SURA MBILI ZA ZITTO KABWE, Je wewe unamwongelea katika upande gani?

Hili halishangazi kwa wanasiasa wetu hawa. Hata Lisu aliesifika kwa misimamo, alipoona hela mezani alikubali kulambishwa matapishi yake mwenyewe mchana kweupe. Na mbaya zaidi alipigishwa deki barabara na mzee wa mipango.

images (1).jpeg

download.jpeg

images (31).jpeg
 
Siasa ina unafiki sana! Zitto Kabwe kakosea sana, Hayati Magufuli hayupo ni vizuri aachane naye!
Tunajua ameshamsoma Mama Samia na waliomzunguka ndo maana anamnanga sana Hayati Magufuli.
Anachosahau Zitto ni kwamba kama kuna ufisadi Magufuli alifanya basi hakufanya pekee yake.
Walishiriki Makamu wake, Waziri Mkuu,Waziri wa Fedha na Baraza lake la Mawaziri.
Kwa nini asemwe vibaya Hayati Magufuli pekee yake?!
Zitto Kabwe tambua kuwa kupambana na Marehemu hakuwezi kukujenga hata kidogo bali kunakudogosha tu!
 
Anachokifanya Zitto ni dalili za mtu muoga.

wezi wamevunja nyumbani kwake.
Amewasikia wanapovunja
Muda wote anajifanya amelala usingizi wa pono,
kumbe yupo macho .

Wezi wakishaondoka ndy hupiga mayowe ya kuita majirani..
 
Siasa ina unafiki sana! Zitto Kabwe kakosea sana, Hayati Magufuli hayupo ni vizuri aachane naye!
Tunajua ameshamsoma Mama Samia na waliomzunguka ndo maana anamnanga sana Hayati Magufuli.
Anachosahau Zitto ni kwamba kama kuna ufisadi Magufuli alifanya basi hakufanya pekee yake.
Walishiriki Makamu wake, Waziri Mkuu,Waziri wa Fedha na Baraza lake la Mawaziri.
Kwa nini asemwe vibaya Hayati Magufuli pekee yake?!
Zitto Kabwe tambua kuwa kupambana na Marehemu hakuwezi kukujenga hata kidogo bali kunakudogosha tu!
Zitto ni tapeli sn
 
Siasa ni kitu kigumu sana kukielewa

kundi linalomshambulia na kundi linalomtetea Magufuli yote yanafanya hivyo kwa msukumo wa maslahi binafsi ya kisiasa kuelekea uchaguzi ndani ya CCM na kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2025
 
Zitto ni chawa mpumbavu, huwaunga mkono viongozi wa dini yake na kuwananga sana viongozi wasio wa dini yake.

Kwa kifupi
Zitto is a stupid chawa na mdini aliyekubuhu
 
Back
Top Bottom