Kama una jino linalo kusumbua

Kama una jino linalo kusumbua

Wakufoji

Senior Member
Joined
Jan 15, 2019
Posts
199
Reaction score
386
Kama unasumbuliwa na maumivu ya jino au kama una meno yanayo kusumbua soma hapa.

Hasa ni kwa yale meno yenye maumivu makali maana kuna aina zaidi ya moja ya maumivu ya jino.

✍Ila Naandika hapa ikiwa na mimi mwenyewe ni miongoni mwa watu walio wahi kusumbuliwa na maumivu makali ya jino. Kwahiyo ninachoenda kukiandika nina uhakika nacho na nimekipitia na mimi mwenyewe pia kwahiyo ni kitu sahihi.

✍Kwanza kabisa kama una jino linalo uma epuka kabisa kuling'oa. Hata liwe lina maumivu makali kiasi gani usije ukalitoa. Hupona na kurudi kawaida kama lilivyo kua awali ila tu linaweza kuchimbika kiasi.

. Ila faida ya kupona ni hautaendelea kusumbuliwa na meno tena. Utakua umejiokoa. Ila ukilitoa inamaana yatakua yakipokezana hivyo yatakua yakikusumbua hadi uyatoe yote ya upande husika. Na kama haujui hata meno ya mbele nayo huuma tena ndiyo hua na usumbufu mkubwa zaidi.


✍Sasa kikawaida jino linalo uma vizuri hua na maumivu makili sana na hadi kufikia kiwango cha kupona linaweza likasumbua kuanzia mwaka mmoja hadi miaka miwili au mitatu.
Sasa wakati ukisubiri lije lipone kuna namna ya kulituliza na dawa za kutulizia maumivu ambopo kikawaida ukikosea jino lako litakua likikutesa kila siku na huenda ukaelemewa na kuamua kulitoa.

Ila kikawaida ukiweza kulijulia jinsi ya kulituliza hata liwe na maumivu makubwa kiasi gani huweza kutulia na ukabaki na amani ukiendelea na majukumu yako huku ukisubiri msimu wa kuja kupona kabisa.

💊💊Njia sahihi ya kulituliza linapo uma ni kama ifuatavyo.

1. Kwanza kabisa kuna aina tatu za dawa za kulituliza maumivu ya jino zipo zinazo tuliza maumivu ndani ya masaa matatu kisha zipo za masaa manne na nyingine masaa nane.

. Za masaa matatu ni diclopa . Hizi ni nzuri ikitokea jino limeanza kukusumbua ila tumboni ukawa umejaza chakula yaani tumbo lina shibe kiasi hizi huweza kupenya na kulituliza tofauti na hizo za masaa mengi ukiwa umeshiba shiba hazijisumbui kukusaidia.

. Jinsi ya kuzimeza hizi diclopa kwakua ni dawa za maumivu tu haina haja ya kukimeza kidonge kizima lakufanya kikate robo yake tu au hata pungufu zaidi kisha kimungunye kisagike kisha chukua maji suuzamdomoni kisha yameze. Jino lako litatulia ila ikitokea hali tulii jua umeshiba mno subiri tumbo lipungue usijisumbue kutaka kulituliza huku umeshiba halito kubali ni hadi lipungue.


💊💊Dawa aina ya pili ni zinaitwa VIVIAN PLUS hizi kikawaida hulituliza jino masaa manne. ✍Ila hizi ndiyo ziwe dawa zako rasmi ni mhimu zaidi hizi ndiyo zitakazo kusaidia jino lako lipone diclopa zitumiage ukiona una shibe tu ila ukiwa na tumbo lenye uwazi tumiaga hizi vivian plus.

🚫 ila udhaifu wake hizi vivian plus ikitokea umeshiba hapo hata ukimeza kwa wingi wowote jino lako halitatulia. ✔✔✔ Kwahiyo njia salama ili litulie ni uwe na tumbo lisilo na shibe sana kisha kama kawaida utakikata kidonge chako robo tu na kukimung'unya kisha unasuuza na maji na kumeza.


✍Kumbuka nimesema una king'ata robo tu kwakua hizo siyo dozi kwahiyo haina haja ya kumeza kidonge kizima hata hivyo hatakama ni kakipande kadogo maumivu hutulia kwa mda sawa vile vile tu sawa na ukimeza kizima . Ila rengo kuu la kumeza kidogo ni kukuepusha na madhara ya kumeza dawa kwa wingi kumbuka jino likianza husumbua siku saba mfurulizo hivyo kumeza kidonge kizima siku saba siyo salama kabisa.

✍Lakini pia ili dawa zako zitulize maumivu mda tajwa hapo juu Lakufanya inatakiwa umeze dawa zako baada ya kula chakul chochote kwa uchache tu. Yaani usile ukashiba ni kwa umbali tu. Au Unaweza ukanywa kipande kidoogo baada ya jino kutulia ukala chakula kidogo ukasubiri lisaa limoja ukaongezea kidogo kama nilivyoeleza hapo awali. 🚫Inamaana ikitokea utameza dawa bila kula kitu kabisa dawa yako itafanya kazi lisaa limoja tu kwa diclopa na masaa mawili pekee kwa hizo nyingine.



🤝🤝🤝🤝SASA JINO HUPONAJE ?.

🦷Jino ili lipone linaawamu mbili awamu ya kwanza ni ndani ya miezi kadhaa ya mwanzo litauma maumivu makali na kadri linavyo karibia kupona na maumivu huzidi zaidi. Linaweza likachukua awamu ya vipindi vya maumivu kama nane hivi au pungufu ya hapo ila ukizingatia mwongizo nilio utoa hapo juu utalimudu halita sumbua.

Kwahiyo hiki kipindi litauma kisha itafikia hatua litavimba fizi yake. Ikitokea limevimba lakufanya itatakiwa ulitoboe. Ni mhimu sana uzuri likivimba tu na maumivu hupotea hivyo hata unapoitoboa hiyo fizi hua haina maumivu yoyote. Kwahiyo utalitoboa kisha utatoka usaa flani ulio changanya na damu. 🤝🤝Hadi hapo utakua umeliweza halita uma tena maumivu yale makali.


🦷Awamu ya pili ni baada ya kulitoboa itakulazimu uwe unalitumia kutafunia vitu laini hatakama litakua limeweka shimo ili ulilazimishe lisumbue ila maumivu yake hua hayakeri na halitaweza kuuma zaidi ya siku moja.

Kwahiyo utakua ukilitafnia kisha litakua linaweka kauvimbe kadogo pale ulipo patoboaga utaendelea kupatoboa ila kumbuka likivimba tu maumivu hukata ila lisipo vimba ndiyo huuma.


✔✔Baada ya awamu kadhaa litapona kabisa kisha utaliziba na kuendelea kulitumia kawaida linakua salama kabisa. Utakua umejikomboa.✍Ila kunauwezekano likadhuru na jino la karibu yake likaunda tobo nalo ila siyo tatizo lamhimu ni kuliponya ili kusitisha mipokezano yake.🙏
 
Back
Top Bottom