Unajua Kenneth Kaunda alikuwa Mmalawi 100%?

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
397
1,395
Raisi wa kwanza wa Zambia alikuwa raia wa Malawi asilimia Mia.

Baba alikuwa raia wa Malawi na mama pia alikuwa hivyo.

Baba alikuwa mchungaji aliehamia Zambia. Kaunda alikuwatu mzaliwa wa Zambia lakini kwao Malawi

Cha ajabu akaja kuitawala Zambia kwa miaka mingi tu baada ya Uhuru. Sijui katiba Yao inasemaje kuhusu mtu kuchukua madaraka ya juu ya nchi
 
Tuliosoma kyuba tushajua,,, so unataka kutuambia nini kwamba watutsi ndo tunaawache kisa wazambia waliwaacha wazazi wa kaunda,,? Kama tulivyokubaliana na CDF wavamizi wote lazima mrudi kwenu msije mkatuzalishia M23 bure wakati wabongo wenyewe tushazoea kula bata hayo mambo ya mijegeje huko huko kwenu Rwanda
 
Raisi wa kwanza wa Zambia alikuwa raia wa Malawi asilimia Mia.

Baba alikuwa raia wa Malawi na mama pia alikuwa hivyo.

Baba alikuwa mchungaji aliehamia Zambia. Kaunda alikuwatu mzaliwa wa Zambia lakini kwao Malawi

Cha ajabu akaja kuitawala Zambia kwa miaka mingi tu baada ya Uhuru. Sijui katiba Yao inasemaje kuhusu mtu kuchukua madaraka ya juu ya nchi
Alikuwa mmalawi akiwa Malawi au alizaliwa na wazazi ambao wamezaliwa eneo ambalo lilikuja kujulikana ni Malawi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom