unajua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Umewahi kuwa na rafiki ambaye kila ukiona tu simu yake unajua ana shida na inakuwa kweli

    UMEWAHI KUWA NA RAFIKI AMBAYE UKIONA TU SIMU YAKE UNAJUA NI YA SHIDA. Taarifa mbaya kuhusu watu hao ni kuwa sio marafiki bali wanakutumia tu kwa maslahi yao mapana. SIFA ZA WATU HAO 1.Wakiwa hawana shida wanapunguza ukaribu kwako tena wanakuwa bize hatari. 2.Wakikaribia mazingira ya...
  2. GoldDhahabu

    Unajua neno "baba" ni zaidi ya watu wengi wanavyofahamu?

    Kikwetu, inapotokea mtu ana ugomvi na mwenzake, na wameamua watafute Suluhu nje ya mahakama, sharti mojawapo la kikao kukaa ni kila mmoja kuwa na "baba" kwenye hicho kikao. Ajabu ni kwamba, wakati mwingine "baba" anaweza akawa na umri mdogo kuzidi mwenye kesi. Lakini kwa sababu amekwenda kwa...
  3. Mhafidhina07

    Unajua ni kwanini zamani inasemekana kulikuwa na watu wengi wenye akili?unajua kwanini vijana maisha ni magumu?

    Kila zama na nabii wake,walikuwepo wakina adamu,nuh na akina ibrahimu wote walikuja wakati ambao dunia haimtambui mungu na ujio wao ulikuwa ni wenye lengo la kutambulika kwa nguvu kuu yenye mamlaka dhidi ya nguvu zote,katika zama hizi habari zilikuwa hazina ukubwa kiasi cha kusambaa kila eneo...
  4. Morning_star

    Unajua kupigika? Nilikuwa nimepigika nikapigika haswaaa!! nasijui nilitokaje?

    Mara nikamaliza Chuo na kupata kazi safi yenye maslahi si haba! Kutokana na kutojitambua nikaishia kupoteza ajira kutokana na totooz na ulevi! Nikaangukia pua mpaka chini kabisa! Yaani mpaka aibu! Nikajisajili kusoma Masters UDSM na kupata admission. Sasa shida ikawa kusajiliwa kwasababu...
  5. ward41

    Unajua Kenneth Kaunda alikuwa Mmalawi 100%?

    Raisi wa kwanza wa Zambia alikuwa raia wa Malawi asilimia Mia. Baba alikuwa raia wa Malawi na mama pia alikuwa hivyo. Baba alikuwa mchungaji aliehamia Zambia. Kaunda alikuwatu mzaliwa wa Zambia lakini kwao Malawi Cha ajabu akaja kuitawala Zambia kwa miaka mingi tu baada ya Uhuru. Sijui katiba...
  6. The Dictator

    Hivi unajua Kuku ni wengi sana duniani kuliko binadamu?

    Kulingana tafiti za shirika la chakula na kilimo duniani:- Food and Agriculture Organization (FAO) za mwaka 2023, Kuna kama kuku 34.4 Billion ambao bado ni wazima au zaidi ya hapo kwa sasa duniani. Huku ukilinganisha na idadi ya binadamu waishio kwa ambayo mpaka sasa inasomeka...
  7. chiembe

    Je, unajua mkoa wako umepanga kufanya nini katika dira ya maendeleo ya taifa 2025-2050? Ni muhimu wakuu wetu wafanye wasilisho katika media ili tujue?

    Taifa linatarajia kuwa na mpango wa maendeleo wa miaka 25, 2025-2050. Mpango huu naona kama haupati kutangazwa vya kutosha kwa wananchi ili wajue mkoa/wilaya yao inatakiwa kuwa namna gani katika kipindi cha miaka 25 ijayo. Wakijua ndipo watahoji kwa nini miaka 25 imepita na hakuna...
  8. Mfilisiti

    Imani hizi! Je, unajua kanisa linaitwa "Chanzo halisi?

    Leo baada ya kifurushi changu DStv kukata (mpira), nikashawishika kucheki hizi chanel za ndani, ile naweka star tv nakutana na kanisa linajiita "Chanzo halisi" Cha kushangaza wanatumia bibilia ile ile Wanaenda kuhiji kigoma, ndugu msomaji ni kigoma hii hii ya karibu na burundi😂😂 Na huyo...
  9. Hance Mtanashati

    Je, unajua ukiwa na Tsh elfu 30 tu unaruhusiwa kwenda kuomba escort ya polisi ikupeleke mpaka unapoenda?

    Hii ipo kisheria kabisa, kama una kuanzia Tsh elfu 30 na unahofia usalama wa pesa zako basi ni ruksa kwenda kuomba escort ya polisi mpaka unapokwenda . Ila je unao uthubutu huo kwa hawa polisi wetu, eti uende kituoni na Tsh elfu 30 uombe escort 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
  10. Uhakika Bro

    Je, unajua kuwa mwaka wa Wasukuma una siku 364 + 11?

    Tena mwaka wao walimaji huanzia mwezi wa 11. Miaka huhesabiwa kulingana na shughuli za kilimo. Mwezi wa kwanza ni mwezi ninaoandaa mashamba maana hiyo ndiyo shughuli ya kwanza. Ukiwa mbabe na unajitambua, hadi mwaka unaweza kuubadili tu kufuata matakwa yako. Wasukuma sio wa kwanza kufanya...
  11. GoldDhahabu

    Unajua athari ya tabasamu lako kwa mke wako?

    Mwanamke! Kiumbe wa kipekee ambaye wanaume wengi hawajamfahamu kiusahihi! Mwanamke, kiumbe "dhaifu" lakini mwenye nguvu ajabu! Mwanamke ni kiwanda kinachoishi! Mpe mchele, atakurudishia ukiwa umegeuzwa na kupewa jina jingine, wali! Mhuzunishe, naye atakufanya "ulie" bila kupigwa! Mwanamke...
  12. JohMkimya

    Je unajua Rudisha pesa(Cashback bonus) ya SOKABET

    Cash back kwenye bet ni ofa inayotolewa na kampuni za kamari au makampuni ya michezo ya kubahatisha ambapo mchezaji anaweza kurudishiwa sehemu ya pesa aliyoweka kama dau, ikiwa bet yake itashindwa au kutimiza masharti fulani. Hapa kuna umuhimu wa cash back kwenye bet: Kupunguza Hatari (Risk...
  13. Jumanne Mwita

    Hata kama unajua ni muhimu kujikumbushia nakuletea - basic driving test

    BASIC DRIVING TEST 1. Taja makundi ya alama za barabarani 2. Taja maeneo ambayo dereva haruhusiwi kuegesha gari 3. Chora mchoro wa alama ya onyo/Tahadhari ikionyesha watu wenye mtindio wa akili wapo eneo hili. 4. Taja matumizi ya taa za barabarani pia eleza kazi ya kila rangi ya...
  14. D

    Je, unajua hati yako ya kumiliki ardhi inaweza batilishwa akapewa mwingine?

    Katika muktadha wa ardhi na mali isiyohamishika, hati ya umiliki wa ardhi inaweza batilishwa au kubadilishwa mwenendo kwa mujibu wa sheria na mazingira fulani. Hata hivyo, mchakato huu unaweza kuwa na masharti na taratibu zilizowekwa na mamlaka husika. Hapa kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza...
  15. ubongokid

    Je unajua kinachoendelea katika siasa ya Tanzania?

    Kwa wale ambao hamfahamu leo nataka tuzushe mjada hapa unaoelenga zaidi kuchokoza mjadala zaidi; Kwanza kabisa kuna Operation Maalum ya "Dethronement"ambayo inalenga kuhakikisha kwamba hakuna unpredictable and uncotrollable elements wanaingia katika mfumo wa Uongozi wa nchi. Kitu cha Pili...
  16. GENTAMYCINE

    Kama ulikuwa unajua sawa, ila kwa wasiojua ni kwamba 'Mbungi' ya Jumanne Cairo ni Saa 11 Jioni Saa za Kwetu Tanzania

    Matokeo kwa wenye Akili Kubwa na Watu wa Mpira akina GENTAMYCINE tumeshayajua ila kwakuwa Watu hawapendi Ukweli na wanataka Kudanganywa na Unafiki basi nami naungana nao ( huku Moyoni nikiwadharau ) kuwa Mwarabu aliyetukosakosa kama Goli 4 Kipindi cha Kwanza na Goli 2 Kipindi cha Pili anakufa na...
  17. DR Mambo Jambo

    Je, Unajua nini kuhusu "Psychological Manipulations",Jinsi ya kuziepuka Na sheria Ya Tanzania inasemaje kuzihusu?

    Habari Za Muda huu wanajamvi! Leo ni siku ambayo ningependa kushare kidogo kuhusu Aina ya mtu kuongozwa kiakili na kufikia kufanya maamuzi kinyume na matakwa yake (Psychological Manipulation). Kwa kwa kuanza Nini maana ya Psychological Manipulation? Psychological Manipulation ni aina ya...
  18. GENTAMYCINE

    Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe leo baada ya Kichapo ndiyo unajua kuwa Ligi ni Marathon?

    "Ligi Kuu ni Marathon hivyo bado Michezo iko mingi na huu wa leo ndiyo Kwanza wa Nne hivyo msiwe na wasiwasi" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe akiongea na Waandishi wa Habari baada ya Kichapo cha Mbarali leo. Hivi Wewe Ali Kamwe ( Msemaji wa Yanga SC ) na wana Yanga SC Wenzako ukiongozwa...
  19. Lycaon pictus

    Unajua kwanini Nyerere alisema wanafunzi waanze shule na miaka saba?

    Zamani kabla ya kubadilishwa kwa sheria wanafunzi walikuwa wanaanza shule wakiwa na miaka 5 kama ilivyo sehemu nyingi duniani. Lakini Nyerere mjamaa alikuwa anahitaji sana wafanyakazi. Akaona wanafunzi wanaoanza shule na miaka mitano wanamaliza darasa la saba wakiwa wadogo sana kuweza...
  20. Pascal Ndege

    Je, mwananchi unajua maana halisi ya kodi ya mapato?

    Kodi ya mapato au kwa kizungu income tax ni kodi unayolipa katika Faida ya biashara yako. Je Faida ni ipi kwenye biashara yako? Faida ni yale mapato ambayo unapata baada ya kutoa gharama zote za uendeshaji. Makadirilio ya kodi ya mapato ni nini? Makadilio ni makisio ya kodi kabla ya Kuanza...
Back
Top Bottom