unajua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania Unajua njia sahihi za kutunza chaji kwenye simu yako

    Ikiwa wewe ni mtumiaji mzuri wa simu janja unaweza ukawa una tumia muda wako mwingi kuangalia uwezo mkubwa wa uhifadhi kumbukumbu wa simu, kamera ni megapixels ngapi, saizi ya display, processor na uwezo wa betri wa simu. Leo tuangalie za ndani ndani juu ya uwezo wa Battery la toleo la POP 7...
  2. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Unajua kwa mwanamke nywele za sehemu za siri na kwa mwanaume ndevu zina kazi yake kunako?

    Je wajua kuwa nywele za chini na ndevu ni urembo wa kimahaba? Mwenyezi Mungu alituumba na kutuwekea hivyo akiwa na maana kabisa ila sasa binadamu wa leo wamestaarabika kiasi waonaona ndevu au mavuzi ni uchafu tena uchafu sana. Mwanaume akiwa na ndevu anaonekana mchafu sana, au ikiwa ni mwanamke...
  3. Nuno esparito santo

    JamiiForums Tanzania Unajua nini kuhusu kuajiriwa?

    Wandugu hii thread Ni kwaajili yakupea uzoefu kuhusu kuajiriwa kwa ambao mshawahi kuajiriwa Karibuni Wana Jf
  4. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Je, unajua kuwa Roho huwa ina kawaida ya kutoka tulalapo?

    Hivi umeshawahi lala usiku halafu ukajikuta kama unaota hivi lakini fahamu zako zinakuonyesha kabisa upo macho na unajiona mwepesi Sana pasipo kawaida na saa nyingine huenda ukahisi kama upo hewani hivi Au Unaweza kwenda sehemu Fulani ambayo hujawahi fika lakini kuna kumbukumbu Fulani inakujia...
  5. Cornwallis

    JamiiForums Tanzania Unajua Mungu aliumbwa na nani?

    Mimi ni kijana ambaye Kwa muda wa miaka 2 nimekuwa nikifatilia mijadala mbalimbali hapa Jf katika jukwaa hili la intelligence. Moja ya mijadala ambayo imekuwa ikinivutia sana ni hii ya dhana ya uwepo wa Mungu. Swali kubwa ambalo nimeku wa nikijiuliza ni " Mungu alitoka wapi" Baada ya kuisoma...
  6. President of China

    JamiiForums Tanzania Je, unajua Delta ya Rufiji ndio eneo zimezamishwa meli kubwa mbili za kivita za Ujerumani?

    Kwa nini walikuwa wamekuja huku na walikuwa karibu kufanya nini? Washambulizi wa Biashara Baada ya kuanza Vita vya Kwanza vya Dunia, Jeshi la Wanamaji la Kifalme la Ujerumani lilikuwa na manuari nne zilizowekwa katika sehemu mbali mbali za ulimwengu. Meli hizi za kivita zilikuwa tishio kubwa...
  7. Reality of heaven

    JamiiForums Tanzania Je, Unajua utofauti wa vitu hivi viwili?

    Leo nizungumzie vitu hivi viwili vinavyowachanganya watu, "DINI" na "WOKOVU, wengi hawajui utofauti, lakini huu ndo utofauti wake: 1: Dini imeletwa na wanadamu kwa lengo la kumkaribia Mungu lakini sio kufika kwake, wakati wokovu umeletwa na Yesu ili kuwafikisha mbinguni. 2: Dini haiondoi...
  8. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini 90% ya wana-hiphop huamini kuwa 2pac ni king wao?

    Wakuu inakuaje, nina amini kila mtu yuko vizuri kiafya au sio wakuu. Sasa leo nawaletea mada muhimu, na yenye kueleweka vizuri kwa kila mtu atakaesoma thread hii. Mada hii inamhusu rapper maarufu wa muda wote 2pac Amaru Shakur, ambae pamoja na kwamba ameshafariki miaka 26 iliyopita, Lakini...
  9. Hamza Nsiha

    JamiiForums Tanzania Je, ni vitu gani ambavyo umezoea na unajua kuwa ni hatari kwa afya yako?

    Ni dhahiri kuwa kuna vitu vingi ambavyo watu wengi huwa tunapenda kuvipuuzia lakina ki_uhalisia ni vitu vyenye kuleta athari kubwa katika afya zetu. Baadhi ya vitu hivyo ni kama vile: Kukata matunda, na kuyaacha kwa muda fulani. Nadhani umewahi kukutana na sehemu ambazo wanauza matunda yakiwa...
  10. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Je, Unajua hapo kabla wananchi waliibia sana Serikali, kwa sasa Serikali inawaibia wananchi kwa kushirikiana na taasisi na mashirika ya fedha?

    Kwa miaka kadhaa iliyopita watumishi wengi wa serikali na mashirika yasiyo ya kiserikali, waliibia sana serikali. Hii ilitokana na kukosa udhibiti wa miaya ya rushwa, kukosa uadilifu na kuruhusu matumizi yasiyo ya lazima. Kiongozi wa nchi aliyetangulia kabla ya huyu aliyepo sasa, alijitahidi...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi Designer wa Yanga SC Sheria Ngowi unajua kuwa wana Yanga SC 'wamekumaindi' kwa Ulichowafanyia katika Mijezi yao Mibovu mipya ya Juzi?

    Mwana Yanga SC Mwenge Kama Designer Wetu aliishiwa Uzi si angesema tu tuliyonayo tumpe? Mwana Yanga SC Ubungo Huyu Designer Wetu na hivi ni Mchagga lazima tu atakuwa kabania Nyuzi na katumia Nyuzi kidogo ili zingine akauze na akajengee Kwao Moshi Mwana Yanga SC Kawe Huyu Designer Wetu kama...
  12. frankkilulya

    JamiiForums Tanzania Sensa: Usiite watu kwenye interview ikiwa tayari unachaguo lako

    Haya yanayoonekana kwenye sensa nadhani ilikuwa ni kuwapotezea watu mda wao tu kwenye interview. Wakurugenzi na Madiwani tayari walikua na watu wao kwenye zoezi la sensa, Hivyo wanatumia cheo chao kumlazimisha Mtendaji wa kata Kutoyaacha majina ya watu wao. Kwa hali hii Kweli bongo huwezi...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Mke / Mchumba wa Mtu akijua unajua Siri zake za Mpango wa Kando atahangaika mpaka ufanye nae Mapenzi?

    GENTAMYCINE nimeshakugumia (kutana nawe kwa bahati mbaya) zaidi ya mara Saba (7) katika Loji na Gesti mbalimbali ukitoka Kubanduliwa na Wanaume tofauti tofauti na nikakuhakikishia kuwa usiwe na wasiwasi nitakutunzia Siri zako hizo lakini bado huamini na unahangaika kwa kila namna Kunitega ili...
  14. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini binadamu hakuumbwa kwa neno moja tu la Mungu?

    Ipo hivi mifugo wezangu, hivi kwanini Mungu hakutamka tu hivi "na awe binadamu mwanaume na mwanamke na wakaishi kwenye bustani ya edeni” ikawa asubui ikawa jioni, siku ya sita? Mbona vitu vyote Mungu alikuwa anatamka neno tu na vinatokea lakini ilipofika siku ya sita kwenye kipengele cha...
  15. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Unajua nini kuhusu watu wanaovaa kofia hizi?

    Haya tiririkeni hapa...
  16. Mfilisiti

    JamiiForums Tanzania Ukweli unaouma (uhalisia wa kitaa)

    Wakuu poleni na majukumu, moja kwa moja kwenye mada kama inavyojieleza hapo juu huu ndio uhalisia wa kitaa 1: Umekaa zako kwa raha mstarehe, ghafla unakumbuka umri wako🙄 2: Kaka unawaza kumuoa?Mwenzako bado anahesabu viewers za Whatsapp+screenshot za waliom-wish birthday yake. 3: Ewe mwanadamu...
  17. Guru Master

    JamiiForums Tanzania Njoo tufanye kazi pamoja. Usilalamike kama unajua upo potential. Utajiri upo hapa

    Wadau. Mimi nimepambana nmeweza kufungua Kampuni ambayo itakuwa inajihusisha na Usafi wa Maofisini, Vyoo vya Public, Kwenye Viwanda na Majumbani. Kampuni tayari 1. Inatambulika Brela 2. Ina TIN Number (TRA) 3. Ina Leseni ya Biashara 4. Ofisi nimeanzia hapa hapa home kwanza. Sasa kama unadhani...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya leo ndiyo unajua mpaka Kukiri kuwa 'Jela' siyo mahala pazuri? Na hapo bado huenda 'Ukaozea' huko kabisa

    Kila Siku tu unashauriwa na Watu 'Maalum' kuwa pale ukiwa unaenda Mahakamani ikitokea Umep;angua Kesi fulani basi 'Body Language' yako isiwe ni ya Kuonyesha kama Ujeuri na Ujivuni kwani ndilo ambalo linakugharimu ila kwa Upopoma (Upumbavu) wako na Kiburi chako unajifanya Gangwe. Halafu acha...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Je, unajua kuwa Tanzania wanyama pori wana thamani kubwa kuliko wananchi?

    Habari! Hii siijui niitaje kwa lugha ya kawaida isiyoumiza. Ila facts zitabaki kuwa facts. Tembo , twigs, digidigi , paa n.k wamepewa thamani halisi. Ukiwagonga kwa bahati mbaya utalipishwa kwa thamani yao halisi. Tembo thamani yake iko kama 35 milioni za kitanzania. Huyo tembo akitoroka...
  20. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaodhani Wana nguvu ya Hoja za kutomkubali Rais Samia, hakikisha unajua unachozungumza

    Ifahamike kuwa Mimi Mkaruka Niko humu JF kwa muda mrefu sana. Watanzania wa online na offline nawafahamu vizuri. Binafsi sipendi kuona mtu akionewa Wala sipendi UFUASI KIPOFU ( Total submission to somebody's thoughts). Karibu Kama kweli una hoja.
Back
Top Bottom