unapungua kwa kupungua kwa fedha za uendeshaji wa...
  11. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mfalme Daudi alioa binti ambae bado hajavunja ungo (-12), kwanini hili halipigiwi kelele kama ilivyo kwa upande wa Mohammed?

    Bwana Yesu asifiwe wakuu, wasalaam waleikum Uzi huu kwa namna yoyote sihamashi ndoa za mabinti wadogo bali ni kuwekana sawa tu kwamba katika zama za kale tamaduni hazikuruhusu tu upande wa Mohammed kwa kiasi kikubwa waarabu kuoa mabinti wadogo bali ni hata kwa waisrael na mababu zetu wa hapa...
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Karatu: Ngome imara ya upinzani (CHADEMA) kwa upande wa bara

    Hapa nchini kumekuwa na fikra kwamba kaskazini kote ni ngome imara ya upinzani kwa majimbo karibu yote ila kwa tunaofahamu vizuri hiyo kanda tuko tofauti kidogo. Ni kweli wapinzani wamesimika mizizi kwenye baadhi ya majimbo ila mengi hayako imara kusimama na upinzani kwenye chaguzi zote. Kwa...
  13. Mdude_Nyagali

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya kifo cha Hayati Magufuli kwa upande wangu

    KUMBUKUMBUYA KIFO CHA JPM KWA UPANDE WANGU. Ilikuwa saa 5 usiku 17 March 2021. Nilikuwa ndani ya kuta za gereza la Ruanda mkoani Mbeya selo namba 16. Nikasikia kelele nyingi selo zingine ukizingatia kelele haziruhusiwi usiku mpaka kuwe na tatizo. Maana kelele ndio alarm ya kuwaita askari...
  14. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Barcelona ya Mwaka 2009 - 2011 ndio timu bora ya wakati wote kwa upande wangu

    Barcelona iliyoundwa na Valdes golini. Mabeki kama Dani Alves, Puyol, Mascherano na Eric Abidal. Viungo walikuwepo Sergio Busquets, Xavi na Mtaalam Iniesta. Safu ya ushambuliaji ikiongozwa na Leo Messi, David Villa na Thiery Henry. Pia benchi unawakuta akina Pique, Keita, Pedro, Bojan, na...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nilidhani ningefika nao upande wa pili lakini ajali zinatokea

    Rais Samia amesema Waziri mmoja amedondoshwa kwa kuwa ni kawaida kwenye safari kuna ajali zinatokea. Amesema hayo katika hotuba yake baada ya kuwaapisha wateule wake aliowateua hivi karibuni. Rais amesema alitamani team yake ya awali amalize nayo hadi kufika ngwe ya pili (Muhula wa pili wa...
  16. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Mafundi simu upande wa software

    Wakuu mimi natumia Boksi ya UFI kwa kweli pamoja na sifa mbovu za hili boksi nimefanikiwa kufufua simu kadhaa na kuua simu 2 nikijaribu kutoa MDM nikiwa najifunza na kuamsha simu zilizokufa animefanikiwa chache tena zile brand kubwa kwa kuwa sina wateja wengi tatizo ni kwa hizi simu zetu tecno...
  17. aka2030

    JamiiForums Tanzania Tulinganishe hizi timu Azam fc vs vipes fc upande wa uwekezaji

    Vipers Azam
  18. paka chongo

    JamiiForums Tanzania Maumivu upande wa kushoto chini ya mbavu

    Toka juzi nasumbuliwa na maumivu makali sana upande wa chini ya mbavu kushoto mwenye kujua dawa au tiba anisaidie jamani naandika nikiwa nimelala kitandani plz
  19. F

    JamiiForums Tanzania 'Kutofungamana na Upande wowote', sera iwekewe mkazo kuepusha migogoro ya kidiplomasia. Suala la Nemes Tarimo ni doa

    Baada ya kusikia habari za mtanzania aliyeuawa vitani nchini Ukraine akipambana upande wa Urusi dhidi ya Ukraine nilishangazwa sana na kujiuliza, ilikuwaje? Maneno mengi nikaanza kusikia kabla ya siku ya leo serikali kutoa taarifa ya kilichotokea. Kuna wengine walidai ni mwanafunzi...
  20. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Nimepanda basi toka Dar kwenda Mwanza kukiwasha japo kwa shingo upande

    Naelekea Mwanza kwenda kukiwasha. CCM ni janga la taifa. Limezidi kuwakandamiza watanzania kwa kuendeleza umasikini. Tozo haramu, ufisadi na ubwanyenye. Nitakiwasha jukwaani uwanja wa furahisha mpaka kieleweke.
Back
Top Bottom