Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,010
- 9,875
Takriban watu milioni tatu wamekimbia makazi yao kutokana na vita hivyo, kulingana na Umoja wa Mataifa Takriban watu milioni tatu wamekimbia makazi yao kutokana na vita hivyo, kulingana na Umoja wa Mataifa. Takriban watu milioni tatu wamekimbia makazi yao kutokana na vita hivyo, kulingana na Umoja wa Mataifa.
Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa amesema mataifa ya Afrika hayawezi kubaki kutounga mkono upande wowote katika vita vya Ukraine.
Akizungumza na BBC, Linda Thomas-Greenfield alibainisha kuwa katika kura iliyopigwa kwenye mkutano wa Baraza Kuu wiki mbili zilizopita kuonesha kuchukia uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, nchi 17 za Afrika - nusu ya dunia nzima - zilijizuia na nyingine nane hazikupiga kura kabisa.
Balozi huyo alisema hakuwezi kuwa na msingi kwenye kutoegemea upande wowote, na kwamba mgogoro huu haukuwa tu mashindano ya Vita Baridi kati ya nchi za Magharibi na Urusi.
Bi Thomas-Greenfield alisema Marekani ilikuwa ikisaidia kutafuta vyanzo mbadala vya bidhaa ambazo nchi huagiza kutoka Urusi.
Mwanadiplomasia huyo pia alisema Marekani itaunga mkono pendekezo la Afrika Kusini la kupatanisha Urusi na Ukraine.
BBC Swahili