Habari Wakuu,
Kabla ya yote naomba Nikiri kwamba Hali ya maisha imekuwa tough Sana especially kwa sisi vijana tunaohustle kuanza maisha Bila ya kuwa na blueprint ( ramani) ya kueleweka ya kutupatia regular income hapa mjini.
Binafsi ni kijana ambaye nimeamua kung'atuka nyumbani na kuja apa...
UPANDE WA PILI WA HOTUBA YA MWALIMU YA KUAGA
Kiasi naogopa kufanya uchambuzi wa hii hotuba kwani kuna mambo nadhani Mwalimu Nyerere kasahau au hakupenda watu wayasikie.
Mwalimu hakupokelewa na wazee alipokelewa na Abdul Sykes 1952 tena si New Street kwenye ofisi ya TAA bali nyumbani kwake Mtaa...
Haujambo mwana JF mwenzangu wa jukwaa letu pendwa la siasa. Ni matumaini yangu unaendelea kupigana vizuri na changamoto za maisha hasa kwenye uchumi huu ulio dorora kutokana na changamoto za UVIKO. Pambana mwana jamvi, usikate tamaa, maisha ni kuishi kwa matumaini kila iitwayo leo mpaka pale...
Habari wakuu leo katika utundu wangu nimegundua kwamba meter box ina matumizi mengi sana zaidi ya kutumika katika ulipaji wa umeme.
Naam, Nitawadokeza jinsi ya kutumia meter box kuangalia vitu vingine
Moja ya matumizi ya Meter ni kuangalia tarehe na saa/Mda
Nisiwachoshe ni kama ifuatavyo
Jinsi...
Mimi naamini kabisa ndani ya moyo wako wewe ni mtu mzuri. Una sense of humor ambayo bahati mbaya wengine hawaielewi.
Naamini kilichokukuta safari hii ni watu wamekupiga fitna hasa wale Waliochukua clip ya sauti yako na kuikatakata kisha kuunganisha vipande.
Naamini kabisa kwenye ile clip...
Tasac mfumo wao nao haupatikani hewani itakikanavyo.
Kwa nini mifumo mingi inasumbua sana jamani kwa sasa?!
Mfumo wa mikopo benki mbovu mwezi unaenda wa pili sasa.
Inakwaza sana!
Kwa kweli ni Jambo la Aibu kusahau mambo muhim hivi! ina maana Dangote kicheo ni mkubwa kuliko mama yetu?
Hizi aibu zisijirudie! hata mpiga picha hajui protokali?
daah noma kweli
Ninapata changamoto wakati wa kujisajili kwenye mfumo wa Ajira TAMISEMI ambapo nikifika hatua ya kuhakiki taarifa unatoka ujumbe wa kwamba Taarifa zangu haziendani na Taarifa za NECTA. Nimehakiki kila Taarifa ziko sahihi
Tuachane na mambo ya tuzo, tumpe muda kwanza ila vp katka hz namba
Au WASAFI nako huku wanahusika kwa namna flan kumshusha Mmakonde?
Tusishau wimbo wa mwisho wa Diamond ni waah ila bado list zinakimbizwa na vijana wake.
Swala la kumfananisha Harmo na Mond lipigwe marufuku
Ili uchumi wetu upande tuwekeze kwenye bidhaa mpya.
Gross Domestic Product (GDP) yetu per capital ni ndogo mnoo na hii ni kwasababu hatuzalishi bidhaa mpya bado tupo na bidhaa za zamani zilezile.
Hebu Tujiongeze tuanze kuzalisha bidhaa mpya ambazo zinahitajika na mataifa mbalimbali.
Tuzalishe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.